watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuzaa watoto wengi bila mpango mkakati wa kuwalea utahukumiwa

    Hakuna idadi ya watoto utakaozaa useme umezaa wengi. Kwa Mwingine watoto wengi kwao ni mmoja. Mwingine kama yule mzee mjaluo wa shirati, watoto wengi ni 38 na mwingine watoto wengi ni 0. Kipimo cha wingi sio idadi bali uwezo wa kuwahudumia na kuwapa malezi yaliyonyumbuka pote kwa usawa bila...
  2. JamiiForums Tanzania Saudia na Marekani wanaisaidia Israel kuua watoto na kuiangamiza Palestina

    Yako mataifa kadhaa ya kiarabu na mataifa ya kiislamau ambayo yameonekana kufanya uzembe katika vita vya Gaza.Hata hivyo taifa la Saudia linaongoza kwa kusaidiana na Marekani kuipa nguvu Israel iue na kuangamiza mpango wa kuundwa kwa taifa la Palestina. Iran iliahidi mstari mwekundu ukivukwa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini

    SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hard disks ni teknolojia ya zama za kale, zina uwezo mdogo wa kufanya kazi kwenye computer / Laptops, weka SSD kwa bei rahisi speed ya radi

    Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks. Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Gekul Awahimiza Wazazi Kufuatilia Mienendo ya Watoto

    Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini mkoani Manyara Pauline Gekul amewataka wazazi na walezi kufuatilia mienendo ya watoto wao pindi wakiwa mashuleni pamoja na kushirikiana na walimu ili kuboresha mazingira ya Shule pindi inapohitajika mchango wao...
  6. JamiiForums Tanzania Malengo hasa ya kuzaa watoto wengi ni nini?

    Kwa maisha ya sasa sioni kama kuna tija ya kuzaa watoto wengi ni bora watoto wachache ambao utaweza kuwapatia mahitaji yao ya msingi, chakula, malazi, mavazi, furaha na elimu bora. Mbaya zaidi unakuta mtu ana watoto wengi ambapo yeye anateseka na watoto pia wanateseka kwa kukosa mahitaji yao...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa hiki wanachokifanya Israel dhidi ya watoto, wamama na wazee 👇

    Kwa hiki kinachoendelea kwa Wazayuni laanatullah alayhim dhidi ya ndugu zetu Palestina, je! Nitaachaje kuungana na Freedom Fighters/Hamas na kuwauwa hao makafiri wa kizayuni! Nitaachaje kupigania uhuru wa nchi yangu dhidi ya makafiri hao!! Ewe Mwenyezi Mungu, wanusuru hawa ndugu zetu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Ilala Dar: Watoto watembea kilomita 15 kufuata elimu

    Watoto wadogo wa shule za msingi Msongola, Yangeyange na Msongola Mpya kata ya Msongola wilaya ya Ilala waishio Chakenge Richmond, na Yangeyange wamekuwa wakipata adha kubwa ya kutafuta elimu kwa kutembea kwa zaidi ya Km 15 kwenda katika shule za Msongola, Yangeyange na Msongola Mpya ambapo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali

    Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali. "Kuhusu ule mtandao nimejua kupitia walewale ambao wamo kwenye mtandao na kuanza kuwakamata watuhumiwa. Simu zao ndio zikawa zinatuonesha nini kipo na wao wenyewe wakawa wanatueleza nani dalali...
  10. JamiiForums Tanzania Israel wagundua handaki la silaha chini ya hospitali ya watoto Gaza

    Ndio maana wanapaswa kupigwa popote.... ========= Hagari presented evidence showing Hamas weapons being stored underneath Rantisi children’s hospital in Gaza, as well as rooms seemingly used to hold hostages. One room staged to look like a living room featured window curtains covering a tiled...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

    Habari wa JF, Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wana umri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wana umri wa miaka 6. Ina maana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Tunapoendelea kuelimisha suala la maadili kwa vijana wetu tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto

    Waziri Kitila Mkumbo akiwa anahitimisha hoja yake, anakubaliana na wabunge wengine kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili kwa watoto lakini tunapoendelea kuwaelimisha vijana wetu kuhusu maadili tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto. Ni muhimu watoto wakabaki kuwa watoto kwasabu bila hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Badala ya kubariki watoto na kizazi chako unabariki Israel usiyoijua wala isiyokujua; Acheni uchizi

    BADALA YA KUBARIKI WATOTO NA KIZAZI CHAKO UNABARIKI ISRAEL USIYOIJUA WALA ISIYOKUJUA; ACHENI UCHIZI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Yesu kama Watibeli wengine alishawahi kuwatolea maneno mbaya mbovu Wafuasi wake akiwaambia; Lk 23:28 Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu...
  14. JamiiForums Tanzania Muda wa watoto kurudi nyumbani umewadia

    Salaam wanajamii forums Ninawaona watoto wetu wameanza kukunja nguo wanarudi kijijini kwa wazazi kutusalimu Hawaji kwa sababu wanatupenda wanakuja tuwatemee mate na kuwapa baraka za kimila warudi mjini wakatanue maisha yao Kama kawaida hawaji kwasababu wametukumbuka sana hapana uko mjini muda...
  15. JamiiForums Tanzania TikTok na X yatakiwa kuongeza kasi ya uondoaji Maudhui ya Chuki, Upotoshaji na Unyanyasaji Watoto

    Makamu wa Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU)inayohusika na uchunguzi wa Maudhui Mitandaoni, #VeraJourova ametoa agizo hilo baada ya kufanya kikao na Viongozi wa Mitandao hiyo iliyolalamikiwa kuwa na kiasi kikubwa cha maudhui kuhusu Mgogoro wa #Israel na #Palestina. #TikTok imesema...
  16. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

    Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi...
  17. JamiiForums Tanzania Watoto 85,000 wamekufa Yemen mara 21 zaidi ya Gaza. Wanaharakati mlikuwa wapi?

    They don't care about Muslim lives, it's all about their religion and politics. Ndio maana hakuna alieanzisha trend na maandamano kupinga mauaji ya watoto hawa yanayoendelea katika nchi yenye machafuko baina ya muislam na muislam. Leo ndugu zenu wa hamas wanapigana vita nyuma ya raia wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukomesha ubakaji na ulawiti kwa watoto?

    Vitendo vya ukatili wa kijinsia vimekuwa vikiongezeka kila leo, vitendo hivyo vikihusisha ulawiti, na ubakaji. Ijapo kumekuwa na sheria ya vifungo vya miaka kadhaa hadi vifungo vya maisha gerezani lakini bado inaonekana adhabu hiyo haitoshi kwa kuwa vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka siku...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Umasikini mbaya nyie bora kusikia tu. Watoto wangu nimewarejesha tena English Medium

    Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba. U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko...
  20. JamiiForums Tanzania Hakikisheni Watoto Wachanga Hawapati Shida Watumiapo Kadi za Wazazi Wao

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewataka watendaji wa mfuko wa bima ya afya na vituo vyote vya huduma za afya nchini kuhakikisha watoto na wazazi hawapati shida iwapo mama atakuwa na kadi yake inayoonyesha ushahidi wote kuhusu mtoto husika na ni mtoto wangapi kwenye familia. Dkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…