Google watuhumiwa kuonesha uwezo bandia wa Gemini AI

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,491
Kampuni kongwe katika tasnia ya teknolojia,Google wamepokea maelfu ya lawama kutoka kwa wanajamii wa AI baada ya bidhaa yao mpya ya Gemini AI kudhihirika kuwa na uwezo mdogo tofauti na ilivyooneshwa kwenye demo

Mpaka sasa hakuna anaejua sababu halisi za kampuni hiyo kongwe kabisa kufanya udanganyifu katika matamgazo ya bidhaa yao hiyo mpya inayotegemewa kuifanya CHATGPT ya OpenAI kuonekana kichekesho
 
1702164481108.png
 
Back
Top Bottom