Watoto 85,000 wamekufa Yemen mara 21 zaidi ya Gaza. Wanaharakati mlikuwa wapi?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,018
They don't care about Muslim lives, it's all about their religion and politics.

Ndio maana hakuna alieanzisha trend na maandamano kupinga mauaji ya watoto hawa yanayoendelea katika nchi yenye machafuko baina ya muislam na muislam.
20231106_165831.jpg


Leo ndugu zenu wa hamas wanapigana vita nyuma ya raia wa kipalestina wakiwatumia kama shield ya kujifichia, ila bado tu ni Israel Israel. Bila ya kujua kuwa wanyama na wasaka damu ni nyie.
20231106_165836.jpg


Kila siku nawaambia hawa watu, maandamano yao sio ya kutafuta haki au utu, bali ya kupigania itikadi.
 
Hawana uchungu na watu Wagaza, wanauchungu na eneo la Gaza kutokuwa chini Dini yao.
Hii ligi imekumba hadi Makristo uchwala, yana macho ila hayaoni.
 
Pole yao, wale wavaa kobazi hautawaona hapa kisa mungu wao alikuwa salama.

Alwaz
 
let me get this straight..., Sababu mtu hakupiga kelele walipokufa kule na wanaokufa huku watu wasipige kelele..., (kwangu mimi wao wasiopiga kelele kule na wewe unayesema wasipige huku sababu hawakupiga kule wote ni walewale)

Binafsi injustice yoyote popote kwa yoyote haifai.., hence ikimewe, tukianza kukemea mabaya popote sio sababu nani kayafanya tutakuwa tumestaarabika kama binadamu...
 
Back
Top Bottom