watuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kwa watuhumiwa wasio na uwezo wa Wakili binafsi?

    Je, kuna msaada wowote wa Kisheria (ikiwemo kuwekewa mwanasheria na serikali) kutoka Taasisi za Serikali kwa Watuhumiwa ambao hawana uwezo wa kulipia Wakili binafsi?
  2. O

    JamiiForums Tanzania WATUHUMIWA WA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE WAKIFIKISHWA MAHAKAMANI

    https://www.youtube.com/watch?v=Msu_70errXQ Credit: Millard Ayo
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar: Watuhumiwa 17 wakamatwa wakitaka kuwafanyia Mtihani Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Prof. Elifas Bisanda ameliomba Jeshi la polisi kuwafikisha Mahakamani haraka iwezekenavyo watuhumiwa 17 waliokamatwa wakijaribu kuwafanyia mtihani wanafunzi mbalimbali chuoni hapo. Prof. Bisanda ameyasema hayo Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Uingereza watuhumiwa kubaka na kutelekeza Watoto Kenya

    KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia Watoto bila msaada wowote Kwa mujibu wa ripoti ya CNN, mamia ya Wanawake wameandika malalamiko hayo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watuhumiwa Watano wa makosa ya mauaji Wilayani Kilosa wakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea kuimarisha operesheni zake dhidi ya uhalifu na wahalifu. Operesheni hizo zimepata mafanikio makubwa ikiwemo kuwakamata watuhumiwa watano wa matukio ya mauaji ambayo yametokea katika wilaya ya Kilombero na Kilosa kati ya Mei 26, 2024 na Juni 2, 2024...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watatu wakamatwa kwa kumteka mtoto Mbeya

    Jeshi la Polisi limesema limefanikiwa kumpata mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 05 mwanafunzi wa Shule ya awali Isaiah Samartan iliyopo jijini Mbeya aliyeripotiwa kupotea mei 15,2024 muda wa saa 11:45 jioni huku Jeshi hilo likiwashikilia watuhumiwa watatu kuhusiana na tukio hilo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128, wamo wa Dawa za Kulevya, Gongo Lita 223

    Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128 kwa makosa mbalimbali wakiwa na vielelezo vya makosa hayo. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema wamenaswa kupitia msako na doria ambazo zinaendelea kila wakati ili kuhakikisha usalama unaendelea kuwepo.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 11 wa "Nitumie Hela Kwenye Namba Hii” wahukumiwa kifungo cha miaka Mitatu jela

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wakazi 11 wa Ifakara Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni sita kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutoa taarifa za uongo mtandaoni. Washtakiwa hao ni Fredrick...
  9. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Nasikitika ninaposikia mafanikio ya TAKUKURU kuwafikisha watuhumiwa mahakamani bila matokeo ya hukumu kwa watuhumiwa wa rushwa

    Kwa mujibu ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara 107A(1) inayotamka kama ifuatavyo: "Mamlaka ya utoaji haki katika Jamhuri ya Muungano itakuwa mikononi mwa Idara ya Mahakama na Idara ya Mahakama ya Zanzibar, na kwa hiyo hakuna chombo cha Seriikali wala cha Bunge au Baraza la...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa Uhalifu pamoja na Dawa za Kulevya zakamatwa Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limesema hali ya ulinzi na usalama mkoani humo kwa mwezi Februari hadi sasa ni shwari huku likiwakamata watuhumiwa wa uhalifu, dawa za kulevya pamoja pikipiki zinazotumika katika uhalifu. Akitoa taarifa hiyo leo Machi 18, 2024, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watuhumiwa Mbaroni kwa wizi wa Mifugo na Utoroshaji

    Jeshi la Polisi kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo STPU Kimesema Kinawashikilia watuhumiwa kadhaa kwa tuhuma za wizi wa mifugo na utoroshaji Mifugo nje ya nchi huku likisema kuwa litaendelea kushirikiana na wananchi kwa karibu ili kudhibiti uhalifu huo hapa nchini. Akitoa taarifa hiyo leo Machi...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Rayvanny, Mzava watuhumiwa kwa Utapeli

    Mwimbaji Kayumba amewaanika msanii Rayvanny na mwongozaji wa video, Erick Mzava kwa kutorejesha pesa zake TZS Milioni 7 ambazo alitoa kama malipo ya kufanya video ya wimbo wake SHAKE kutoka kwenye albamu yake iitwayo FINE TAPE. Kayumba amedai kuwa ameamua kuweka wazi haya yote kwasabubu ya...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania DCEA: Zaidi ya kilo Milioni za Dawa za Kulevya zilikamatwa Tanzania mwaka 2023

    Na Mwandishi wetu Dodoma Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya ambapo kuanzia mwezi Januari hadi Disemba 2023 kilogramu zaidi ya milioni moja za aina mbalimbali za dawa za kulevya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askari watuhumiwa kuteka mtu tangu Oktoba 2023, Polisi hawatoi ushirikiano

    Jeshi la Polisi limetuhumiwa kutotoa ushirikiano kwa watu wanaofikisha malalamiko ya kupotelewa Ndugu zao ambao inadaiwa wametekwa na Askari wa Jeshi hilo.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watuhumiwa wa uhalifu 533 walihukumiwa jela Mwaka 2023, matukio ya uhalifu yatajwa kupungua

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya watuhumiwa 533 walihukumiwa Kwenda jela kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji na ulawiti huku matukio ya uhalifu yakitajwa kupungua kwa Asilimia 12. Akitoa taarifa hiyo leo Januari 15, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Maafisa TPA watuhumiwa kupokea rushwa ya $800,000 kutoa tenda ya $6.6m

    Mamlaka za Marekani zimeipiga faini ya dola milioni 222 kampuni ya programu kwa kutoa rushwa katika nchi kadhaa za Afrika ikiwemo Tanzania, nchi nyingine ni Kenya, Afrika Kusini, Ghana, Malawi. Pia zipo Azerbaijan na Indonesia. Maafisa wa mamlaka ya bandari Tanzania(TPA) wanatuhumiwa kupokea...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Simiyu: Askari Polisi Bariadi watuhumiwa kumpiga mtuhumiwa na kusababisha kifo chake

    Kwa mara nyingine tena, Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linatuhumiwa kuhusika katika kifo cha Mwananchi aliyekamatwa na Askari Polisi kisha kudaiwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali na hatumaye kusababisha kifo chake. Matukio ya Jeshi la Polisi kupiga au kujeruhi watuhumiwa na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 3,520 wakamatwa na Mifugo 8,970 nchini

    Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini limesema kwa kipindi cha mwezi januari mpaka novemba mwaka huu limefanikiwa kukamata mifugo 8970 iliyokuwa imeibiwa maeneo mbalimbali hapa nchini kati ya mifugo 15065 maeneo mbali mbali hapa nchini. Akitoa taarifa hiyo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Google watuhumiwa kuonesha uwezo bandia wa Gemini AI

    Kampuni kongwe katika tasnia ya teknolojia,Google wamepokea maelfu ya lawama kutoka kwa wanajamii wa AI baada ya bidhaa yao mpya ya Gemini AI kudhihirika kuwa na uwezo mdogo tofauti na ilivyooneshwa kwenye demo Mpaka sasa hakuna anaejua sababu halisi za kampuni hiyo kongwe kabisa kufanya...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tanga: Watuhumiwa 26 wakamatwa kwa kuvamia na kudhuru Hoteli ya Mambo View

    Jeshi la Polisi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 26 na kufikishwa mahakamani Oktoba 26, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwepo; unyang'anyi wa kutumia nguvu na shambulio la kudhuru mili dhidi...
Back
Top Bottom