wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwakinyo kupigana na bondia wawili ndani ya usiku mmoja

    Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
  2. JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Ngingana ina wanafunzi 400 na walimu wawili

    Shule ya Msingi Ngingama, yenye wanafunzi zaidi ya 400 iliyoko wilayani Nyasa, mkoani Ruvuma ina walimu wawili wa kuajiriwa na mmoja wa kujitolea, hivyo wanafunzi wanatumia muda mwingi kucheza badala ya kusoma. Kutokana na changamoto hiyo, wazazi, wanafunzi na walimu wameomba walimu waongezwe...
  3. JamiiForums Tanzania Israel itawamaliza Mateka wake kwa kushambulia Gaza wamewaua mateka wengine wawili kwa mabomu

    Wanakumbi. Taarifa za hivi punde kutoka kwa Hamas zinadai kuwa mateka wawili kati ya watatu walioonyeshwa kwenye video yao ya awali wamekufa kutokana na mashambulizi ya Israel huko Gaza. Wanajeshi wa Israel kutoka kitengo cha 36 baada ya kuondolewa Ukanda wa Gaza wameshangilia sana wengine...
  4. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Watu wawili wanaodaiwa kuwa Majambazi wamefariki Dunia baada ya kujeruhiwa wakati wakitaka kufanya uhalifu

  5. JamiiForums Tanzania Kisa cha Marafiki Wawili, Madikteta Wakubwa wa Afrika

    Tarehe 8 Januari 1989 serikali ya Uganda ilitoa wito kwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo kumpeleka Idd Amin nchini Uganda ili kujibu mashtaka yanayomkabili ikiwemo uvunjifu wa haki za binadamu. Lakini serikali ya nchi ya DRC wakati ule ikiitwa Zaire ilikataa kutii wito huo. Pichani anaonekana...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi: Vijana wawili waliouawa Vingunguti, Dar ni Panyaroad

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwapiga risasi zilizopelekea vifo vyao Vijana wawili Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) Wakazi wa Vingunguti Jijini Dar es salaam ambapo wamesema Vijana hao walikuwa Wahalifu (Panya Road) na kwamba mwenzao wa...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeghairi kumpatia ujauzito Shamsa baada tu ya kukutana na mabinti wawili wakikicharanga kimombo

    Mipango yangu mimi pamoja na Shamsa imeingiwa kidudu maji. Tulipanga kupeana ujauzito, kisha tumtunze mwanetu mpaka pale atakapofikisha umri wa kwenda shule ili tumnunulie kiufagio na kidumu cha lita 5 akaanze vidudu, aje kutusaidia baada ya miaka 20 ijayo Baada ya kukutana na hawa mabinti...
  8. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Vijana wawili wafariki mikononi mwa polisi

    Vijana wawili ambao ni Bakari Ismail (21) na Shomari Kacheuka maarufu Babuu (22) wamefariki dunia huku vifo vyao vikigubikwa na utata kwakuwa mara ya mwisho December 27,2023 walichukuliwa kwa nguvu nyumbani kwao Vingunguti Jijini Dar es salaam na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari na kisha...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nitailaumu Serikali ya Tanzania juu ya vifo vya vijana wawili waliopoteza maisha vita vya Hamas na Israel

    Naandika moyo wangu ukiwa unavuja damu juu ya vifo vya kikatili vilivyowatokea watanzania Clemence na Joshua. Namuomba Mungu aendelee kuzikumbatia familia zao na kuwapa faraja kuu. Nimemsikiliza moja ya ndugu wa Joshua akielezea namna serikali ambavyo haikuipa uzito suala ya vijana hawa wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je, wajua nini hutokea katika Ulimwengu wa Roho wawili wanapoungana katika NDOA Takatifu?

    Salaam / Shalom!! INTRODUCTON. (Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9). NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho. Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni usafi, NDOA ni utakatifu. Kila mtu aliyezaliwa Huwa anae mtu mmoja ambaye Huwa ndiye ubavu wake. Na hao...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mimi na Mbowe ni watu wawili tofauti, lazima tuwe na mitazamo tofauti ya maoni na ndiyo afya ya chama cha siasa. Hatujawahi gombana hata kidogo

    Anasema chama cha siasa kisichokukwa na majadiliano ni chama mfu. Lissu anasema yeye na Mbowe ni watu wawili tofauti ambao wanaweza na iko hivyo kuwa na mtazamo tofauti juu ya kitu kimoja. Na hiyo ndiyo AFYA/UHAI ya chama cha sisasa. Anasema haijawahi kutokea kusuguana /kuzozanana Mbowe My...
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lawanasa watu wawili wakiwa na noti Bandia za Sh 10,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika kipindi cha kuanzia Novemba 01, 2023 hadi Novemba 11, 2023 limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 34 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo mauaji, utoroshaji madini, wahamiaji haramu, wavunjaji na watengenezaji na wasambazaji wa noti bandia. Jeshi la Polisi Mkoa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wawili niliowabakisha kama marafiki nao nimewafuta!

    Ukiachana na wale wa mbali kidogo kama washikaji ambao huibuka mara kadhaa pale tu wanapokuwa na shida, nilibakisha watu wawili ambao niliamini ni wa kweli ila sasa nimefikia hatua ya kuwafuta pia. 1. Huyu wa kwanza yeye huwa karibu sana pale anapokuwa na matatizo ya kifedha, atakuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

    Wanaukumbi. Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema. Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa. Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
  15. JamiiForums Tanzania Watu wawili wauawa kwa kuchinjwa kisa wivu wa mapenzi

    Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamekutwa wakiwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali, huku chanzo kikidiwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Oktoba...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili wakamatwa India kwa usafirishaji wa kilo 1.5 ya dawa za kulevya

    Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili...
  17. JamiiForums Tanzania Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

    Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri. Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mangariba wawili maarufu kwa ukeketaji vichanga huko Moshi Kilimanjaro watangaza kustaafu

    Mangariba wawili mashuhuri mkoani Kilimanjaro, wanaosifika kwa kukeketa vichanga na wasichana, wamesalimu amri na kutangaza kuachana na kazi hiyo, baada ya kubanwa na Kamati ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) katika Kijiji cha Mawala, Wilaya ya...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa mabinti wawili wametrend sana kwa muda mrefu. Picha zao ziko kila kona ya internet

    Sidhani kama kuna mwana JF alishawahi kupita mitandaoni na kukosa kuona picha za hawa mabinti. Hata kama nia yako sio ku-search mabinti mitandaoni utashangaa unaona picha zao na mara nyingi zikitumika na profile tofauti tofauti na wapigaji wa mitandaoni. sijui nini reason behind ya hawa mabinti...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kiarabu mwenye silaha aua raia wawili wa Sweden mjini Brussels, Ubelgiji

    Imerokea usiku huu huko Brussels. Mwanaume huyo wa kiarabu kaua raia wawili wa Sweden huku akiita Allah Akbar, Allah Akbar. Kakimbia anasakwa, habari zinakuja
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…