watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Sasa Watumishi kuhama vituo vya kazi kidijitali (online)

    Hayo yamesemwa Bungeni leo na David Silinde, Naibu Waziri OR -TAMISEMI. Mfumo huu unaitwa "Human Capital Management Information System" ambapo mtumishi atakuwa na uwezo wa kujihamisha mwenyewe 'online' bila kupitia kwa wakurugenzi. Lengo ni kuepuka urasimu na rushwa. Akishathibitishwa kuhama...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Unafuu wa watumishi wa Umma kujulikana pindi Bajeti ya Wizara hiyo ukisoma Bungeni

    Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa Umma juu ya kupandishwa kwa madaraja, Kulipwa malimbikizio ya madai yao ya nyuma yatapata ufumbuzi...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Watumishi wameifikisha Tanzania Uchumi wa Kati, tunasubiri nini kuwaongeza mishahara? Asema imeshusha utendaji

    Mbunge wa viti maalum Wafanyakazi, Janejelly James Ntate amesema watumishi wameweza kuifikisha Tanzania Uchumi wa Kati kabla ya wakati wake mwaka 2025. Akiwa kwenye vikao vya bajeti vinavyoendelea mjini Dodoma amesema watumishi walifanya hayo kwasababu serikali kupitia vyama vya watumishi...
  4. Kasomi

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita

    MOROGORO :- Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasimamisha kazi watumishi sita akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA), Tamimu Katakwemba pamoja na Afisa Maji Bonde la Wami-Ruvu, Simon Ngonyani kwa tuhuma...
  5. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo - Modulo ya hifadhi za jamii Igor mikopo Kwa watumishi

    Wakuu salaam. Nimeonelea nitumie ukurasa huu kutoa pendekezo ninaloona ni la manufaa sana kwa mustakabali wa taifa letu. Imekuwa ni kawaida Kwa watumishi kuhangaika kutafuta mikopo kwenye mabenki Kwa riba kubwa sana na wakati mwingine watumishi wamekuwa wakipata mikopo inayowaumiza mitaani...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Serikali yataka Watanzania kumpuuza Profesa Assad kuwa 60% ya Viongozi wa Umma nchini hawana uwezo

    Dar es Salaam. Katibu mkuu ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Dk Laurean Ndumbaro amewataka Watanzania kumpuuza aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Profesa Mussa Assad kwa kutoa tuhuma kuwa maofisa na viongozi katika taasisi za umma wana uwezo mdogo wa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yawaahidi neema watumishi

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema atazingatia maslahi ya watumishi wa umma ikiwamo nyongeza ya mishahara, malipo ya wastaafu na kupandiswa kwa madaraja kwa mujibu wa sheria. Mchengerwa alisema hayo juzi jijini hapa alipokuwa akizungumza na...
  8. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi na watumishi ambao bado wanaweza kuwafanya Watanzania na wawekezaji wasiwe na imani na Serikali ya Rais

    Niseme kwamba kuna viongozi na watumishi ambao bado Watanzania na wawekezaji wanaweza wasiwe na imani na serikali ya Rai Samia Suluhu, uliza kwanini. 1. Namna walikuwa wakisimamia na kutunga sheria za kodi, Habari na walikuwa hawako tayari kulinda haki za binadamu. 2. Manyanyaso ya wananchi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tuseme tu ukweli - Mawaziri na Wabunge wa CCM wa awamu ya tano walikuwa na roho mbaya kwa watumishi wa umma!

    Ukiacha yule Marehemu Mpendwa wetu Mh. Mbunge Bilago aliyefariki labda na wale wa upinzani kidogo - Mawaziri na hata wabunge waliokuwepo katika awamu ya Mwendazake walikuwa wakatili sana. Ndiyo wengi wamepata sababu ya kumsema mwendazake kama ndiyo chanzo cha kila kitu. Mimi ninakataa - wabunge...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli alikataa rushwa wazi, watumishi walioiba wawajibishwe kumuenzi

    Hakuna ubadhirifu uliofanywa na Rais aliyepita, ubadhirifu ulifanya na viongozi wasio kuwa na maadili wakiwemo Mawaziri, makatibu wakuu na maafisa suuri wengine katika sekta mbalimbali. Kama tunataka kumuenzi JPM Basi tuwawajibishe wanaohusika Kama ambavyo angeafanya endapo angekuwa hai...
  11. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Rais ingilia kati suala la Uhamisho kwa watumishi, tumechoka kuibiwa na Maafisa wa Tamisemi

    Wakuu hamjambo,ni matumaini Yangu kuwa hamjambo,mnaendelea na ujenzi Wa taifa kama kawaida. Naomba twende kwenye hoja Yangu,nimekuwa nikifatilia swala la uhamisho kwa watumishi Wa umma na urasmu uliopo,ni ukweli usiopingika kuwa kuna haja ya Serikali kutoa tamko kuwa uhamisho umefungwa na...
  12. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watumishi 4,160 walioondolewa kwa vyeti feki warudishwa

    Naibu Waziri – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Dkt. Mary Mwanjelwa amesema watumishi wa umma 4,160 kati 15,189 walioondolewa kazini kwa kuwa na vyeti vya kughushi wamerudishwa. Dkt. Mwanjelwa amesema Serikali imechukua hatua hiyo baada ya kubainika kuwa...
  13. mkubhi

    JamiiForums Tanzania Hivi watumishi watafanya nini siku Serikali ikisema mwezi huu hakuna mshahara?

    Najaribu kufikilia hivi sasa wapinzani, makanisa na misikiti na vyombo vya habari vipo kimya kama vile havipo Tanzania, siku serikali ikisema mwezi huu mushahara hautakuwepo mpaka mwezi ujao watumishi watalibeba vipi hili? Wakuu naleta kwenu!
Back
Top Bottom