Makabila mengi yenye wanawake wazuri kama Wapare wanapewa sifa ya kuwa malaya kwasababu ya wivu wa kijinga

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,892
Kwema Wakuu!

Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu.

Mkiona mdada mzuri tuu mnaanza kumpa majina Mabaya. Kisa anatongozwa na Wanaume wengi. Utajiri wa mvuto wa kisura na kimaumbile haihusiani na tabia ya umalaya.

Makabila yenye wanawake wazuri hapa Tanzania imekuwa kawaida kuwahusisha na Umalaya lakini ukichunguza vizuri unakuja kugundua ni Wivu tuu. Kwa mfano Makabila kama Wambulu(Wairaq), Wanyaturu na ndugu zao Wanyiramba, Warangi wote hao ni makabila yènye wanawake wazuri na wanahusishwa na Umalaya jambo ambalo sio Kweli.

Wanawake wa Wapare wapo top five ya wanawake wazuri hapa Bongo, na Kwa wanaume wao wapo top 3 ya wanaume wazuri hapa Tanzania. Hiyo ukubali au ukatae. Upareni kukutana na Handsome boy sio jambo la kushangaza kwa sababu wapo wengi. Kukutana na Wanawake wazuri sio suala la ajabu.

Tabia hiyo pia ya roho mbaya imehamishwa kwenye mambo ya kiuchumi. Makabila yenye Mafanikio ya kiuchumi kama Wachagga, Wakinga, au Wapemba hupewa majina Mabaya kama wizi, ujambazi, ufisadi na uchawi. Acheni wivu.

Huwezi kuoa mke mzuri asitongozwe na wanaume. Kwa sababu wanaume wanapenda wanawake wazuri. Wewe kama kipimo cha kutotongozwa kwa mkeo ndio kutokuwa malaya basi elewa kuwa mkeo hana mvuto, sio mzuri na hana la maana.

Upande wa pili, huwezi kuwa na Mwanaume Handsome boy au mwenye uchumi alafu wanawake wenzako wasimsarandie. Haipo hivyo. Ukiona mumeo yupoyupo tuu na hakuna Mwanamke hata mmoja anayemtaka ujue hapo hakuna kitu. Umepoteza.

Wanawake wa kipare wanajiamini, hawataki kuonewa, hawataki unyanyasaji wa kijinsia kwa Jina la Mfumo dume, wapo radhi wabadilishe wanaume hata elfu moja ikiwa tuu wanapata Wanaume Mabwege wasiojitambua.

Wanawake wa kipare au kichaga, kama unapenda kwenu lazima upende na Kwao. Kuhusu ufupi nyundo ni sifa yao pia, lakini pia wapo Warefu hasa wanaôtokea Upareni kaskazini maeneo ya Mwanga.

Wapare kwa ujumla sio Watu wa kusikiliza maneno ya Watu Wajinga na watu wasiojiamini au wenye roho za chuki kisa tumewazidi mambo nyeti ambayo hayanunuliwi kwa pesa.

Povu Rukhsa!
 
Kuna watu wamewaita wapare malaya au ni wewe umeamka unataka kuwatukanisha hapa!?
Maana kwa ninavyojua kinachofata hapa ni kuanza kusema ni malaya sio malaya ni malaya sio malaya
Anyway kwangu mi ni wanawake wazuri kama ilivyo kwa wanawake wengine na wanapenda sana makande
 
Kwema Wakuu!

Acheni wivu! Yaani mkiona Watu wamebarikiwa jambo fulani roho mbaya zenu mbaya hazitulii. Wivu na maumivu moyoni yanawachoma. Mnaanza kuropoka mashudu yenu.

Mkiona mdada mzuri tuu mnaanza kumpa majina Mabaya. Kisa anatongozwa na Wanaume wengi. Utajiri wa mvuto wa kisura na kimaumbile haihusiani na tabia ya umalaya.

Makabila yenye wanawake wazuri hapa Tanzania imekuwa kawaida kuwahusisha na Umalaya lakini ukichunguza vizuri unakuja kugundua ni Wivu tuu
Kwa mfano Makabila kama Wambulu(Wairaq), Wanyaturu na ndugu zao Wanyiramba, Warangi wote hao ni makabila yènye wanawake wazuri na wanahusishwa na Umalaya jambo ambalo sio Kweli.

Wanawake wa Wapare wapo top five ya wanawake wazuri hapa Bongo, na Kwa wanaume wao wapo top 3 ya wanaume wazuri hapa Tanzania. Hiyo ukubali au ukatae.
Upareni kukutana na Handsome boy sio jambo la kushangaza kwa sababu wapo wengi. Kukutana na Wanawake wazuri sio suala la ajabu.

Tabia hiyo pia ya roho mbaya imehamishwa kwenye mambo ya kiuchumi. Makabila yenye Mafanikio ya kiuchumi kama Wachagga, Wakinga, au Wapemba hupewa majina Mabaya kama wizi, ujambazi, ufisadi na uchawi.
Acheni wivu.

Huwezi kuoa mke mzuri asitongozwe na wanaume. Kwa sababu wanaume wanapenda wanawake wazuri. Wewe kama kipimo cha kutotongozwa kwa mkeo ndio kutokuwa malaya basi elewa kuwa mkeo hana mvuto, sio mzuri na hana la maana.
Upande wa pili, huwezi kuwa na Mwanaume Handsome boy au mwenye uchumi alafu wanawake wenzako wasimsarandie. Haipo hivyo. Ukiona mumeo yupoyupo tuu na hakuna Mwanamke hata mmoja anayemtaka ujue hapo hakuna kitu. Umepoteza.

Wanawake wa kipare wanajiamini, hawataki kuonewa, hawataki unyanyasaji wa kijinsia kwa Jina la Mfumo dume, wapo radhi wabadilishe wanaume hata elfu moja ikiwa tuu wanapata Wanaume Mabwege wasiojitambua.
Wanawake wa kipare au kichaga, kama unapenda kwenu lazima upende na Kwao.

Kuhusu ufupi nyundo ni sifa yao pia, lakini pia wapo Warefu hasa wanaôtokea Upareni kaskazini maeneo ya Mwanga.

Wapare kwa ujumla sio Watu wa kusikiliza maneno ya Watu Wajinga na watu wasiojiamini au wenye roho za chuki kisa tumewazidi mambo nyeti ambayo hayanunuliwi kwa pesa.

Povu Rukhsa!
Kama umeoa Mpare huna mke ni mke wa watu wote!
 
Back
Top Bottom