Ukimya wa Baraza la Maaskofu na BAKWATA dhidi ya Watuhumiwa wa Uhaini unashangaza

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and Our Enemies,

Nashindwa kabisa kuvielewa hivi vyombo viwili vya dini ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa mstari wa mbele kuikemea serikali kwa niaba ya jamii ya watanzania iliyogawanyika katika kiwango kikubwa katika iman hizo kubwa mbili za Uislam na Ukristo.

Nasema,nashindwa kuvielewa kwa sababu haiwezekani katika hali ambayo ipo wazi kabisa watu wanashiriki katika kuliingiza taifa letu katika taharuki ya kuleta machafuko na uvunjifu wa amani wao wameendelea kukaa kimya ili hali inapokuwa tofauti wao ndiyo huwa vinara kupaza sauti na kutoa matamko dhidi ya serikali.

Ndiyo kusema ya kwamba wamechagua kuwa na upande wa baadhi ya matukio ya kuyasemea??

Wilbroad Slaa na wenzake wameonekana wazi wazi wakihamsisha harakati za kupindua serikali tena wengine wakienda mbali na kusema kwamba wataanza kuchoma moto vituo vya polisi,ofisi za ccm na baadhi ya maeneo ambao wao wataona yanafaa ili kuamsha hisia za wananchi waaanzishe fujo dhidi ya serikali,BAKWATA na TEC hawalioni hilo kuwa ni jambo la hatari??kipi kinachowafanya wawe kimya katika kulizungumzia hili ili hali yanapotokea mengine huwa wanakuwa na haraka ya kutoa waraka na matamko?

Kuendelea kwao kukaa kimya katika mambo nyeti kama haya kunashusha hali ya kuaminika dhidi ya wale wanaowaongoza na taifa kwa ujumla.
 
Exactly, there is a race that is blessed with a huge number of fake human beings (in fact the whole race is made up of fake human beings that is why education, exposure, civilization help them nothing.
Sahihi kabisa, tutaendelea kuomba misaada mpaka mwisho wa dahari.

Mtu anapambana mpaka basi mwisho anaamua aungane nao tu.
 
Back
Top Bottom