Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
5,807
13,056
Salaam ndugu Wana JF,

Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF.

Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.

Twende kwenye hoja..

Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara anaoendea mpaka nimeshangaa.

Huyu jamaa basic analipwa TGS D = 745k ukitoa makota inayoingia mfukoni ni 500k and something.

Ila sasa huko aendako atakuwa analipwa basic 1.8Mil.

Hili limenifanya nijiulize ""KWANINI HALMASHAURI WANALIPWA KIDOGO KULIKO WATU WOTE SERIKALINI?""

Sometimes naonaga kama kufanya Kazi serikalini ukiwa chini ya TAMISEMI kama ni "laana/Majanga" maana kwenye mshahara huku ni dah "Ashukuriwe Mungu"

Hivi jiulize...
Tax Officer TRA Kazi yake ni kukusanya kodi, ada na tozo na Afisa mapato Halmashauri kazi yake nae ni kukusanya kodi na ushuru. Mbona sasa huyu Tax Officer (accounts) analipwa zaidi ya Afisa mapato wa Halmashauri (accounts)?

Hawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu ana shavu zaidi ya huyu..!!
Why this, ikiwa wote wapo chini ya serikali moja?

Mishahara ya halmashauri inachekesha hasaa.
Ukiachana na afya ambao kidogo wao "alhamdulilahi ila"
1. Ukisoma diploma mshahara ni TGS C = 500k take home 400k
2. Ukisoma Bachelor ya miaka 3
TGS D = 700K take home 500k
3. Ukisoma Bachelor ya miaka mi4 ni TGS E = 900K take home 700k

(Mishahara hii nime approximate kwa kukaribisha zeros at the end)

Na kengine huku Halmashauri hizi masters na short course hazina hata maana ki-mshahara zaidi ya kwamba ni "Added advantage" ila sio ki-financial aspect HAKUNA LOLOTEE. Unakuta wewe una masters na mwenzio bachelor ila mshahara mnafanana.

Huwa nawaambia madogo ""Njoo halmashauri tafuta cheki namba halafu sepa huko kwenye mishahara minono"". Kwani nani asiyependa kufanya Kazi kwenye mshahara mkubwa?

Haiwezekani uliosoma nao wote mpo serikalini ila wao wana mishahara na maposho zaidi yako kisa wewe upo local government!

Kwa upande mwingine. Ukiangalia bungeni wanatupa sana lawama kwa Halmashauri huku wanasahau kuwa watumishi wao bungeni wana mishahara mikubwa kuliko wa halmashauri.

Yaani halmashauri inasemwa sana juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALMASHAURI.

Sijawahi hata siku moja kusikia taasisi yoyote nchini ikiongelea maslahi ya watumishi wa Halmashauri zaidi ya kuwalaumu.

KUHUSU POSHO.
Watu wanakwambia "Halmashauri wanajilipa posho sana"

Wanasahau kuwa, posho ni mapato ya ndani "own source" na kuna Halmashauri hayo mapato ya ndani HAKUNA.

Hivi halmashauri kama Ukerewe, Tanganyika, Momba, Mpimbwe, Ileje WANAJILIPA MAPOSHO kwa mapato gani?

Ikiwa tu makusanyo yao hat Bil 2 kwa mwaka hakuna (maana vyanzo vya kukusanyia hakuna).
Sasa Hawa hizo posho wanapata wapi?

MAMA HALI NI MBAYA.
Watumishi wa Halmashauri Wana hali mbaya. Achana na hizi Halmashauri za mjini, ila hizi Halmashauri za vijijni watu Wana hali mbaya na ""Asilimia 90 ya watumishi wanapigana na kuhangaika ili wahame"" maana hakuna anayekubali mshahara mdogo huku kwenye mkubwa panaonekana.

Imefika wakati hii mishahara ya Halmashauri iangaliwe. Inakuaje mtu mwenye bachelor yake ya uhasibu kaajiriwa tokea 2015 mpaka leo mshahara ni 745,000/= yaani ukitoa kodi kinachobaki ndio aendeshee maisha.

Walimu nao wanateseka.
Hizo TGTS C, D, E, F ukizisoma utadhani ni pesa nyingi.
Sasa ngoja uandikiwe ni kiasi gani UTABAKI KUSHANGAA.

Unakuta mwalimu kasoma na mwenzake Bach. Ed
Huyu kawa mwalimu wa sekondary huyu kaajiriwa assistant tutor.
Sasa ukitaka kuona ""maajabu cheki mishahara yao""

Tutor ana mshahara kuliko mwalimu. Bila kusahau Tutor anaposho za vipindi na vitu vyengine ila yeye mwalimu kwanini asiwe na posho za vipindi?

Kuna Watu wapo taasisi huko WANALIPWA mishahara mara tatu ya halmashauri.

Madereva katika fani nayoonea huruma ni walimu na madereva.

Kwani Kuna utofauti gani wa dereva wa BOT, Wizara na Halmashauri?

Hivi V8/gari si ileile na gia si zilezile na lami si ileile, KWANINI Dereva wa Halmashauri ana TGS B na wengine WANALIPWA mara mbili yake? Au magari yao wao yanapaa na ya halmashauri yanatembea kwenye lami?

HII SI AFYA KABISA.

Nina mengi ya kuongea NAOMBA NIISHIE HAPO.

Mama Niko chini ya miguu yako NAOMBA HILI LITAZAMWE.

Mishahara ya Halmashauri ni nomaaa Raisi wangu.

Asante.

#YNWA
 
Mshahara haujawahi kutosha ata mkiongezewa mkawa mnalipwa mil 2 itafika kipindi mtaanza kulalamika mshahara hautoshi
Kwenye economics tunasema "In real sense every consumer is a mean"

Kwamba kila binadamu anahitaji zaidi ila ukiwa wewe ni baba wa familia una watoto wa5.
Kwanini ukitoka kazini unaleta zawadi kwa upendeleo na ikitokea yule asiyependelewa analalamika utamwambia "Huridhiki"

Kwanini usigawe zawadi sawa ndio uaanze kuwa "judge"??

#YNWA
 
Tatizo kubwa la nchi hii, watu wanaotakiwa kufanya maamuzi wanajifanya hawaoni.

Binafsi, naona hata Kama mishahara ingekuwa midogo lakini HAKI zingine za kawaida Mtumishi wa Halmashauri angekuwa anapewa.

Mtumishi alipwe overtime payments kwa kazi zote atakazofanya weekend, sikukuu na baada ya saa za kazi.
Kikokotoo Cha KUSTAAFU kiwe kimoja kwa watu wote ikiwemo TABAKA la kisiasa.

Ongezeko la mshahara halisaidii kila wakati, maana kiasi chochote kikishaongezwa kinadokolewa Tena kwenye Makato na kubaki ROBO.

Cha muhimu, serikali ilipe HAKI za mtumishi.

Siyo kipesa hicho hicho anacholipwa ndio anakitumia kufanya kazi za serikali Tena.

Mtumishi apewe nyumba ( Kama HAKUNA nyumba, serikali ilipe pango )

- Mtumishi apewe pesa ya nauli ya LIKIZO, Kama ilivyo kwenye sheria.

- Mtumishi alipwe gharama za Usafiri, stationery, na mawasiliano kwa kazi za serikali.

Yaani, ukiajiriwa Halmashauri za kipumbavu, hata pesa za likizo tu hutapata.

Halmashauri hata Sheria za kawaida za utumishi hawaheshimu, kazi zao ni VITISHO tu na kuiba mishahara ya watumishi kupitia vyama vya wafanyakazi.

Halmashauri Kuna upumbavu mwingi sana kiasi kwamba ukiwa timamu Utateseka sana.
 
Nilishasema ikitokea bahati mbaya nikatupwa local government kwa ndugu zetu tamisemi naacha kazi
Issue siyo TAMISEMI tu.

Hata serikali kuu na Mahakama Kuna mishahara ya kipumbavu tu.

Wenye mishahara yenye Afadhali ni Mashirika ya umma, ambayo huwa wanasingizia wanazalisha.

Lakini Halmashauri hata mzalishe vipi, watajilipa posho madiwani, Wakurugenzi na wakuu wa Idara. Wewe hata pesa ya likizo iliyopo kisheria hupati.
 
Salaam ndugu Wana JF...

Naambiwa "Mama" yetu raisi wetu huwa anasoma humu JF.

Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.

Twende kwenye hoja..

Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara anaoendea mpaka nimeshangaa.

Huyu jamaa basic analipwa TGS D = 745k ukitoa makota inayoingia mfukoni ni 500k and something.

Ila sasa huko aendako atakuwa analipwa basic 1.8Mil.

Hili limenifanya nijiulize ""KWANINI HALMASHAURI WANALIPWA KIDOGO KULIKO WATU WOTE SERIKALINI?""

Sometimes naonaga kama kufanya Kazi serikalini ukiwa chini ya TAMISEMI kama ni "laana/Majanga" maana kwenye mshahara huku ni dah "Ashukuriwe Mungu"

Hivi jiulize...
Tax Officer TRA Kazi yake ni kukusanya kodi, ada na tozo na Afisa mapato Halmashauri kaz yake nae ni kukusanya kodi na ushuru.
Mbona sasa huyu Tax Officer (accounts) analipwa zaidi ya Afisa mapato wa Halmashauri (accounts)..???

Hawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu anashavu zaidi ya huyu..!!
Why this, ikiwa wote wapo chini ya serikali moja?

Mishahara ya halmashauri inachekesha hasaa.
Ukiachana na afya ambao kidogo wao "alhamdulilahi ila"
1. Ukisoma diploma mshahara ni TGS C = 500k take home 400k
2. Ukisoma Bachelor ya miaka 3
TGS D = 700K take home 500k
3. Ukisoma Bachelor ya miaka mi4 ni TGS E = 900K take home 700k

(Mishahara hii nime approximate kwa kukaribisha zeros at the end)

Na kengine huku Halmashauri hizi masters na short course hazina hata maana ki-mshahara zaidi ya kwamba ni "Added advantage" ila sio ki-financial aspect HAKUNA LOLOTEE.
Unakuta wewe una masters na mwenzio bachelor ila mshahara mnafanana.

Huwa nawaambia madogo ""Njoo halmashauri tafuta cheki namba halafu sepa huko kwenye mishahara minono"".
Kwani nani asiyependa kufanya Kazi kwenye mshahara mkubwa?

Haiwezekani uliosoma nao wote mpo serikalini ila wao wana mishahara na maposho zaidi yako kisa wewe upo local government...!!!

Kwa upande mwengine.
Ukiangalia bungeni wanatupa sanaa lawama kwa Halmashauri huku wanasahau kuwa watumishi wao bungeni wana mishahara mikubwa kuliko wa halmashauri.

Yaani halmashauri inasemwa sanaa juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALMASHAURI.

Sijawahi hata siku moja kusikia taasisi yoyotee nchini ikiongelea maslahi ya watumishi wa Halmashauri zaidi ya kuwalaumu.

KUHUSU POSHO.
Watu wanakwambia "Halmashauri wanajilipa posho sana"

Wanasahau kuwa, posho ni mapato ya ndani "own source" na kuna Halmashauri hayo mapato ya ndani HAKUNA.

Hivi halmashauri kama Ukerewe, Tanganyika, Momba, Mpimbwe, Ileje WANAJILIPA MAPOSHO kwa mapato gani?
Ikiwatu makusanyo yao hat Bil 2 kwa mwaka hakuna (maana vyanzo vya kukusanyia hakuna).
Sasa Hawa hizo posho wanapata wapi?

MAMA HALI NI MBAYA.
Watumishi wa Halmashauri Wana hali mbaya.
Achana na hizi Halmashauri za mjini, ila hizi Halmashauri za vijijni watu Wana hali mbaya na ""Asilimia 90 ya watumishi wanapigana na kuhangaika ili wahame"" maana hakuna anayekubali mshahara mdogo huku kwenye mkubwa panaonekana.

Imefika wakati hii mishahara ya Halmashauri iangaliwe.
Inakuaje mtu mwenye bachelor yake ya uhasibu kaajiriwa tokea 2015 mpaka leo mshahara ni 745,000/= yaani ukitoa kodi kinachobaki ndio aendeshee maisha.

Walimu nao wanateseka.
Hizo TGTS C, D, E, F ukizisoma utadhani ni pesa nyingi.
Sasa ngoja uandikiwe ni kiasi gani UTABAKI KUSHANGAA.

Unakuta mwalimu kasoma na mwenzake Bach. Ed
Huyu kawa mwalimu wa sekondary huyu kaajiriwa assistant tutor.
Sasa ukitaka kuona ""maajabu cheki mishahara yao""

Tutor ana mshahara kuliko mwalimu. Bila kusahau Tutor anaposho za vipindi na vitu vyengine ila yeye mwalimu kwanini asiwe na posho za vipindi?

Kuna Watu wapo taasisi huko WANALIPWA mishahara mara tatu ya halmashauri.

Madereva...
Katika fani nayoonea huruma ni walimu na madereva.

Kwani Kuna utofauti gani wa dereva wa BOT, Wizara na Halmashauri?

Hivi V8/gari si ileile na gia si zilezile na lami si ileile, KWANINI Dereva wa Halmashauri ana TGS B na wengine WANALIPWA mara mbili yake?
Au magari yao wao yanapaa na ya halmashauri yanatembea kwenye lami?

HII SI AFYA KABISA.

Nina mengi ya kuongea NAOMBA NIISHIE HAPO.

Mama Niko chini ya miguu yako NAOMBA HILI LITAZAMWE.

Mishahara ya Halmashauri ni nomaaa Raisi wangu.

Asante.

#YNWA

Una hoja usikilizwe.
 
Issue siyo TAMISEMI tu.

Hata serikali kuu na Mahakama Kuna mishahara ya kipumbavu tu.

Wenye mishahara yenye Afadhali ni Mashirika ya umma, ambayo huwa wanasingizia wanazalisha.

Lakini Halmashauri hata mzalishe vipi, watajilipa posho madiwani, Wakurugenzi na wakuu wa Idara. Wewe hata pesa ya likizo iliyopo kisheria hupati.
Mbona nasikia wizarani freshi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom