watumiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Watumiaji wa Printer za Epson na Nyingine. Inkpad Reset software Nauza

  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo) ni changamoto kwa watumiaji kutokana na ubovu

    Mimi ni mkazi wa Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo, Dar es Salaam) huku kwetu kuna kero ya barabara kuwa mbovu. Changamoto hiyo inasababisha ajali na usumbufu mkubwa hasa kwa watoto wa shule, Barabara hiyo haijawahi sawazishwa kwa miaka karibu miwili sasa. Tunaomba Serikali ya Mkoa iangalie hali...
  3. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa watumiaji wa Tik Tok

    Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Tik Tok basi tambua kuwa Kuanzia sasa muziki wowote unaomilikiwa na Universal Music Group hautakuwepo kwenye orodha ya nyimbo za kutumia TikTok. Video za zamani zilizotumia nyimbo za wasanii wa Universal Music Group hazitakuwa na sauti tena. Kwenye barua ya...
  4. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Ukweli kuhusu watumiaji wa JamiiForums

    Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao. Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania TCRA imesema watumiaji wa internet wapo 35M

    TCRA Wametoa report ya Q2 inaonyesha watumiaji wapo 35M wa internet. Hii ni work force kubwa sana , na ni muda wa serikali kuwaza sasa kutengeneza ajira za mitandaoni nyingi sana. Ukosefu wa ajira za kawaida na ongezeko la watumiaji wa internet inaleta picha ya ama serikali itengeneze ajira...
  6. shamzugi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Tanga kuna uozo mkubwa, Serikali imulikeni

    Kwanza nianze kwa kuwapa salam. Muende moja kwa moja kwenye malalamiko yangu. Ni jumanne ya wiki hii nyumba tunayoishi Mimi pamoja na wapangaji wenzangu tulikatiwa maji kutokana na baadhi yetu kulimbikiza malipo ya Ankara za Kila mwezi. Siku ya jumatano tulifanikiwa kulipa bili pamoja na faini...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wale watumiaji wa Tecno tunateseka sana na hili jambo

  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia windows 11, tupeni ushauri watumiaji wa windows 10, tuhamie huko au tubaki ?

    Ni mwaka wa sita huu natumia windows 10, najikuta kwenye mazingira ya kushawishika kuweka windows 11 maana ndio windows toleo jipya zaidi, ila nimeona kwanza nipate ushauri wenu mnaotumia ama mliowahi kutumia windows 11. Kuna mambo gani tunayakosa watumiaji wa windows 10 ? mipangilio...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ripoti TCRA: Watumiaji wa Intaneti Tanzania wafikia Milioni 34.4

    Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa taarifa ya mwenendo wa Sekta ya Mawasiliano katika kipindi cha July hadi September mwaka huu ambapo imesema kumekuwa na ongezeko la Watumiaji wa Intaneti kwa 1.24% kutoka Watumiaji 34,047,407, mwezi June 2023 hadi kufikia 34,469,022 mwezi September...
  10. JohMkimya

    JamiiForums Tanzania Kati ya app ya SportPesa, Sokabet na Mbet ipi ina watumiaji wengi?

    Oiii wadau wa majamvi enh nataka nianze kuweka majamvi ila makmpuni yamkuwa mengi sana sahv, Mnashauri nicheze na kampuni gani na kwanini?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko iwajibishe TPDC kwa makusudi wanayoifanya kwa watumiaji wa Gesi kwenye magari

    Kwa muda sasa kumekuwa na usumbufu mkubwa wanaoupata watumiaji wa magari ya gas. Foleni ya kujaza gas ni masaa 3 hadi 4. Hakuna sababu za msingi zaa kunyima watu vibali vya ujenzi wa vituo vya gas. Wajibisha hawa watu ili hili tatizo liishe.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Usajili wa VPN unafanyika ili kuwatambua Watumiaji wa Intaneti

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hilo linatokana na ongezeko la Wananchi zaidi ya 50% kutumia Intaneti ambapo kama kuna mtu ana mawazo ya hovyo atatamani kufanya majaribio yake huko, hivyo Serikali imekuwa ikitunga Sheria zitakazowalinda watumiaji wake...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

    Habari zenu ndugu zangu tunaomba tuchukue tahadhari ikiwa habari hii ni ya kweli, kwani Tsunami maafa yake ni makubwa.
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Apple (iOS) wana hatari ya kudukuliwa ikiwa hawajasasisha vifaa vyao

    Kwa muda mrefu, Apple imepongezwa kwa faragha na usalama wa watumiaji wake. Mfumo wa iOS, ulijijengea sifa ya kuwalinda watumiaji dhidi ya vitisho vya kidijitali. Hata hivyo, hakuna mfumo ambao hauwezi kushambuliwa kabisa. Watafiti wa Citizen Lab na Kikundi cha Utafiti cha Usalama cha Google...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kijijini na Maisha ya Sehemu au mitaa ya kijijini hayana utofauti wowote.

    Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini. Mfano Tandika Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine. Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula. Warembo wa huku ni wale ambao hawana...
  16. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa alkasusu wameongezeka sana

    Hichi kinywaji kadili siku zinavyozidi kwenda kinazidi kupata umaarufu mkubwa hasa kwa vijana mida ya jioni wengi wameachana na kahawa wamehamia huku kwenye alkasusu Ukisikiliza story za vijiweni vijana wanakuambia kinywaji hichi kinasaidia kudumisha ufanyaji wa tendo la ndoa kwa muda mrefu...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania META kulipa Faini ya Tsh. Milioni 243.7 kila siku kwa kuingilia Faragha za Watumiaji wake

    Adhabu hiyo imetolewa na Mamlaka ya Ulinzi wa #TaarifaBinafsi ya Norway baada ya META kutoweka wazi jinsi inavyoingilia Faraga za Watumiaji wake kupitia Matangazo ya Biashara ============ Facebook owner Meta Platforms (META.O) will be fined 1 million crowns ($98,500) per day over privacy...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

    TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara. ORODHA 1. Vodacom - 19,116,166 2. Airtel - 17,505,139 3. Tigo - 17,484,387 4. Halotel - 8,410,029 5. TTCL - 1,559,090 6. Smile - 13,840
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Mtandao wa Threads yadaiwa kushuka kwa 75%

    Uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Sensor Tower inayohusika na masuala ya utafiti wa Masoko ya Kimtandao, umebaini kuwa matumizi ya #Threads yameshuka kwa 75% ikiwa ni wiki chache tangu Mtandao huo kuingia sokoni. Threads ambayo ilifanikiwa kuweka rekodi ya kupakuliwa na watumiaji zaidi Milioni...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti TCRA: Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa huduma za Simu Tanzania

    Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi Watu Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watumiaji wa Huduma za Simu Tanzania Bara ni Dar es Salaam...
Back
Top Bottom