Toleo jipya la iPhone 28 Pro na iPhone 18 Pro Max halitakuwa na Dynamic Island na Face ID itakuwa chini ya kioo.
Ikumbukwe, Dynamic Island ilianza kutumika kwenye iPhone 14 Pro na kuendelea.
Baadhi ya wadau wameanza kulalamika kuwa iPhone zinarudi kwenye muundo wa simu za android...
JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content
Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili
Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria
Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama
Hatuwezi...
Hivi mtu na akili yako kabisa unatumiaje hizo simu tajwa hapo juu? Kwanza kwani hizo ni simu? Au mabomu tu ambayo yametengenezwa na wachina?
Kwanza mimi nikimuona mtu anatumia simu tajwa hapo juu sijui namuonaje sijui namuona kama sometime akili zake zimeruka au amewehuka kabisa yaani wewe...
Wakuu, October mwishoni hadi November mwanzoni internet ilizimwa.
Sasa kuna watumiaji wa unlimited internet kutoka Airtel tulikua tushalipia, lakini kwann ilo week hawajafidia? Tarehe yao ilipofika tu bando limekata?
Kinaitwa Anjari aka Heltho. Kuna wakati nimewahi kunywa kama mara 3 hivi. Juzi juzi nilikuja Bongo nikapewa nyumbani kwa jamaa yangu mmoja. Sikuweza kataa nikanywa.
Swali je kinatengenezwaje? Yaani wanachanganya nini na nini? Je hakina madhara kiafya? TBS huwa wanalala na wale wa chakula na...
Huduma ya intaneti inaonesha kuongezeka utumiaji kutoka milioni 54.1 mwezi Juni 2025 hadi kufikia milioni 56.3 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 4.1.
Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha idadi ya...
Juzi kati nilienda Mkoani Lindi kumtembelea ndugu yangu wakati huu wa likizo, kuna jambo nililikuta huko na kuniacha mdomo wazi.
Wenyeji wangu waliniambia kwa kuwa wao wako bize walilazimika kwenda kuwatafutia uanchama Watoto wao kwenye Maktaba ya Mkoa ili wapate nafasi ya kujisomea, lakini...
Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando.
Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama
1. ursa net vpn
2. biddinet vpn
3. ommanova vpn
4. geo tunnel vpn
Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
Habar za mda huuu wakuu
Kwa watumiaji wa android Tv naomba kuuliza aiseh nmenunua smart tv na lengo langu nlikuw napenda kutumia Netflix ila kuna kipengele nikiwa nafungua Netflix inaniletea get started afu kwa pembeni kuna log in ila sasa nabonyeza kila pande nashindwa sehem ya kupitia...
Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya...
Barabara ya Muambe Kengeja, Wilaya ya Mkoani, Pemba imekuwa kero, katikati ya njia kuna drainage za kupitishia maji ambazo wamezitengeneza kwa zege, nondo zimeshang’oka na zimetokeza juu.
Ikitokea umepita kwa mwendo wa haraka unaweza kujeruhiwa na nondo zilizopo hapo.
Tunaomba Mamlaka...
M.2 SSD ni Nini? Fahamu Chanzo cha Kasi Mpya kwenye Kompyuta za Kisasa
Na Maleko GJ
Ikiwa kuna kitu kimoja watumiaji wa kompyuta wanataka zaidi kila siku, ni kasi. Kasi ya kuwasha kompyuta, kufungua programu, kuhifadhi mafaili, na kufanya kazi nzito kama video editing au gaming.
Na jibu la...
HUKO INSTAGRAM KUANZIA JANA KUMEWAKA KILA POST YOYOTE UTAKAYO GUSA HAIJALOSHI INAHUSIHANA NA NINI UKIFUNGUA COMMENT 99% WATU WOTE UNAKUTA WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION" HATA KAMA POST ZA KANGA MOKO WATU WAMECOMENT "NO REFORM NO ELECTION"...😅😅
PILI WAMEANZISHA OPERATIONS YA KU UNFOLLOW NA...
Mhandisi wa Miundombinu ya Mawasiliano kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Leo Magomba amesema kwamba katika bara la Afrika wanaotumia internet ya uhakika ni asilimia 38 kati ya watumiaji wote, ambapo amedai kuwa zinahitajika juhudi za pamoja kuchochea...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Silaa amesema Watumiaji wa intaneti nchini wameongezeka kutoka milioni 37.3 April, 2024 hadi milioni 49.3 April, 2025 sawa na ongezeko la asilimia 32.3.
Waziri Silaa amesema hayo leo May 16,2025 wakati akiwasilisha Bungeni Jijini Dodoma...
Kama fundi ambaye nimekuwa kwenye hii fani kwa muda sasa, nimegundua jambo moja ambalo linaumiza wateja wengi – matumizi ya spare parts zisizo halisi kwa sababu tu ya bei kuwa ndogo.
Watu wengi wanapokuwa kwenye harakati za kutengeneza magari yao, hasa kwenye maeneo muhimu kama brake system...
Habari za Leo wanajamii forum.
Nimetuma mzigo kwa njia ya posta siku kadhaa zilizo pita kwa EMS.
Sasa niliyemtumia anadai hajaupata lakini nikiutrack napata notification hii kwenye picha hapo chini.
Je mzigo umefika au Bado.
Mnaotumia iPhones mnafanyaje kudownload nyimbo bila kuzinunua na ku save kwenye sim zenu na kusikiliza muda wowote pale mnapojiskia?
Kama inavyofahamika kwamba iPhone vitu vingi huwezi download bila kununua.
Naomba msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.