Rayvanny, Mzava watuhumiwa kwa Utapeli

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Mwimbaji Kayumba amewaanika msanii Rayvanny na mwongozaji wa video, Erick Mzava kwa kutorejesha pesa zake TZS Milioni 7 ambazo alitoa kama malipo ya kufanya video ya wimbo wake SHAKE kutoka kwenye albamu yake iitwayo FINE TAPE.

Kayumba amedai kuwa ameamua kuweka wazi haya yote kwasabubu ya ubabaishaji na video kutofanyika hadi leo licha ya kufikishana polisi na director Mzava na kukiri kureshesha kiasi cha fedha milioni 2.1 kilichobaki baada ya kutoa milioni 2.9 kituoni.

Ameandika Kayumba kwenye ukurasa wake wa Instagram,

"MIMI NI MOJA KATI YA WASANII WANAOPAMBANIA NDOTO ZAO WENYEWE USIKU NA MCHANA PASIPO KUWA NA LABEL YOYOTE APA TZ. NI MUNGU, MEDIA NA FANS WANGU WANAPENDA MZIKI WANGU NDO WANAOFANYA NIWEPO MASIKIONI MWA WATU MPAKA LEO .

LEO NTAWAAMBIA KITU AMBACHO HAMJAWAHI KUKIIJUWA NA NITAWAAMBIA KWANINI NIMEWAPOST HAWA WAWILI.

👉 MNAMO MWEZI WA PILI MWAKA JANA NILIKUWA NA PROJECT YANGU YA ALBUM ILIYOITWA ( FINE TAPE ) HUMO NDANI KUNA COLLABORATION KADHAA IKIWEPO #SHAKE NILIOMSHIRIKISHA NDUGU YANGU Rayvanny NA KWENYE COLLABO HIO NILIPASWA KUTAFUTA M.7 AMBAYO NILIAMBIWA NA NDUGU DIRECTOR ELLY MZAVA AMBAYE YEYE NDO ATAKAE SHOOT VIDEO HIO .
NILIMTAFUTIA MZAVA M 7 NA NIKAMKABIDHI NDANI YA OFFICE ZA Nextlevel Music MBEZI BEACH KWA KUAMINI NITAPATA KITU KIZURI CHA KUWAPA FANS WANGU . LAKINI HAIKUWA IVYO

BADALA YAKE MIZUNGUSHO IKAANZA BAADA YA KUWAPATIA PESA NA ILE VIDEO TULIOKUBALIANA HAIKUFANYIKA MPKA LEO HIII , NA PESA YANGU WAKACHUKUA PASIPO KUANGALIA KUWA MI NI KIJANA MDOGO TENA NINAEPAMBANIA NDOTO ZANGU KWA NGUVU ZOTE 😭😔😭,

LAKINI SIKUCHOKA NIKAJARIBU PIA KUWATAFUTA UONGOZI WA RAYVAN NA NIKAONGEA NAO MARA KADHAA LAKINI JITIHADA ZANGU HAZIKUZAA MATUNDA NA NIKAONEKANA MI MSUMBUF KWA KUDAI HAKI YANGU MNYONGE MIMI😔

SASA NIMEONA NIPOST HAPA KWENYE INSTA YANGU SIO KUWADHALILISHA HAPANA.
ILA NIMEFANYA IVI FANS WANGU MULIFAHAM KUWA NIMEZURUMIWA LAKINI PIA SERIKALI YA MMA ANGU Samia Suluhu NAOMBA WALIANGALIE HILI KAMA KUNA MSAAADA WOWOTE WA MI KUPATA HAKI YANGU BAS NISAIDIWE AU TUSHIKANE MASHATI MAANA NIMEVUMILIA VYA KUTOSHA KUSUBIRI HAKI YANGU SIIPATI.🤨🤬😭

TUSIJE ONANA WABAYA" - Kayumba
 
Credit - SnS
Ndo faida ya kupeana fedha vichochoroni kutokuandikishana kisheria ndo matokeo yake hayo wanaona ubahili kumpa hela mwanasheria ili kusimamia mkataba ndo matokeo yake hayo wangepeana kusheria saiv angeshamfikisha mahakamani na kumdai fidia ya kumpotezea mda wake
 
Bwa mdogo anachimba mikwara
Wewe hujawahi kudhulumiwa itakua hujawahi hujawahi hujawahi yaani ubebe kokoto usombelee zege usiku mzima alafu asubuhi upo hoi mgongo hauna ushirikiano na shingo na kichwa kishapoteza uelekeo kwa kazi Jana usiku unaletewa uduwanzi tena kawavumilia mno angekua mtu mwingine mwenye karba km yangu kingekua kimeshanuka mapema sana ningekiwasha cha Malawi mixa huko Kapirimposhi alafu tuelezane vizuri
 
Ukisoma maandishi ya Kayumba utagundua kuna umuhimu mkubwa kwa vijana kutopuuza shule kabla ya kuingia kwenye muziki. Sio lazima wawe na degree lakini hata cheti inatosha. Wanamuziki wanaodumu kwenye game muda mrefu wengi wao shule ipo. Sisi wapenzi wa muziki wa Congo tunajua jinsi gani wakongwe kama Koffi, Werrason na Mpiana wanaipa elimu umuhimu ndo maana wapo tangu miaka ya 80.
 
Kwenye kufanya video ya music hakuna mikataba ya kazi? unampaje mtu Hela bila maandishi ?
Ushikaji mwingi soma vizuri maelezo yake utaelewa, km Jamaa hawakutaka ushikaji kwanini hawakumwambia TU kwamba hatutaki ushikaji ongeza mawe?
 
Ukisoma maandishi ya Kayumba utagundua kuna umuhimu mkubwa kwa vijana kutopuuza shule kabla ya kuingia kwenye muziki. Sio lazima wawe na degree lakini hata cheti inatosha. Wanamuziki wanaodumu kwenye game muda mrefu wengi wao shule ipo. Sisi wapenzi wa muziki wa Congo tunajua jinsi gani wakongwe kama Koffi, Werrason na Mpiana wanaipa elimu umuhimu ndo maana wapo tangu miaka ya 80.
Koffi, Werason na Mpiana wana degree ngapi za Muziki au kuna yoyote kati yao mwenye PhD ya Muziki?
 
Huyu Rayvanny juzi tu ametajwa na BabaLevo kwenye ugomvi wake na Harmonize kwenye mgao wa chips za 10M nae alikua na mgao wake wa laki 8 hivi. Leo tena anatajwa na Kayumba wamemdhulumu 7M toka February mwaka jana. Daaaaah hawa wasanii wetu bhana wanastaajabisha sana. Huyu Rayvanny si ndo hua anajenga mabwawa artificial kwa gharama kubwa na kuyabomoa kwenye Wasafi Festival ama wasanii wetu pesa zao ni za majini zina masharti?! Ama sisi mashabiki ndo tunawakuza sana kwa kuwapa utajiri ambao hawana?! Au sanaa ya music hapa bongo hailipi kama tunavyofikiria?!
 
Wewe hujawahi kudhulumiwa itakua hujawahi hujawahi hujawahi yaani ubebe kokoto usombelee zege usiku mzima alafu asubuhi upo hoi mgongo hauna ushirikiano na shingo na kichwa kishapoteza uelekeo kwa kazi Jana usiku unaletewa uduwanzi tena kawavumilia mno angekua mtu mwingine mwenye karba km yangu kingekua kimeshanuka mapema sana ningekiwasha cha Malawi mixa huko Kapirimposhi alafu tuelezane vizuri
Inawezekana sijawahi kudhurumiwa lakini nimedhurumu mnoo hilo ninauhakika nalo
 
Back
Top Bottom