watuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wakamatwa wakiwa na Magamba 172 na kucha 16 za Kakakuona

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Richard Abwao amesema watuhumiwa wawili walikutwa na Nyara hizo ikiwemo Ulimi na Maini ya mnyama huyo pamoja na Magamba ya Kiboko. Pia, watu 38 wamekamatwa kwa kujihusisha na matukio ya wizi wa Pikipiki 10, uvunjaji na wizi wa Mifugo ambapo Ng’ombe 24 walioibwa maeneo...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Huwa pana ulazima gani mpaka kabila litajwe... Makosa mengine hamtaji kabila
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Walimu watuhumiwa kupora vichongeo, ufutio vya wahitimu wa Darasa la Saba

    Walimu wa Shule ya Msingi za Kishinda na Isebya zilizoko kata ya Kishinda wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wanatuhumiwa kupora vifaa vya wanafunzi baada ya kumaliza mtihani wa kitaifa wa darasa la saba. Malalamiko ya wahitimu hao yaliwasilishwa na Diwani wa Kata ya Kishinda, Shokolo Visent...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tunapokenua Polisi kuua watuhumiwa, hayo hayakubaliki Kenya

    Ama kweli atakuwapo aliyeturoga. Kwamba kuna wanaokenua watuhumiwa kuuwawa wakiwa mikononi mwa polisi? Kwa hakika safari yetu kuelekea haki kwa wote ingali bado kuanza.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), apiga marufuku watuhumiwa kushikiliwa kabla upelelezi haujakamilika

    Agizo hilo limetolewa kupitia Muongozo wa Mashitaka Namba 1 wa mwaka 2022 ambao pia unaagiza upelelezi wa mashitaka kukamilika ndani ya siku 90 na zikizidi iwe kwa kibali maalumu cha DPP. Aidha muongozo huo umeongeza kifungu cha 131A kinachoweka ulazima wa kukamilisha upelelezi kabla ya...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Watuhumiwa kupimwa TB, Malaria na UKIMWI kwa lazima

    Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa. Kwa mujibu wa DPP wanalenga kuzuia usambaaji wa magonjwa kama TB na VVU kwa sababu watuhumiwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tuwakomalie Polisi kuwarejesha watuhumiwa wakiwa hai

    Polisi wanatuchukulia poa sana. Hawajui waajiri wao ni sisi. Catherine Ruge anaeleweka vyema kuwa suala la kuzika halipo na halitakuwapo. "Ingekuwa muafaka zaidi polisi kufahamishwa kuwarejesha watuhumiwa hai kama walivyowachukua." Haiwezekani wajue kuuwa tu na si kurudisha uhai walioutoa kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mauaji Mara, Maandamano ya pande zote yavumiliwe

    Mara yameonekana maandamano ya kuwapongeza polisi kuuwa wanaosemekana majambazi. Kwamba maandamano hayo yamekuwa ya amani yakipokelewa na RPC wa huko, ni jambo la kupongezwa kwani haki ya kikatiba imetamalaki. Hata hivyo kuna tashwishi za kutosha kuwa maandamano haya yameasisiwa na kuratibiwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kushabikia Polisi kuua watuhumiwa, ni ujinga uliopitiliza

    Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road. Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Profesa Mohamed Bakari: Kikosi Kazi cha Rais Samia hakina uhalali wa Kisheria na Kikatiba

    Profesa wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mohamed Bakari amekitahadharisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuwa makini na kikosi kazi, kwani kinaweza kuwa njia ya kuchelewesha maridhiano. “CHADEMA wako sahihi kususia kikosi kazi kwa sababu hakina uhalali wa kisheria...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Afisa Upelelezi Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga anashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 1.2. RC Mgumba amesema September 09,2022 akiwa na...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chebukati na Watuhumiwa: Wanaposubiriana kusema "SU"

    Ilikuwa Chebukati kwa watuhumiwa, sasa watuhumiwa nao wadai kumbe Chebukati alikuwa na biashara kwao na ushahidi upo. Tuju: Chebukati, two commissioners were bidding before the elections Hadi mwisho wa shauri hili, enyi walamba asali wa kwetu tambueni kuwa ujanja ujanja wenu umefikia mwisho...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Askari 10 wakamatwa kwa mauaji ya watuhumiwa Colombia

    Mbali na askari hao pia, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini humo, Jenerali Jorge Luis Vargas ameagiza Kanali wa Polisi Benjamín Núñez atafutwe na akamatwe kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya vijana watatu. Askari waliokamatwa wanadaiwa kuwapiga risasi na kuwaua vijana watatu wakiwa chini ya ulinzi...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: 14 watuhumiwa kuwabaka wadada wanamitindo wakati wakirekodi video ya muziki

    Wanaume 14 wamefunguliwa mashtaka ya kuwabaka wanawake wanane baada ya kuwavamia wakati wakirekodi video ya muziki katika mgodi uliotelekezwa Johannesburg Nchini Afrika Kusini Mtuhumiwa mdogo zaidi katika kundi la wahalifu ana umri wa miaka 16 ambapo amepelekwa kituo cha watoto kuhukumiwa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi yakamata watuhumiwa tisa wa ujambazi Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa tisa (9) kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya ujambazi. Tukio hilo limetokea Tarehe 22/07/2022 majira ya saa 9:40 usiku maeneo ya kiwanda cha SHERI Automotive Germany Barabara ya Mbozi Keko Wilaya ya Temeke. Jeshi...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa Ubakaji na Ulawiti mbioni kukosa dhamana

    Makosa ya ubakaji na ulawiti yapo mbioni kuondolewa dhamana kutokana na Serikali kuanza mchakato wa kufanyia marekebisho Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai. Hatua hiyo imetokana na utafiti mdogo uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Mashtaka kuonesha kuwa baadhi ya watuhumiwa wa makosa hayo wakiwa...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Watuhumiwa Mikononi mwa Polisi, nini kifanyike ili mambo yakae sawa?

    Hivi karibu kumetokea matukio yakihusisha watuhumiwa kupotea maisha mikononi mwa vyombo vya usalama. Mkoani Morogoro Askari wawili wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Hamis Hassan (30) Mkazi wa Mvuha, Jeshi la Polisi limesema marehemu aliuawa kwa kufyatuliwa risasi Mei 31, 2022. Jijini...
  18. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Arusha: Vinara waliokamatwa na gunia 15 za Mirungi wachomolewa usiku wa manane Polisi

    Wafanyabiasha vinara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi kutoka Nchini Kenya waliokamatwa na magunia 15 mei 14 mwaka huu katika Mji wa Namanga, wanadaiwa kuachiwa katika mazingira ya utata, usiku wa manane huku gari lililokuwa likisafirisha mihadarati hiyo likitoweka kituo cha polisi ...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi yatangaza kuwashikiliwa watuhumiwa 6 wa Panya Road baada ya tukio la Kunduchi

    Saa chache tangu kutoka kwa tukio la watu kujeruhiwa kwa mapanga na kikundi kinachodaiwa kuwa ni 'Panya Road' katika eneo la Kunduchi Mtongani Jijini Dar es Salaam, watu sita wanashikiliwa na Jeshi la Polisi. Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa watuhumiwa, warasmishwe kuwa Walinzi Chadema

    Makomando hawa walionyanyasika bila ya kutetereka na Mh. Mbowe, ni wakati wa kuutambua mchango wao usio kifani na kuwalipa ipasavyo. Walinyanyasika na kuhukumiwa wakiwa kwenye harakati zao kujipatia ajira (VIP Protection). Na wapewe ajira hizo sasa. Mohammed Ling'wenya, Adam Kasekwa, Khalfan...
Back
Top Bottom