wazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu tembeeni muone wanawake wazuri sio hapa Tanzania wanatuliza kwa kujiona wao wazuri

    Fanya juu chini usafiri hata kidogo ufike hapo rwanda kama uwezi kuvuka bara la afrika.ila kuna nchi unaweza kuwa na pisi kali mpaka ukajiuliza mbona wapo huku. Kuna haka kisiwa cha cyprus yani unaweza kubaki huko huko kama mtu wa totozi. twende urusi huko yani na baridi la kule unaitwa hot man...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wahuni Mungu hutubariki na wachumba wazuri ila sisi ndo tunazingua

    Wazee kwema! Kuna shemeji/wifi yenu ukiachana na huyo bikra anayebana kutoa uroda ila yeye anataka kuhudumiwa. Huyu mchumba bhana anamalizia chuo mwaka huu nafikiri mwezi wa 8 au wa 7. Huyu mtoto ananipenda na mimi nampenda ila sijawa tayari kwa kuoa. Mtoto ni kind, honest pia ni loyal sana...
  3. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Wanyaturu ni kabila pekee lisilo na athari ya lugha kimatamshi; Wanawake wapo pia ni wakali sana

    Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi. Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !! Nikikutana na lidada linaongea Kiswahili cha "R" "R" kama mgambo wa Congo huwa naghairi kumzagamua kabisa. Namnasa...
  4. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa simba huwa unagombana na wachezaji wazuri na tegemewa. Wanaipa hasara klabu na kumpa mtihani Mgunda

    Hamtaki Chama na hamna mbadala. Leo inonga kawa mbaya, Hamtaki Sary na mlisuguana sana na Mohamed Husein. Hamtakii Mgunda mnamtaka Ibenge. Kwa profile gani ya ivi karibuni. Ata kama mnanjaa jengeni mazingira basi. Leo Mgunda anaunga unga kikosi tu. Wachezaji wazuri wote mnawapanga mpige...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Watu Waadilifu waingie kwenye siasa

    Inafaa uwepo utaratibu wa kuwatambua watu Waadilifu na wachapa kazi Ili tuweze Kuwahimiza waingie katika siasi Ili baadae wawezi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika inchi hii. Watu wengi ambao ni Waadilifu na wachapa kazi hawataki kuingia katika Siasa na wanaona kama Siasa si kazi yao...
  6. plumbing bc

    JamiiForums Tanzania Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi No: 0789110941
  7. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania Wapi maeneo ya Pwani naweza pata ng’ombe wa maziwa wazuri?

    Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza? Wengi naona ni janda za juu na kaskazini. Nipe location au contacts kwa anaejua please!
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi ni sababu ya mwanamke kubadilika na kuwa chui baada ya kuolewa?

    Katika maisha yangu yote, sijawai kuona sherehe isiyo kua na furaha, wanandoa watakodi range, au V8 kwa ajili ya kuzurura na kupiga picha. Lakini ndani ya mwaka mmoja ndoa inaanza kukosa nuru mwisho wasiokua wavumilivu wanakimbia na kuacha ndoa zao, imenifanya niwaze kwanini watu wanaoana kwa...
  9. Nahman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wamasai wazuri wakuu

    Mbele yangu nnatuzamana na mwanamke wa kimasai... Ni mrembo jamani Yuko natural Mtoto mrefu kama ngusoo Shingo yake ina mistari na kama mafuta hivi Kwa hakika muumba anaumba 🙌🏻 Macho yake yameingia ndani kidogo Alafu ana kama weusi hivi machoni Nnashindwa tu kumpiga picha kutokana na angle...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

    Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
  11. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba inao wachezaji wazuri Ila hawapewi nafasi tofauti na Yanga

    Kinachoibeba Yanga ni kitendo cha wao kuwajaribu wachezaji wao waliowasajili na sio kwa dakika tano bali wanapewa muda mwingi uwanjani tofauti na Simba ambavyo inasajili wachezaji Ila haiwapi nafasi ya kutosha mfano Luiz Miqson ni mtu anayepaswa kupewa muda mwingi uwanjani ili akili + fitness...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ayub Rioba: JamiiForums ni chombo cha habari na si jukwaa la mtandao

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema JamiiForums ni chombo cha habari na sio Jukwaa la mtandao kama linavyojulikana. Dkt. Rioba amesema hayo mkoani Mwanza wakati wa uwasilishaji mada za mitandao ya kijamii katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa...
  13. Nyafwili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa Kitanga ni wazuri sana, kila nikifikiria wanaume wanao left-group inanifikirisha sana

    Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko 🙏, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-...
  14. Teremaro

    JamiiForums Tanzania Mafundi wazuri wa Nissan Duals

    Habari ndugu wana jamii forum, Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
  15. Execute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu rahisi zilizofanya nikaacha kuwaoa hawa wadada wazuri kwa muonekano

    Simu yake imeharibika halafu akasema atarekebisha juujuu ili akambambikie mtu mwingine. Nikamuacha mara moja. Mwingine namuuliza kitu gani unachokipenda maishani akanijibu yeye anataka avae na kupendeza. Nikaona huyu akili hana. Nikasonga mbele. Ladies, wanaume tunapotaka kuoa tunakuwa...
  16. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Misso Misondo ni mgodi wa kuvuna hela nje ya nchi. creativity yake ikipata promoters wazuri inauzika dunia nzima

    nilikuwa namchukulia poa misso misondo wakati anatrend mwanzoni. ila nimegundua sio mtu poa huyu kijana. kila siku anabuni biti mpya na unakuta kali kuliko ile ya zamani. ushauri wangu kwake ajiongeze apate mtu wa kumuandikia na mistari kidogo tena iwe ya kiswangilish.. kiingereza kwa mbalii...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Hayati Magufuli angekuwepo kukamilisha awamu ya pili ya Urais, CCM ingempendekeza Rais Samia kuwa mgombea 2025?

    Wanabodi Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ""Umasikini mkubwa zaidi na umasikini m-baya zaidi, ni umasikini wa fikra!". Hii ni ile hali ya mtu kuwa na mawazo ya kimasikini, unakuwa masikini wa roho kwa kuwa na roho ya kimasikini. Kwa maoni yangu, Watanzania ni masikini sana...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nchi haiwezi kamwe kuwa na viongozi wazuri toka kizazi hiki, kama HESLB wamekuwa miungu watu!

    Ni mbaya sana. Yaani semester ya kwanza vyuoni inamalizika lakini watoto wengi wale waliopata mikopo batch ya mwisho hawajapata. Watoto hawa wamekuwa wakiingia na kutoka Ofisi za Maafisa Mikopo vyuoni na hata kwenye Ofisi zao hao HESLB lakini hawasaidiwi chochote. Imeniskitisha nimekutana na...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Asema uhalifu Arusha umepungua, awaomba Wastaafu kuwa mabalozi Wazuri uraiani

    Mwenyekiti wa Usalama Wilaya ya Arusha Mjini ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Ndugu Felician Mtahengerwa amesema uhalifu umepungua kwa kiasi kikubwa Jijini humo kutokana na kazi kubwa inayoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama. Mkuu huyo...
  20. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

    Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa. Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh. Sasa...
Back
Top Bottom