watuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TRA matopeni, watuhumiwa kukithiri kwa rushwa soko la Kariakoo

    Kwenye kikao cha wafanyabiasha na Waziri Mkuu kilichoitishwa ili kutatua changamoto zao kufuatia mgomo wa wafanyabiara ulioanza tar. 15.05.2022. Wafanyabiasha wawatuhumu maafisa wa TRA kuwaomba rushwa wafanyabiashara. Wafanyabiashara walalamika kufuatwa mpaka nyumbani na maafisa wa TRA ili...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa Mauaji ya Daktari Isack na Milembe Suleiman, Afisa Ugavi GGM Wakamatwa, Mmoja Ajinyonga

    Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa watatu wa mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa mgodi wa GGM Geita Milembe Selemani yaliyotokea Aprili 26,2023 katika mtaa wa Mwatulole mkoani Geita pamoja na watu watatu waliofanya mauji ya aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende Dk. Isack...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wanawake wawili watuhumiwa kwa kutapeli pesa za Halmashauri

    .
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  5. Ironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha Watuhumiwa kwenye Usafiri wa Umma

    Habari za mida hii wakuu, Mida ya saa 7 mchana nilikuwa natokea Nzega kwenda Singida, ila kwakuwa kuna kijiji hapo kati nilitakiwa kuonana na mdau mmoja wa bomba la mafuta anipatie documents fulani hivi, so nilipanda usafiri wa daladala/hiace. Tumefika maeneo ya Nkinga Hospital kituo cha bus...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lakamata watuhumiwa 44 kati yao wanaume ni 41 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata watuhumiwa 44 kati yao Wanaume ni 41 na Wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, utapeli, wizi wa mifugo na kupatikana na dawa za kulevya na pombe haramu ya Moshi 'Gongo'. Kamanda wa Jeshi...
  7. Championship

    JamiiForums Tanzania Ninatarajia IGP Camillus Wambura atatuletea taarifa ya kuwakamata watuhumiwa wote baada ya ripoti ya CAG na matamshi ya Rais Samia

    Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana. Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi yatangaza kuwakamata watuhumiwa 87 Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

    Jeshi la Polisi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Njombe, Mbeya na Iringa, kwa kipindi cha kuanzia Machi 12, 2023 hadi Machi 23, 2023 limefanikiwa kukamata watuhumiwa 87 wa matukio mbalimbali ya uhalifu yakiwemo, unyanganyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, kuvunja ofisi usiku...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama watuhumiwa wanaofanya vitendo vya ulawiti kwa watoto wanachukuliwa hatua stahiki

    Vitendo vya ulawiti vimeendelea kujitokeza katika maeneo mengi hapa nchini Tanzania. Licha ya Serikali na wadau mbalimbali kupiga kelele kuhusu vitendo hivi bado vimeendelea kushamiri kwenye maeneo yetu. Vitendo hivi vinapotokea wazazi/walezi wamekuwa na tabia ya kufumbia macho kwa kutokutoa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Moshi: Waliotuhumiwa kuua walinzi wa Asante Tours na kupora Tsh. Milioni 65 washinda kesi

    Walioachiwa huru ni Erick Teete, Fadhili Mohamed, John Daniel, Nassoro Nassoro, Paschal Mushi, Ibrahim Mkindi, Robert Massawe na Juma Hamis Ramadhan. Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Moshi dhidi ya watuhumiwa walioshtakiwa kwa mauaji ya walinzi wa kampuni ya Utalii ya Ahsante Tours...
  11. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Irani itatekeleza hukumu ya kifo kwa watuhumiwa hawa 7 ambapo 2 wanauraia wa Uingereza?!

    Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi, Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao wakamatwa

    KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 11 MAKOSA YA KIMTANDAO Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao limewakamata watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao kufuatia ufuatiliaji mkali unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi na Timu...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 377 wa dawa za kulevya wahukumiwa, magari, pikipiki, boat na nyumba zataifishwa

    Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi DAR ES SALAAM-TANZANIA Jeshi la Polisi Nchini Kupitia Kitengo cha kuzuia na kupambana na Madawa ya kulevya (Anti Drug Unit)kwa kushirikiana na Polisi Mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wa madawa ya kulevya Pamoja na vifaa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa CBE aliyejinasibu kuwa yeye ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kutapeli akamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na timu maalum ya kuzuia na kupambana na makosa ya mtandao limewakamata watuhumiwa 11 wa makosa ya kimtandao kufuatia ufuatiliaji mkali unaoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi na Timu hiyo Maalum. Katika hatua hiyo Jeshi la Polisi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zinapotumika kukandamiza watu

    Kuna hiki kinachoitwa ungamo. Kwamba mtuhumiwa wa wizi, ugaidi, mauaji nk; kwamba kwa hiari yake aliungama. Kutokea hapo mtu au watu wakahukumiwa kunyongwa au hata kufungwa. Kesi hii: Maelezo kukiri kosa yalivyowaunganisha washtakiwa-11 Ni mwendelezo wa maungamo uchwara kama hayo kupewa...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tabora: Wakamatwa wakiwa na Magamba 172 na kucha 16 za Kakakuona

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Richard Abwao amesema watuhumiwa wawili walikutwa na Nyara hizo ikiwemo Ulimi na Maini ya mnyama huyo pamoja na Magamba ya Kiboko. Pia, watu 38 wamekamatwa kwa kujihusisha na matukio ya wizi wa Pikipiki 10, uvunjaji na wizi wa Mifugo ambapo Ng’ombe 24 walioibwa maeneo...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Huwa pana ulazima gani mpaka kabila litajwe... Makosa mengine hamtaji kabila
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Walimu watuhumiwa kupora vichongeo, ufutio vya wahitimu wa Darasa la Saba

    Walimu wa Shule ya Msingi za Kishinda na Isebya zilizoko kata ya Kishinda wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wanatuhumiwa kupora vifaa vya wanafunzi baada ya kumaliza mtihani wa kitaifa wa darasa la saba. Malalamiko ya wahitimu hao yaliwasilishwa na Diwani wa Kata ya Kishinda, Shokolo Visent...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Tunapokenua Polisi kuua watuhumiwa, hayo hayakubaliki Kenya

    Ama kweli atakuwapo aliyeturoga. Kwamba kuna wanaokenua watuhumiwa kuuwawa wakiwa mikononi mwa polisi? Kwa hakika safari yetu kuelekea haki kwa wote ingali bado kuanza.
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), apiga marufuku watuhumiwa kushikiliwa kabla upelelezi haujakamilika

    Agizo hilo limetolewa kupitia Muongozo wa Mashitaka Namba 1 wa mwaka 2022 ambao pia unaagiza upelelezi wa mashitaka kukamilika ndani ya siku 90 na zikizidi iwe kwa kibali maalumu cha DPP. Aidha muongozo huo umeongeza kifungu cha 131A kinachoweka ulazima wa kukamilisha upelelezi kabla ya...
Back
Top Bottom