watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa Umma huenda kazini kwa lengo la kupiga dili tu

    Habari! Nikiwa kwenye utumishi wa umma kwa miaka karibu 8 sasa nina experience ya kutosha kuhusu utumishi na maisha ya utumishi. Kama mlinzi msomi mwenye shahada ya HRM nimefanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha kuwa watumishi wa umma % kubwa wanakwenda kazini huku kichwani wamebeba mawazo...
  2. Kamgomoli

    JamiiForums Tanzania Viwango vya Michango ya Mwenge kwa Watumishi

    Hili la mwenge litafakarisha sana. Iringa kila mtumishi kaagizwa kutoa mchango kama ifuatavyo. 1. Watendaji kata 30,000/= 2. Waratibu Elimu 30,000/= 3.Watendaji wa mitaa 15,000/= Pia watendaji wa mitaa wanatakiwa kuchangisha fedha mitaani huku kila mmoja akipewa malengo ya kiasi cha...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete amezitaka Taasisi za TPSC na Uongozi kuandaa programu za mafunzo zitakazoboresha utendaji kazi kwa Watumishi na Viongozi

    TPSC NA TAASISI YA UONGOZI ZATAKIWA KUANDAA PROGRAMU ZA MAFUNZO ZITAKAZOBORESHA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI WA UMMA NA VIONGOZI. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekitaka Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) na Taasisi ya...
  4. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Msimu wa Mateso kwa Watumishi: Halmashauri zimeanza kuwatishia Walimu na watumishi wengine kutoa mchango wa Mwenge, 2023

    Yaani kuwa mtumishi Halmashauri ni kama laana, kimshahara chenyewe cha mtumishi ni kidogo, alipe Kodi ya nyumba. Bado Serikali inashirikiana na vyama vya Wafanyakazi kukata pesa za mishahara ya Watumishi bila msaada, then kwenye kimshahara hicho hicho bado unatishiwa na kulazimisha kuchangia...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu hahitaji Zaka na Sadaka yako, Sadaka na Zaka ni Malipo ya Watumishi wa dini

    MUNGU HAHITAJI ZAKA NA SADAKA YAKO, SADAKA NA ZAKA NI MALIPO YA WATUMISHI WA DINI. Anaandika, Robert Heriel Kuhani "Mtolee Mungu" " Hiyo ni sadaka Kwa Mungu wako" " Unamnyima Mpaka Mungu anayekupa uhai" Na kauli zingine kama hizo, ni Utapeli mtupu. Kuna Ile unaambiwa" mtolee Mungu ili...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya watumishi ni hatari kwa uchumi na afya ya akili na mwili

    Kwa muda niliofanya kazi serikalini (TAMISEMI) nimeona shida hii kwa watumishi wenzangu. 1. Ni kweli mikopo ina msaada kwa watumishi walio wengi kwa sababu bila mkopo, hawa watumishi wa local government wangeendelea kutia aibu na kuonekana ni watu masikini sana, kumbuka 75% take home za sisi...
  7. maiyanga1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Natamani kuona kila mtumishi anasikilizwa kero zake

    Hayo ni maneno aliyoyasema Mchengerwa waziri wa Mali asili na Utalii jana tarehe 20/03/2023 kwenye kikao cha 30 cha baraza la wafanyakazi. Kwako Waziri, naamini ulisema hivyo kwa sababu unajua kwamba watumishi hawasikilizwi shida na kero zao. Kuanzia hapo Mpingo house kuna maafisa utumishi ni...
  8. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

    Salaam ndugu Wana JF, Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF. Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii. Twende kwenye hoja.. Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara...
  9. Hold on

    JamiiForums Tanzania Wekeend tuwaachie watumishi

    Mko good? Hivi mtu kabisa unatoka leo unasema unaenda club au bar unasema ni wekeend sio sawa? Wekeend kwa kawaida ina anzia Jumatatu mpaka Alhami, Ijumaa tuwaachie watumishi ni zamu yao!
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kagusa Watumishi kwa Mikopo ya Elimu nchini kuanzia Vyuo vya kawaida, Kati na Vyuo Vikuu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kurahisisha ugumu wa maisha Kwa watumishi. Mnamo tarehe 14.3.2023 Serikali kupitia Wizara ya Elimu ikishirikiana na benki ya NMB wameanzisha mfuko uitwao Elimu Loan. Mfuko huu utatoa mikopo kwa riba ya 9%, hii...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Wafanyakazi Janejelly Ntate Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa Miaka Miwili Madarakani kwa Aliyoyafanya kwa Watumishi

    MBUNGE WA WAFANYAKAZI JANEJELLY NTATE AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI KWA ALIYOYAFANYA KWA WATUMISHI Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  12. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Watumishi Sant Clara wangaliwe, watakuja kuua

    Jamani siku moja nilienda Katika Hospitali ya Sant Clara ambayo iko Mkolani Jijini Mwanza kwaajili ya Matibabu ya Mke wangu, baada ya kufika tulianzia mapokezi ambapo tuliandikiwa vitu vya kufanya tulianza na vipimo, tukapima vyoote tukamaliza, baadae tukaruhusiwa kwenda nyumbani salama kabisa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Wafanyakazi Janejelly James Ntate azungumza na Watumishi Ofisi ya RAS Dar es Salaam

    MBUNGE WA WAFANYAKAZI MHE. JANEJELLY NTATE AZUNGUMZA NA WATUMISHI OFISI YA RAS (KATIBU TAWALA MKOA) DAR ES SALAAM Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Taifa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 08 Machi, 2023 amezungumza na watumishi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam kikao...
  14. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Je, mikopo kupitia pension kwa watumishi wa umma bado ipo?

    Habari za muda huu waungwana? Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na utaratibu wa mtumishi wa umma anapofanya kazi na kukatwa pension kwa miaka 15+ anaweza kukopeshwa sehemu ya pension yake na mfuko anaouchangia. Je, utaratibu huo bado upo? Najua humu wapo wajuzi wa mambo mengi na bila shaka...
  15. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Nimefungua huu uzi kwa ajili ya kuwakutanisha watumishi wote wenye idea ya ujasiriamali, wanaofanya biashara,kilimo,ufugaji na wanaotarajia kufanya biashara, kilimo na ufugaji n.k Kwa ugumu wa maisha jinsi ulivyo mfumuko wa bei ni ndoto kwa sisi watumishi wa halmashauri kutoboa, Kuna clip moja...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sababu gani watumishi wengi hutaka mabosi wanaume maeneo ya kazi?

    Naomba tujadili hii mada. Ni kwasababu gani watumishi wengi hupenda kuongozwa na mabosi wanaume kuliko mabosi wanawake katika maeneo ya kazi?
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Watumishi wasiozingatia Maadili Kuchunguzwa

    Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama ameiagiza Tume ya Utumishi wa Umma nchini kufuatilia kwa karibu Halmashauri zote nchini na kubainisha Halmashauri ambazo hazizingatii maadili ya utendaji kazi katika utumishi wa umma ili waweze...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA, itabidi baadhi ya Ofisi, idara zake na watumishi zihamishiwe Ubelgiji

    Kwa kuwa ni dhahiri kwamba Lissu hawezi kukaa Tanzania kwa zaidi ya mwezi, endapo CHADEMA itathubutu kumpa uenyekiti wa chama, itabidi baadhi ya idara na watumishi wapate uhamisho wa kuhamia Ubelgiji, vinginevyo baadhi ya shughuli zitakwama, na itabidi maafisa na myaraka ziwe zinaoanda ndege...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA Kinondoni ni shida

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
  20. M

    JamiiForums Tanzania NIDA ni ufahamu mdogo wa baadhi ya watumishi au Rushwa?

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
Back
Top Bottom