Mabinti wazuri sana, warembo na wenye maumbo mapana ya kuvutia ni rahisi sana kuwapata unapowatongoza

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Ibaki kuwa hivyo. Previous nilikuwa natongoza mabinti wabovu wabovu nikiamini kuwa wataona ni bahati kutongozwa, hivyo nitawapata kirahisi sana na hata mbususu nitakuwa napewa kwa kubembelezwa.

Hali haikuwa kama nilivyodhani, badala yake nilipigwa vibuti vikali sana. Kati ya wanawake 10 niliotongoza kwa siku, niliambulia mmoja tu, tena naye anakuwa na mashaka sana na penzi lake. Ikafikia hatua nikaanza kuoga chumvi ya mawe, nikiamini kuwa huenda nimetupiwa kamnyweso. Ikafikia hatua nikaanza kupakaa mafuta ya mzeituni, lakini wapi.

Kilichofuata niliamua kuacha kutongoza kabisa kwa miezi kadhaa. Siku moja nikiwa kwenye chombo cha usafiri wa kimaskini, nilishangaa kuona pisi kali iliyododa kuanzia sura, shape, rangi, mapozi na uzungumzaji imekuja kukaa siti sambamba na pale nilipoketi.

Kwa kuwa haisi nzima ilitupiga jicho nikaona wacha niimbishe ili wasinione mbwa kachoka a.k.a nyuki wa mashineni. Yaani sikupata kuamini matokeo, binti aliitikia vichocheo kusiko kawaida, kitendo cha kunipatia namba yake mwili wote ulipigwa radi za msimu.

Kiufupi alinikubalia, wiki moja baadae niliichakata mbususu yake tena kwa gharama zake. Kuanzia hapo nikaanza kutongoza pisi kali, nilijihisi malaika kwa kuwa nilipishana na tabasamu za kila rangi. Hata pesa zangu sikunyang'anywa kiviile

Ni rahisi sana kwa mwanaume kukubaliwa akitongoza vyuma

Na hili nalo mkalitizame...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom