watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Nafikiria Ni wakati wa kuongezwa kwa mshahara ya watumishi

    Kulingana na kuongezeka kwa Bei za bidhaa muhimu Ni vyema sasa kuwepo na mpango wa kuwaongezea watumishi mishahara yao kwa kuwa Bei za bidhaa zimepanda mno,vinginevyo Hali haitakuwa njema huko tuendako just fikiria Haraka haraka Bei ya mchele ilikuwa 1500/ lakini sasa hivi Ni 3000-3500 na...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Nimeanza kuona uzembe kwa Watumishi wa Afya, Tutawawajibisha

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria vinavyodaiwa kuisha muda wa Matumizi. Ummy amesema “Nimeona clip Mtu anang’ang’ana kumpima Mgonjwa Malaria...
  3. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15

    Serikali ichukue huu ushauri itakuja kunishukuru. Ipange (plan) bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15. Wakati ambapo watu wengi mfukoni hawana kitu Chochote. Lakini pia itakuja kukata kiu ya dai la Muda mrefu, nakumbuka nilisikia ushauri huu unatolewa tangu miaka na...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huku watumishi wengi wakipata nyongeza ya chini ya elfu 70 kuna watumishi wameongezewa mshahara mpaka 90% ya mshahara wao

    Habari ndio hiyo. Hili jambo watu wa benki kitengo cha mikopo wanalijua, watumishi wa hazina wanalijua. Kazi iendelee. Hizi ni tetesi nilizozipata kwa mmoja wa wanufaika wa 90%.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa kamari za Kichina, mabonanza na pombe kali unazidi kumaliza watumishi wa umma. CCM ipo kimya

    Walimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza. Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali. Wanasahau familia zao na kutoa matumizi. CCM ipo kimya. Watumishi wanahitaji msaada wa kisaikolojia.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Watumishi Wa Umma Naombeni Ufafanuzi hapa!

    Kwa muajiriwa ambaye hajatimiza Miaka mitatu kazini. Je, inawezekana akapewa ruhusa akarudi kujiendeleza masomoni ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe?
  7. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba mkumbushe Rais kuwa hata madai ya watumishi yame 'mature'

    Ni habari ya kuhuzunisha kwa watumishi wa umma nchini, kupitia hotuba yake ya kusaini mikataba ya ujenzi wa reli ya mwendo kasi (SGR), Rais Samia Suluhu Hassan akitoa ufafanuzi wa ulipaji wa madeni alisema nchi lazima ilipe madeni ya nje kwasababu yame "Mature", akasisitiza kuwa tukikopa kama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Donor countries hawaanzi na sala na dua katika shughuli za kiserikali lakini watumishi wake ni waadilifu sana. Hapa Tanzania sasa!!

    Yawezekana ndiyo maana kama taifa hatutoboi. Kila siku tunaogelea kwenye mabalaa na majanga. Ni kwasababu tunamdhihaki Mungu wetu wa mbinguni. Hawa hawa viongozi wetu ambao ni wafujaji wa kodi zetu, wezi wa mali ya umma na wala rushwa wakubwa ndiyo kila wakikutana kwenye mikutano, warsha na...
  9. notyfeky

    JamiiForums Tanzania Changamoto mbalimbali kwa watumishi wanaohama vituo vya kazi na utatuzi wake

    Habari za muda huu ndugu watumishi wa Umma. Naomba uzi huu Uwe maalum kabisa kwa ajili ya kupeana uzoefu kuhusu changamoto mbalimbali zinazo wakabili watumishi wa umma kabla, wakati na baada ya kupata uhamisho wa kikazi. Mfano Mimi binafsi niliomba uhamisho wa kubadilishana kituo cha kazi...
  10. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka watumishi kuvikataa vyama vya wafanyakazi nchini

    Ni muda mrefu sasa watumishi nchini wamekuwa wakinyimwa haki zao ambazo zingine ni za kikatiba kabisa, kwa mfano kupewa nyongeza ya mishahara kila mwaka (annual incriment), upandaji wa vyeo, ulipwaji wa madeni na stahiki zingine, n.k. Kutokana uwepo wa vyama vya wafanyakazi (trade unions) kama...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo apata kashfa nzito ya kupora Tsh Milioni 400 za madereva bodaboda

    Gazeti la Raia Mwemba, leo Novemba 28, 2022 limetawaliwa na habari kubwa kuhusu mwanasiasa Mrisho Gambo kudaiw akupora Tsh. Milioni 400 za madereva bodaboda. ====== Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Shilingi 400 milioni...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Niliyoyaona jana kwenye ATM ya NMB Gongolamboto yanatia aibu kwa watumishi

    Nilikuwa napita jioni kuelekea job. Si mnajua night shift zetu walinzi ndugu zangu. Nilikuwa nimempa lift mfanyakazi mwenzangu tukitokea Chanika. Sasa nafika NMB Gongolamboto nikiwa barabarani jamaa akaniambia ona ile foleni, nikacheki kushoto nakuta foleni ya haja. Nikakumbuka kuwa ni tarehe...
  13. Kollebundle

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali na haki kwa baadhi ya Watumishi wa Mungu kujimilikisha kazi Mungu?

    Natumai wadau nyote mu wazima, tafadhalini naombeni mrejee kichwa cha habari hapo juu. Je ni halali na haki watumishi baadhi wa Mungu nyakati hizi kujimilikisha kazi ya Mungu ikiwa ni kweli wanaifanya hiyo kazi kwaajili ya Mungu na siyo kujinufaisha wao? Na kama ni halali je, huo uhalali...
  14. Mr IQ

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wa Serikali wana hali duni kiuchumi?

    Habari za kazi wanajamvi, Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa, na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi? Na nini...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watumishi wanne wakamatwa Handeni, 27 wasakwa

    Jeshi la Polisi limewakamata viongozi wanne wa Serikali wilayani Handeni mkoani Tanga kwa tuhuma za kuuza ardhi ekari zaidi ya 500 na mbao 1,000 kinyume na utaratibu. Viongozi hao wamekamatwa leo Jumapili Novemba 13, 20 kufuatia agizo la Mkuu wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba. Mgumba ametoa agizo...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuna taasisi za serikali watumishi wake wananuka madeni kama wamelaaniwa

    Habari! Katika pilikapilika za hapa na kule nilifika ofisi moja ya umma (Shirika la umma). Watumishi wamejaa madeni sio poa, mtumishi anadaiwa na Bank mpaka tatu, au benki moja kuna deni juu ya deni. Hapo kuna mikopo ya wakopesha pesa kwa riba, yaani pesa za mkononi. Akipata posho analipa...
  17. AKILI TATU

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma simamieni miradi ya maendeleo kwa uadilifu

    NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi amewataka watumishi wa umma nchini kuwajibikaji kikamilifu katika kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa nchini ikiwemo ujenzi wa madarasa, zahanati, vituo vya afya na miundombinu ya barabara na...
  18. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Maliasili wasio waaminifu kuwajibishwa

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amewaagiza Wakuu wa Wilaya nchini kuwawajibisha watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wasio waadilifu katika kusimamia maeneo ya Hifadhi. Ameyasema hayo leo Oktoba 19, 2022 wakati wa Kikao cha Kamati ya Mawaziri wa Kisekta ya...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa Mkoa awasimamisha kazi watumishi 4 Halmashauri ya Muheza, ubadhirifu na utendaji mbovu vyatajwa

    Waliosimamishwa ni Ramadhani Mtingi (Idara ya ujenzi), Zainabu Mzindakaya (Mweka Hazina wa Halmashauri), Furaha Sarakikya (Idara ya Manunuzi) na Serapion Basgange (Afisa Elimu Sekondari). Mkuu wa Mkoa Omary Mgumba amewatuhumu watumishi hao kutumia vibaya Fedha za Serikali na Usimamizi Mbovu wa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watumishi KCMC wahojiwa na Polisi kwa kudai Posho zao mtandaoni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro, kitengo cha makosa ya kimtandao, linawahoji wafanyakazi kadhaa wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC ya mjini Moshi kwa tuhuma za makosa mbalimbali ya kimtandao. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Simon Maigwa ambaye yuko safarini kikazi nje ya...
Back
Top Bottom