wazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wazanzibari ni wazuri wa sura, roho na wakarimu sana sio kama watu wa mataifa mengine

    Rais Samia anasema Wazanzibari wote ni wazuri wa sura na roho, hawana roho mbaya kama watu wa mataifa mengine. “Watu wa Zanzibar ni wazuri wa sura na roho na wakarimu sana. Kila unayemwona Zanzibar anasema 'una shida gani nikusaidie,' tofauti na nchi za wenzetu huko.”
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wazuri ila wana akili finyu hawajui style gani ya nywele au nguo zenye vybes nzuri kwao

    Wasalaam JF, Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc. Wengine hugeuka vituko Kisha wanategemea tuwasifie kinafiki Mimi huo upuuzi wa unafiki siuwezi...
  3. National Anthem

    JamiiForums Tanzania Wanawake weusi wazuri jamani dah 😋

    Wanawake weusi wana kitu chao special dah... waliosema tuoe wake wawili hadi wanne na kuendelea hawakukosea. Unakuwa na mweupe mmoja weusi watatu 😊😊 Wadada weusi, sijui chocolate color, maji ya kunde etc chukueni 🌹🌹🌹🌹
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Case Study: Wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka

    wanaume wanaohimizana watafute hela ili watoke na wanawake wazuri, wengi wao background zao ni umaskini uliotukuka. Sehemu walizotokea na kuishi miaka mingi wameshakuwa brain washed kuiweka pesa mbele na ukifatilia vizuri kundi hili ndio wamekariri sana msemo wa "Tafuta Hela" , kwao Pesa ndio...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam lengo la ni kusajili wachezaji wazuri au lengo lao ni kuchukua wachezaji wa Yanga?kwanini hawatafuti wachezaji bora kutoka nje?

    Unawezaje kuwa tajiri halafu ukasubiri wachezaji wazuri kutoka timu za ndani ndio uwasajili badala ya kutumia hela zako kusaka wachezaji wa kimataifa moja kwa moja kutoka huko nje? Japo kuna wanaowsajili moja kwa moja kutoka nje ya nchi, lakini ni wazi wanangoja vilabu makini(na hapa Yanga)...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukiacha kasoro ya Uchawi Wanawake wa Kirangi ni wazuri kuwazidi wa makabila mengine yote hapa Tanzania.

    Wasalaam JF, Kwenye ukweli tuseme kweli tuache mazoea ya kubisha bisha. Wambulu, wamang'ati, Wanyaturu, Wachaga, Wameru, wamasai wameachwa mbali na warangi kwa uzuri, wana rangi, wanashepu, wanatrackoo, wako soft, wanakwanguliwa kisimilo chote hakibaki hata chembe. Ni hayo ukibisha ni wewe tu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushabiki pembeni: Mayele hastahili kucheza soka barani Afrika, atafute mawakala wazuri wa kumvusha

    Unazi pembeni!!! Nikiwa kama mwana msimbazi nikiri tu kuwa mshambuliaji wa timu ya Taifa DRC, Fiston Kalala Mayele hastahili kucheza tena soka barani Afrika. Nimeicheki game yao leo dhidi ya Gabon, jamaa amefunga goli safi sana na kwa kiwango chake, kama akipata mawakala wazuri basi tutegemee...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uzoefu: DP World iliyouziwa bandari ni wazuri kwenye kuhonga

    Hii inatoka maktaba. Wamewahi kushtakiwa kwa kuhonga. Labda tujue kwa sisi hapa ni nani ni nani wamenunuliwa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar tafuta washauri wazuri suala la ardhi ya Bagamoyo

    Hili sakata la ardhi ya Bagamoyo ya hekari elfu sita kuwa ni mali ya Zanzibar lina ukakasi na halifai kupita bila ya kupata mawazo mbalimbali yenye lengo la kuboresha uelewa mpana wa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli Mwalimu Nyerere aliwapa Zanzibar ardhi ya Bagamoyo ili waweze...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna ujumbe wenu huku wadada wazuri

  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wazuri katika Mungu hawafi na wakifa husiifiwa sana kwa kuwa wanaenda Mbinguni kwa Mungu

    Hello Mungu ni mwamba wa yote! Ama kwa hakika wazuri miongoni mwa wakorinto hawafi, na wakifa husifiwa mithili ya malaika wateule waishio thethalonike. Spinning for the dead angels does not live long and doesn't work with the common majority. Now that, the minority have assumed bust up and...
  12. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Watu wazuri hawafi: Mzee Makamba hajaonekana kwenye msiba wa Mzee Membe

    Huu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi. Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani. Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba tubu dhambi ya wazuri hawafi

    MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako.. hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tena, mbingu ni yetu sote, ili ufike huko, lazima ufe, ku wapi kufurahia afapo mtu? Wazuri hawafi ni kauli ya kijinga!

    Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga! Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku na wakati asioujua atakufa! Mbingu ni ya kila mtu na ingawa inawahusu wanyoofu wa moyo, na ili mtu...
  15. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Sio watu wazuri.

  16. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

    Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri? Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu. Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
  17. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Hongera Engineer kwa kujihusisha na usajili na kuleta wachezaji wazuri Jangwani!

    Kama shabiki wa simba, nakupongeza kwa kazi nzuri yakutafuta wachezaji wazuri bila kuingiliwa na kuwakata mikono wazee wa 10%... mwanzoni ulilalamikiwa sana na vyombo vya habari et kwanini unajihusisha na usajili... mjomba ulikuwa unampandia ndege mchazaji unapomwona anafaa bila kujiuliza...
  18. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Watoto wazuri mtaishia kutumika ndoa labda mkaolewe na shetani kama hamtobadilika, uzuri wako utakupeleka kwenye ndoa ila tabia yako ndo itaamua

    Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi. Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA? Badilika we binti unatumika mwisho unaelekea kuzeeka mnaanza kuongopa umri ili ukaolewa na kijana...
  19. system hacker

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Mafundi wazuri wa magari jijini DSM na Mikoani

    Unamfahamu fundi gani mkali wa magari kwa uzoefu wako? Share na Jamii hapa. Ukijaribu kuangalia kwa kina utabaini kuwa magari mengi yanaharibiwa zaidi na mafundi. Fundi hafahamu kuhusu gari lakini analifanyia trials and errors na mwishowe huharibu gari zaidi. Mafundi ambao hawafahamu kuhusu...
  20. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Kama Wachumi Wawili Wazuri Hawawezi Kukubaliana, Kwanini Mwigulu Mchemba Adhani Anachoamini Yeye ni Sahihi?

    Mtunzi mmoja maarufu, George Bernard Shaw, aliwahi kusema: "Ikiwa wachumi wote wangewekwa kona hadi kona, hawangefikia hitimisho (tamati)." (Tafsiri yangu) Kwa hiyo, inakuwaje wachumi wawili wabobezi wenye uzoefu, maarifa, wanasoma na kuchambua takwimu sawa na kila mmoja anakuja na utabiri au...
Back
Top Bottom