Maisha ya kijijini na Maisha ya Sehemu au mitaa ya kijijini hayana utofauti wowote.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,786
44,858
Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini.

Mfano Tandika
Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine.

Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula.

Warembo wa huku ni wale ambao hawana Exposure na Maisha yeye Kachori na mihogo ya kukaanga ni bora Sana kuliko mkate wenye blueband .

Elimu , huku vijana wengi hawajaenda shule na walioenda shule wengi kwao shule sio kipaumbele.

Tabia ,Kama ilivyo vijijini na uswahilini watu wengi wanaamini katika kuvunja Nazi njia panda.

Majungu ,fitina , roho mbaya n.k huku ndo mahala pake.

Hivyo wewe kijana uliyeko kijijini utakapokuja dsm na ukafikia uswahilini Basi fahamu tu mazingira hayatakusumbua.
 
ContentCreator
Moderator

Naomba tittle isome hivi " Maisha ya Uswahilini na kijijini hayana utofauti"
 
Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini.

Mfano Tandika
Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine.

Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula.

Warembo wa huku ni wale ambao hawana Exposure na Maisha yeye Kachori na mihogo ya kukaanga ni bora Sana kuliko mkate wenye blueband .

Elimu , huku vijana wengi hawajaenda shule na walioenda shule wengi kwao shule sio kipaumbele.

Tabia ,Kama ilivyo vijijini na uswahilini watu wengi wanaamini katika kuvunja Nazi njia panda.

Majungu ,fitina , roho mbaya n.k huku ndo mahala pake.

Hivyo wewe kijana uliyeko kijijini utakapokuja dsm na ukafikia uswahilini Basi fahamu tu mazingira hayatakusumbua.
Ndio mnavyowadanganya wenzenu mwisho wanakunja kulala mabarabarani.
 
Ila hapo kwenye mademu kuna ukweli.
Unakuta mtoto mzuri kabisa ila yupo yupo tu anapekua na kijora hana habari.
 
Personally ukiyatazama Maisha ya uswahilini huwezi yatofautisha na Maisha ya kijijini.

Mfano Tandika
Bidhaa zipo bei Rahisi Sana Kuanzia soko la sterio na masoko mengine.

Mzunguko wa hela , uswahilini pesa haizunguki Sana labda bidhaa za chakula.

Warembo wa huku ni wale ambao hawana Exposure na Maisha yeye Kachori na mihogo ya kukaanga ni bora Sana kuliko mkate wenye blueband .

Elimu , huku vijana wengi hawajaenda shule na walioenda shule wengi kwao shule sio kipaumbele.

Tabia ,Kama ilivyo vijijini na uswahilini watu wengi wanaamini katika kuvunja Nazi njia panda.

Majungu ,fitina , roho mbaya n.k huku ndo mahala pake.

Hivyo wewe kijana uliyeko kijijini utakapokuja dsm na ukafikia uswahilini Basi fahamu tu mazingira hayatakusumbua.
Tatizo Mutashobya unafaninsha maisha ya Kemondo na Rwamishenye pasipo kukumbuka kuwa ninyi mmejaa fitina na unafiki

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom