wazanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
  2. Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

    Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu...
  3. Wazanzibar hawakuwa na tatizo na Utawala wa Sultan

    Ni wabara tu waliwafitinisha hasa huyo jamaa mbabe John Okello. Yeye alikuwa na kiherehere zaidi cha kuwakimbiza waarabu Zanzibar. Lakini wenyeji ukiongea nao wanasema wala hakukua na shida yoyote ile na walitamani watawala waendelee kuwepo maana walikuwa wanawapatia hadi tende bure kabisa...
  4. 99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema...
  5. Fatma Karume: Muungano haujawaathiri Wazanzibar

    Kazi kwenu, Zanzibar; mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume, Fatma Karume amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haujawaathiri Wazanzibari. Alisema hayo nyumbani kwake Maisara visiwani Zanzibar wakati anazungumza na waandishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). Fatma...
  6. Msaada kwa watu wazanzibar au wale ambao washawai kwenda Zanzibar na ni wenyeji

    Ishu yangu ni hii naomba kwa anaejua hawa jamaa wanaouza baskeli ambao ni Meridian bit tech limited je ni kweli wapo Zanzibar? na wanafanya hii biashara ya baskeli tafadhalini Sana kwa anaejua anijuze nipate kujua asante Swala langu ni hilo Tu wakuu
  7. M

    Tusipokuwa Makini, Kauli ya Nyerere ya Wabara na wale Wazanzibar inaanza kidogo kidogo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania. Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
  8. G

    Tetesi: Muungano: Manufaa zaidi kwa Wazanzibar - Bodi ya mikopo kwa wazanzibar (ZHELB), Pia ZANAJIRA(Ajira portal kwa raia wa zanzibar)

    "Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote...
  9. Mambo ya watanganyika ndiyo ya watanzania? Ya wazanzibar yana msimamizi maalum. Kuna mtu anakula bila kunawa hapa

    Sifahamu iwapo naeleweka vizuri. Kama nitakuwa nje saana mtaniwia radhi. Kuna mambo yananipa kuchanganyikiwa na nisijue lolote! Mambo ya wazanzibari, yanasimamiwa na serikali ya Zanzibar na yanakuwa ya wazanzibar kwa sababu serikali yake ipo inayasimamia! Mambo ya watanganyika hayana msimamizi...
  10. M

    Wazanzibari hawataki muungano wanawafukuza wabara visiwani kwao

    salaam ndugu wapendwa. matukio ya hivi karibuni juu ya mjadala wa kujadili rasimu ya mapendekezo ya katiba ya Tanzania yaliibua na kuweka hadharani hisia za wenzetu katika muungano huu wa Tanzania. wakati wa mjadala uliofanyika katika hotel ya Bwawani mjini Unguja wanzabari walionekana kuwa...
  11. 0

    Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

    Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana. Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao. Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili...
  12. Simba na Yanga wawaombe radhi Wazanzibari

    Mashindano na sherehe za mapinduzi cup yamedoda kutokana na Simba na Yanga kutolewa kwenye hatua za awali za mashindano. Wanasiasa, wanamichezo, wadhamini na wazanzibar wote hawakutendewa haki na Simba na Yanga kupeleka timu dhaifu kwenye mashindano. Shamrashamra hazitauwepo kamà nusu fainali...
  13. Nini kinachomsibu Rais Mwinyi kwa uteuzi wa aliyekosa imani ya Wazanzibar uchaguzi 2020?

    Wanajamvi kumekuwa na sintofahamu juu ya uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mkuu 2020 hadi kuondolewa katika nafasi hiyo. Kuna jambo halipo sawa au ni mikakati ya kujiimarisha Kiserikali. Karibuni.
  14. Kwanini Mawaziri Wazanzibar hawapendi kusema uongo?

    Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusiana na Sakata la Trilioni 360 alikiri mbele ya Bunge kuwa madai hayo ni kweli yapo na Serikali inayatambua. Lakini alipokuja Mwigulu Nchemba kuongezea majibu ya Naibu Waziri wake akasema mashauri...
  15. Ripoti ya CAG inaonesha ACT WAZALENDO wanaongoza kwa Ufisadi Zanzibar. Allah Wasaidie Wazanzibar

    Salaam Wakuu, Zitto Kabwe na Chama chake cha ACT WAZALENDO, kimeshindwa kujitofautisha na CCM baadaya Ufisadi mkubwa kutokea kwenye Wizara Wanazoongoza. Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), waligawana Madaraka na Vyeo huko Zanzibar. Mfano: Nassoro Mazrui ambaye ni Naibu Katibu mkuu wa Chama...
  16. R

    Ajira posta wazanzibar kupewa asilimia 25

    Watanganyika mtaendelea kuteseka tayari shirika la POSTA limetangaza kutenga Asilimia 25 ya AJIRA zake Kwa wazanzibar
  17. Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Clip ya Dak 2:47 akiwa Oslo Forum anasimulia namna "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe" namna kilivyo piga bomu ofisi yake ya UWAKILI na kumjeruhi Tundu Lissu kwa risasi 16. Hatimaye Kinyago chenyewe kilinyauka mnamo 17/ 03/ 21.
  18. S

    Kwa yanayojili Zanzibar kuna haja ya kuomba uraia wa visiwa hivyo. Naomba mnipe utaratibu wa kupata uraia

    Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure Tatu, mwaka wa mwisho wa...
  19. Kama Waingereza na Wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama Wazanzibar

    Kama waingereza na wajerumani walitutawala inakuwaje hatuna mchanganyiko wa rangi na hao wazungu kama wazanzibar.
  20. N

    Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa? Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…