Kwanini Mawaziri Wazanzibar hawapendi kusema uongo?

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande wakati akijibu swali la Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhusiana na Sakata la Trilioni 360 alikiri mbele ya Bunge kuwa madai hayo ni kweli yapo na Serikali inayatambua.

Lakini alipokuja Mwigulu Nchemba kuongezea majibu ya Naibu Waziri wake akasema mashauri hayo hayapo na tena hayapo TRAB na TRAT na ni jambo mahususi.

Swali tunalojiuliza ni Kwanini Mawaziri wa ZANZIBAR hawapendi kusema uongo lakini wa Bara kama Mwigulu akaamua kutudanganya Watanzania.
 
..huyo Naibu Waziri Mzanzibari ndio amedanganya.

..madai ya usd 191 billion ni sawa na wendawazimu.
 
Back
Top Bottom