wazanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani

    Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani . Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata . Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wanalalamikia sana muundo wa muungano na kusahau muungano ulifanywa haraka sana bila majadiliano ya kina ili kuwaokoa wasichinjwe

    Ilikuwa hivi, tarehe 12 January, wazalendo wa Zanzibar, karibu wote weusi, walichukua silaha za jadi na kuteka ghala la silaha kisha kfanya mapinduzi kuuondoa utawala wa Kiarabu visiwani. Wakiwa wamejaa shamra shamra za mapinduzi walianza kuwachinja waarabu na kufanya mauaji makubwa mengi yasiyo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wamejipanga dhidi ya watanganyika, cha kusikitisha watanganyika wenzetu wamekuwa wasaliti dhidi ya watanganyika wenzao

    Kwa Mfumo wa CCM ulivyo na unavyo endeshwa, ni dhahiri kabisa wanaweza kukubali hata ikija ajenda ya nchi kuuzwa na kila kitu kuuzwa na wana CCM wa Tanganyika Wakashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere. Na nilicho gundua CCM yenyewe humilikiwa na kundi dogo sana lenye maslahi lakini hawa...
  4. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

    Heshima sana wanajamvi. TRA wametangaza ajira mpya 1,574. Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao. Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania 98% ya Wazanzibar wanafahamu kuwa Karume ndio aliongoza mapinduzi

    Nashangazwa na Wazanzibar kushindwa kuifahamu historia ya juzijuzi tu hapa ,yaani miaka 61 iliyopita. Hawa watu wataweza kweli kuwa na historia miaka 100 ijayo. Siku ya mapinduzi bwana Karume alikuwa upande wa bara hasahasa mitaa ya Magomeni. Huku katika kipindi hiki cha sherehe za mapinduzi...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata...
  7. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari ni raia daraja la kwanza katika JMT

    Heshima kwenu, Sasa ni wazi kabisa katika Muungano wetu Wazanzibar wana uraia pacha (uRaia wa Zanzibar na uRaia wa JMT). Mosi Wazanzibar wana uRaia wa Zanzibar, kupitia sheria zao ambazo wamezipitisha katika BLW (Baraza la Wawakilishi) ambalo WaTanganyika hawaruhusiwi kutia mguu. Kupitia BLW...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Serikali iitishe kura ya maoni Wazanzibari waamue upya kama wanautaka muungano ili isionekane tunawalazimisha

    Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani inaweza kuvunjwa na kujengwa mpya inayoendana na wakati, basi hata muungano kwa sasa ni jumba la kale...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

    Kauli ya mmoja ni kauli ya wengi. Kufuatia sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni, wananchi wa Zanzibar wameamua kupaza sauti zao. Wananchi hawa wamekuwa wakivumilia kwa muda mrefu lakini sasa uzalendo umewashinda, hivyo wameamua kutoka waziwazi na kusema jinsi wanavyokandamizwa na muungano huu...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar hawakuwa na tatizo na Utawala wa Sultan

    Ni wabara tu waliwafitinisha hasa huyo jamaa mbabe John Okello. Yeye alikuwa na kiherehere zaidi cha kuwakimbiza waarabu Zanzibar. Lakini wenyeji ukiongea nao wanasema wala hakukua na shida yoyote ile na walitamani watawala waendelee kuwepo maana walikuwa wanawapatia hadi tende bure kabisa...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania 99% ya Wazanzibar ni washika dini, kila mtaa kuna nyumba ya ibada, utiriri wa walevi, mateja, malaya na mashoga!

    Ukifika Zanzibar na kujitambulisha wewe ni mhubiri au muumini thabiti wa dini fulani (tofauti na dini inayotawala zaidi pale Zanzibar) umekuja kwa shughuli ya kueneza habari njema kwa watu wote, unaweza usipewe hata nyumba ya kulala wageni haijarishi una pesa kiasi gani mfukoni. Lakini ukisema...
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Muungano haujawaathiri Wazanzibar

    Kazi kwenu, Zanzibar; mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume, Fatma Karume amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haujawaathiri Wazanzibari. Alisema hayo nyumbani kwake Maisara visiwani Zanzibar wakati anazungumza na waandishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN). Fatma...
  14. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa watu wazanzibar au wale ambao washawai kwenda Zanzibar na ni wenyeji

    Ishu yangu ni hii naomba kwa anaejua hawa jamaa wanaouza baskeli ambao ni Meridian bit tech limited je ni kweli wapo Zanzibar? na wanafanya hii biashara ya baskeli tafadhalini Sana kwa anaejua anijuze nipate kujua asante Swala langu ni hilo Tu wakuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tusipokuwa Makini, Kauli ya Nyerere ya Wabara na wale Wazanzibar inaanza kidogo kidogo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania. Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Muungano: Manufaa zaidi kwa Wazanzibar - Bodi ya mikopo kwa wazanzibar (ZHELB), Pia ZANAJIRA(Ajira portal kwa raia wa zanzibar)

    "Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote...
  17. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mambo ya watanganyika ndiyo ya watanzania? Ya wazanzibar yana msimamizi maalum. Kuna mtu anakula bila kunawa hapa

    Sifahamu iwapo naeleweka vizuri. Kama nitakuwa nje saana mtaniwia radhi. Kuna mambo yananipa kuchanganyikiwa na nisijue lolote! Mambo ya wazanzibari, yanasimamiwa na serikali ya Zanzibar na yanakuwa ya wazanzibar kwa sababu serikali yake ipo inayasimamia! Mambo ya watanganyika hayana msimamizi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari hawataki muungano wanawafukuza wabara visiwani kwao

    salaam ndugu wapendwa. matukio ya hivi karibuni juu ya mjadala wa kujadili rasimu ya mapendekezo ya katiba ya Tanzania yaliibua na kuweka hadharani hisia za wenzetu katika muungano huu wa Tanzania. wakati wa mjadala uliofanyika katika hotel ya Bwawani mjini Unguja wanzabari walionekana kuwa...
  19. 0

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya maoni ya Wazanzibar kuhusu ujenzi wa daraja Dar to Zanzibar

    Kupitia hizi comments za Wazanzibar nimejifunza kuwa wenzetu wanachuki na sisi kwa kiwango kikubwa sana. Ukisoma maoni yao kwa umakini mkubwa utakuja kugundua kuna baadhi ya chuki wamepandikizwa kupitia dini zao. Mfano kuna comment inasema "Wazanzibar waliwaua ndugu zao waislam weupe ili...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga wawaombe radhi Wazanzibari

    Mashindano na sherehe za mapinduzi cup yamedoda kutokana na Simba na Yanga kutolewa kwenye hatua za awali za mashindano. Wanasiasa, wanamichezo, wadhamini na wazanzibar wote hawakutendewa haki na Simba na Yanga kupeleka timu dhaifu kwenye mashindano. Shamrashamra hazitauwepo kamà nusu fainali...
Back
Top Bottom