Ajira posta wazanzibar kupewa asilimia 25

Mkuu WaTanganyika hawana habari na suala muhimu kama hili wapo busy na masuala ya Simba na Yanga.Utasikia Mayele mara sijui Manara kaonewa yaani ni upumbavu juu ya upumbavu.
Kabisa.
Yaani kwao Yanga na Simba ndo kila kitu
 
Wengine wamebwagwa huko wako safarini kwenda mpirani na aliyekufa ni yule bibi wa yanga connection.
Utafkiri Arusha hamna washabiki
Watanzania tunapenda sana kufurahisha moyo badala ya kupenda stress. Hivyo mambo ya maan kwa kuwa huzingua watu huyapotezea
 
Ila mafuta na gesi sio jambo la muungano hii nchi hadi raha
IMG_3055.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom