mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 469
- 1,430
Kwa muda niliofanya kazi serikalini (TAMISEMI) nimeona shida hii kwa watumishi wenzangu.
1. Ni kweli mikopo ina msaada kwa watumishi walio wengi kwa sababu bila mkopo, hawa watumishi wa local government wangeendelea kutia aibu na kuonekana ni watu masikini sana, kumbuka 75% take home za sisi watumishi hazigusi milion moja per month, tunatoka extended family na tuna majukumu mengi ikiwa ni pamoja na kulinda heshima ya serikali ya CCM hivyo bila mikopo tusingeendesha vigali, tusingekuwa na vibanda vya kuishi nk
2. Pamoja na uzuri na umuhimu wa mikopo hii ya watumishi, upande wa pili tumefungwa jela kimya kimya, imagine nakopeshwa miaka saba, halafu mkopo huo nimetumia kujenga nyumba au kununua gari, halafu najikuta take home ni laki tatu na arobain, hapo nilipe ada, nile, nihonge, niweke bundle, nk najikuta nipo hoi mno kiuchumi na nakuwa ni mtu nisiye na furaha kabisa, hata ningekopa kupeleka kwenye biashara, plan ya biashara ya miaka saba si mchezo, so wakopaji wengi tumejikuta hatuelewi kitu na tumeongeza mbinu ya ku top up mkopo so tunajikuta ni watumwa wa madeni na huku wengi tunaishi maisha magumu.
Serikali iongeze salary ili tuwe tunakopa hata kwa mwaka mmoja au miwili, nje ya hapo tunaendelea kuwa na watumishi wanaofanya kazi huku hawaelewi nini hatma yao, kutana na mtumishi mwenye madeni aisee tunatia huruma.