watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Watumishi wasio waadilifu TANESCO wachukua rushwa ya laki tano

    Hakika ukicheka na nyani utavuna mabua! Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya WILFRED FRANK NJAU amesikika akilalamika kuombwa rushwa na maafisa wa TANESCO Mbezi beach, kiasi cha Laki tano ili apatiwe huduma ya umeme! Watumishi hao walifika katika nyumba ya NJAU wakiwa gari la TANESCO na...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu: Udanganyifu wa Mitihani ni sawa na uhujumu uchumi, Watumishi watakaobainika watafukuzwa kazi

    Prof. Adolf Mkenda akiwa katika mkutano na waandishi wa habari Dodoma, leo Februari 8, 2023, amesema: “Gharama za kuendesha mitihani ya kitaifa ni kubwa, kufanya udanganyifu ni sawa na uhujumu uchumi hivyo watumishi wa umma watakaobainika kushiriki katika udanganyifu wa mitihani hiyo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge ashauri ajira za watumishi wa umma ziwe za mikataba

    Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na kuchunguza hizi 'Sick Sheet' za ujauzito kwa watumishi, asilimia kubwa ni za mchongo

    Ndugu Habari za wakati. Bila kupoteza muda acha ninielekeze moja kwa moja kwenye maada hapo isemayo : Serikali iwe makini na kuchunguza hizi Sick Sheet za ujauzito kwa watumishi wa Wanawake. % kubwa niza mchongo. Wadau Sick Sheet ni likizo iliyotolewa kwa sababu ya ugonjwa. Na kwa utaratibu wa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lissu umeshindwa kuwazungumzia watumishi walioshushwa mishahara na Mwendazake

    Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao Nawasilisha
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Iweje Rais ateue walimu Ukuu wa Wilaya ikiwa Sheria inataka watumishi wa umma wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

    Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake. Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihusishe na siasa. Polisi na hata wanajeshi pia. Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
  7. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Meneja wa NHIF Dodoma na Watumishi waliokiri kuiba fedha hawajachukuliwa hatua za kisheria na kinidhamu

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma zilizosganywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Watumishi wa Mkoa huo kufanya ubadhirifu wa fedha za...
  8. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Hazina acheni kuitumia CRDB na kuiacha NMB. Watumishi mmeona kinachoendelea

    Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kigogo wa SMZ asema Watumishi wa umma kuanzisha mijadala ya kukebehi, kudharau mwelekeo wa Serikali ni kosa

    AFISA Mdhamini Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Thabit Othman Abdalla, amewataka watumishi wa umma kisiwani Pemba, kutoungana na watu wengine, katika kukebehi na kudharau mipangano, sera na mikakati ya serikali, kwani kufanya hivyo ni ukiukwaji wa maadili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushirikina wa wamiliki wa baa na grocery unaligharimu taifa. Serikali iingilie kati, watumishi wa umma wanamalizwa

    Watumishi wanarogwa na kusahau familia zao. Wanabaki kuwaza urabu na mbunye za mabaamedi. Wanashindwa kufanya maendeleo ya taifa lao. Wanapigwa vipapayu. Hapa bila serikali kuingilia kwa kudhibiti watumishi wataisha. 👇
  11. L

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali ilitizame upya suala la watumishi kukaa mbali na familia zao

    Mimi ninaomba kuwepo na utaratibu wa kuangalia uwezekano wa wanandoa ambao ni watumishi wa umma kukaa karibu na familia zao. Ndoa nyingi sasa hivi zipo mashakani kwa sababu ya kazi mfano unakuta mama Ni mwalimu Bukoba, halafu baba naye yupo Mtwara. Na mifano mingine tunaona hata utendaji tuu wa...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Lindi: Watumishi wa Halmashauri washtakiwa kwa Uhujumu Uchumi

    Januari 11, 2023 imefunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi namba ECO.NO. 1/2023 Katika Mahakama ya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Mhe. Mariam Mchomba. Washitakiwa ni Bw. REUBEN NDIZA MFUNE, ambaye kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Mbarali na Bw. JUMA MASATU...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nafikiria Ni wakati wa kuongezwa kwa mshahara ya watumishi

    Kulingana na kuongezeka kwa Bei za bidhaa muhimu Ni vyema sasa kuwepo na mpango wa kuwaongezea watumishi mishahara yao kwa kuwa Bei za bidhaa zimepanda mno,vinginevyo Hali haitakuwa njema huko tuendako just fikiria Haraka haraka Bei ya mchele ilikuwa 1500/ lakini sasa hivi Ni 3000-3500 na...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Nimeanza kuona uzembe kwa Watumishi wa Afya, Tutawawajibisha

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria vinavyodaiwa kuisha muda wa Matumizi. Ummy amesema “Nimeona clip Mtu anang’ang’ana kumpima Mgonjwa Malaria...
  15. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15

    Serikali ichukue huu ushauri itakuja kunishukuru. Ipange (plan) bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15. Wakati ambapo watu wengi mfukoni hawana kitu Chochote. Lakini pia itakuja kukata kiu ya dai la Muda mrefu, nakumbuka nilisikia ushauri huu unatolewa tangu miaka na...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huku watumishi wengi wakipata nyongeza ya chini ya elfu 70 kuna watumishi wameongezewa mshahara mpaka 90% ya mshahara wao

    Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee. Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa kamari za Kichina, mabonanza na pombe kali unazidi kumaliza watumishi wa umma. CCM ipo kimya

    Walimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza. Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali. Wanasahau familia zao na kutoa matumizi. CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Watumishi Wa Umma Naombeni Ufafanuzi hapa!

    Kwa muajiriwa ambaye hajatimiza Miaka mitatu kazini. Je, inawezekana akapewa ruhusa akarudi kujiendeleza masomoni ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe?
  19. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba mkumbushe Rais kuwa hata madai ya watumishi yame 'mature'

    Ni habari ya kuhuzunisha kwa watumishi wa umma nchini, kupitia hotuba yake ya kusaini mikataba ya ujenzi wa reli ya mwendo kasi (SGR), Rais Samia Suluhu Hassan akitoa ufafanuzi wa ulipaji wa madeni alisema nchi lazima ilipe madeni ya nje kwasababu yame "Mature", akasisitiza kuwa tukikopa kama...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

    Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni. Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
Back
Top Bottom