watuhumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlachake

    Naomba Kujulishwa Kuhusu wale watuhumiwa wengine kesi ya akina Mbowe

    Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo? Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
  2. JACKLINE CELESTINE KITALE

    SoC01 Tabia ya polisi kupiga watuhumiwa

    Kisheria mtu anahesabiwa kuwa ni mtu mwenye haki mpaka pale ambapo mahakama ita thibitisha kuwa huyu mtuhumiwa amefanya kweli hayo makosa anayoshutumiwa kufanya. Na kama mtu ambaye ametuhumiwa tu, ana haki zake sawa na raia wa kawaida tu, hivyo, hizo haki zinatakiwa ziheshimiwe mpaka pale...
  3. Erythrocyte

    Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

    Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea. Nukuu Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua...
  4. S

    Watuhumiwa wa ugaidi na nchi zao

    Kama tunatamani nchi hii iwe na magaidi, basi Mungu atatupatia tunachokiomba na ikiwezekana iwe soon ili tuone ubaya wa kamanda Mbowe kwa vitendo. Wenzetu walionja gharama za magaidi na ugaidi, hawataki hata kusikia habari zao ila sisi siasa zimetufanye tutamani ugaidi basi Mungu atupatie kile...
  5. Roving Journalist

    Dar: Kilo 99.33 za Dawa za Kulevya zakamatwa, watuhumiwa 8 washikiliwa

    TAARIFA YA KAMISHNA JENERALI WA MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA GERALD MUSABILA KUSAYA KWA WANAHABARI TAREHE 19 JUNI, 2021 OPERESHENI YA UKAMATAJI WA DAWA ZA KULEVYA KWA MWEZI JUNI Ndugu Wanahabari Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nimewaita leo...
  6. Suley2019

    Naibu Waziri wa Afya: Watuhumiwa wa makosa ya unyanyasaji wa kijinsia wanyimwe dhamana

    Naibu Waziri wa Afya, Mwanaidi Khamis ametaka watuhumiwa wa makosa ya unyanyasaji wa kijinsia wanyimwe dhamana ili kupunguza matukio hayo. Amesema hayo mkoani Kigoma baada kupewa ripoti kuwa wilayani Kigoma kati ya kesi 128 ni sita pekee ambazo wahusika wamehukumiwa vifungo. Swahili Times
  7. Roving Journalist

    Dar: Polisi Wamekamata yale Magari na Pikipiki Zilizoibwa, Watuhumiwa 60 watiwa Korokoroni

    Oparesheni kali iliyotangazwa dhidi ya majambazi, wanaotumia silaha na wahalifu wengine imefanikisha kupatikana kwa silaha mbili aina ya Bastola ambazo zote zilikuwa zikitumika kutendea vitendo vya kihalifu Oparesheni hii inajumuisha vikosi vyote vya Jeshi la Polisi na matokeo yake yamezidi...
  8. Analogia Malenga

    Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kushirikiana na Sabaya mbaroni

    Watu wawili wanaodaiwa kushirikiana na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kufanya matukio mbalimbali ya uhalifu yakiwamo makosa yajinai wanashikiliwa na polisi mkoani Kilimanjaro. Kaimu Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Kilimanjaro, Arterio Kawonga...
  9. B

    Watuhumiwa zaidi waendelee kufutiwa mashtaka na kuachiliwa Huru

    Waswahili walisema ndo ndo ndo si chururuu. Wala Lila na Fila havikupata kutengamana. Hii ikiwa ni kwa maana halisi ya kuwa awamu ya sita si awamu ile ambayo mahabusu walikuwa wakipigiwa mahesabu kuwa chanzo cha nguvu kazi. Eti kuwa asiyefanya kazi na asile. - DPP amewafutia kesi waliodaiwa...
  10. kmbwembwe

    Nani hajui watuhumiwa hupata kibano rumande kusema kweli leo mnamgeuzia kibao Sabaya kwa kua Magufuli kafa?

    Nimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya. Kwenye kamati hiyo wako wakuu wa vyombo vya ulinzi. Clip za Sabaya akienda kukamata au kupeleleza...
  11. B

    Watuhumiwa waliokuwa wanatuhumiwa kukutwa na ndege TAUSI waachiwa huru, je kufuga Tausi ni halalli?

    Nadhani makosa yaliyotunguliwa na Biswalo Mganga dhidi ya watu mbalimbali kinyume Cha haki na bila upelelezi kukamilika kwa miaka kadhaa yanatia kichefuchefu na kujiuliza amepandishwaje kuwa Jaji? Mfano mdogo, watuhumiwa wanadaiwa kukutwa na nyara za serikali( ndege aina ya Tausi) na wanawekwa...
  12. Idugunde

    Kama tumefikia hatua ya kuachia watuhumiwa kwa sababu za kisiasa, Taifa letu linaelekea pabaya sana

    Ni wazi kuwa ofisi ya Dpp inatumika kisiasa na haifanyi kazi zake kwa weledi. Kama watuhumiwa wa makosa ya kijinai wanaachiwa ili kufurahisha umma ni jambo baya sana kwa muktadha wa taifa letu. Watuhumiwa wa ugaidi walikabiliwa na makosa mabaya sana. Mbaya zaidi waziri wa mambo ya ndani wakati...
  13. Chizi Maarifa

    Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?

    Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria. Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa...
Back
Top Bottom