waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu waziri wa Afya: Tuhamasishe matumizi ya P2

    Akijibu swali la Mbunge Thea Ntara ambae aliuliza, "Hili suala sasa hivi linatisha, mabinti wanatumia hizo P2 kama unavyotumia panadol yaani hakuna utaratibu, tutafika wakati mabinti hawa hawataweza kupata watoto, je serikali ina mpango gani wa kutoa elimu kwa hao mabinti ili wajue matumizi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama amehimiza ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, miti na...
  3. JamiiForums Tanzania Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

    1. Miaka zaidi ya 60 toka tupate Uhuru sijawahi kushuhudia Mazishi ya Waziri Mkuu (Mstaafu) Narudia WAZIRI MKUU (Mstaafu) usinitajie Sokoine. **Kawawa alizikwa Kwa heshima wa Makamu wa Rais (Mstaafu). 2. Nimeshuhudia mazishi ya Rais, Rais Mstaafu na Makamu wa Rais (Mstaafu). Mwenye kujua...
  4. JamiiForums Tanzania Muungano: Dkt. Mpango na Waziri wa Afya, hili si la Muungano. Msiliingize kinyemela!

    TANGANYIKA ISIWE 'CASH COW' Kwa hisani na shukrani kwa gazeti la The Citizen https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/zanzibar/vice-president-mpango-wants-more-cardiac-institutes-in-tanzania-4519784 Gazeti la la Tarehe 09/02/2024 linaripoti ufunguzi wa Mkutano wa maradhi yasiyoambukiza ikiwemo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Dkt. Doroth Gwajima fuatilia kituo cha watoto yatima cha Ijango Ziada Ophanage

    Waziri wa ustawi wa jamii tunakuomba ufuatilie kutuo hichi kituo, ambacho kiko Sinza Madukani kinamillikiwa na mwanamama aitwae Ziada Ijango, kituo hichi kinahatarisha afya za watoto kina watoto wengi mpaka wengine wanalala nje kwa kukosa nafasi, pia huyu mama amekuwa akiwatumia hawa watoto kama...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi TASWA Media Day Bonanza 2024, Februari 10, 2024

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini "TASWA Media Day Bonanza 2024" linalotarajia kufanyika Februari 10, 2024...
  7. JamiiForums Tanzania Wana Mbeya, Mbele ya Makonda ,wamtaka Waziri Bashe aache kuwagombanisha na Mama !!

  8. JamiiForums Tanzania Wakulima waandamana kutaka Waziri ajiuzulu, Bajeti ya Kilimo iongezewe

    BULGARIA: Wakulima wakubwa na Wadogo wameandamana kwa siku ya pili walishinikiza Serikali kuweka Uongozi Unaowajibika pamoja na kuongezwa kwa Fedha za Ruzuku ya Kilimo nchini humo. Kamati ya Mipango ya Wakulima hao imesema Umoja huo hautasitisha Maandamano hayo hadi Waziri wa Kilimo, Kiril...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Ufaransa amteua aliyekuwa mume wake kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

    Waziri Mkuu mpya wa Ufaransa Gabriel Attal ambaye ni shoga amemteua mume wake Stephane Sejourne kuwa waziri wa mambo ya nje, siku chache tu baada ya yeye kuwa shoga wa kwanza aliyejinadi hadharani kushikilia wadhifa wa uwaziri mkuu wa nchi hiyo. Sejourne, ambaye pia anaongoza chama cha siasa...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya Ziara Kutembelea Reli ya Kati Kujionea Hali ya Uharibifu Morogoro

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara kutembelea reli ya kati kujionea hali ya uharibifu uliojitokea baada mvua kunyesha kuanzia January 25 mwaka huu. Mhe. Naibu Waziri akiwa kwenye Kiberenge ameanzia ziara katika eneo la Lukobe Manispaa ya Morogoro, Munisagara na Mzangaza...
  11. JamiiForums Tanzania Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

    Wakuu JF wazima nimatumaini yangu, Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi. Akastaafu...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, TCU, na wabunge saidieni wanafunzi wa SUA kuna shida ya maamuzi ya uongozi

    Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya mwaka mzima wa kusubilia mitihani. Sababu kubwa ni maamuzi mabaya ya viongozi wa chuo. Waliamua...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi ,tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

    Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Toka awamu ya kwanza Mwl Nyerere, hadi Dkt Samia, Wilaya na Mkoa gani haujatoa Naibu au Waziri?

    Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Nishati: Upungufu wa umeme umepungua kutoka Megawati 400 hadi 144

    Katika jitihada za kuhakikisha maeneo yote nchini yanapata umeme wa uhakika, Serikali imeshaanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme wa Gridi katika Mkoa wa Rukwa kupitia mradi wa TAZA ulioanza kutekelezwa mwezi Novemba, 2023 na unatarajiwa kukamilika Mwezi Agosti, 2026. Hayo yameelezwa leo...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Tumechoka na ahadi za treni za umeme

    Kuhusu kuanza kwa treni ya kisasa ya SGR, Makonda amesema kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichoketi Unguja hivi karibuni kiliwaita Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa kutoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa reli...
  18. JamiiForums Tanzania Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu. Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali. Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi na Waziri Bashe sina hakika sana kama ni issue serious sana maana nacho ona ni maigizo na ulaghai...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Jerry Silaa, imekuwaje Kituo hiki cha Mafuta kinafanya kazi wakati ulisimamisha matumizi yake?

    Habari Wakuu? Nimepita Mitaa ya Mikocheni leo na kukuta Kituo cha Mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni kinaendelea kufanya kazi ikiwa ni takriban mwezi mmoja tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kusimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki Atoa Maagizo Mazito kwa TANAPA Kwenye Uapicho wa Kamishina Kuji

    Waziri Kairuki Atoa Maagizo Mazito kwa TANAPA Kwenye Uapicho wa Kamishina Kuji Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki ametoa maelekezo mazito kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na kulitaka libadilike ili liweze kuchangia ipasavyo kwenye uchumi wa taifa kuipitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…