Kati ya app ya SportPesa, Sokabet na Mbet ipi ina watumiaji wengi?

Kama wewe ni mpenzi wa kucheza michezo ya Kasino nadhani Sokabet haina mpinzani, sina uhakika na kwenye sports coz mimi napenda kasino tu
 
Kwa swali lako la heading MBET ndo inawatumiaji wengi kwa sababu unaweza tengeneza mikeka bila kujiunga hvyo tukija kwenye maelezo ya swali na kwa kuwa wewe ni mzee wa mikeka nenda betpawa kwa sababu wanabonasi nzuri na kubwa kwa wale wazee wa timu nyingi
 
Zingine zote ni nzito sana. hapo unyama ni app ya Sokabet Africa... yani ukigusa tu imoo 🔥
 
Back
Top Bottom