Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Ofcom imesema kujitambulisha kwa umri, mbinu za kulipa mtandaoni ambazo hazihitaji mtu kuwa na umri wa miaka 18, kama vile kadi ya benki, au masharti ya jumla.
Tovuti zinazoonyesha maudhui ya ponografia(Video za ngono) zinaweza kulazimika kutumia ukaguzi wa kadi ya Benki na kulinganisha...
Baadhi ya WaNamibia wamekasirishwa baada ya kujua kwamba watoto wanne wa Rais Hage Geingob walijiunga na ujumbe wa serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa wa COP28.
Walikuwa miongoni mwa watu sita kutoka familia ya rais iliyoorodheshwa kama sehemu ya ujumbe wa Namibia huko Dubai.
Ofisi ya Rais...
Baadhi ya wazazi katika wilaya Ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kuwapeleka watoto wao kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kutokana na Kukosekana kwa fedha za michango mbalimbali inayofikia kiasi cha shilingi laki na sabini kwa kila mwanafunzi.
Aidha Baadhi ya wazazi Wengine ambao...
Ndg zangu.
Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wameanza likizo napenda sana kuwafundusha mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile.
Sasa sijui wife anawaza nini ndoa isije tetereka
Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
Kampuni ya META inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook, Thread na WhatsApp imepewa agizo hilo na Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) ikitaka ufafanuzi wa hatua zinazochukuliwa katika kudhibiti maudhui ya Picha na Video ifikapo Desemba 22, 2023.
Oktoba...
Safina Namukwaya, mwanamke mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Wilaya ya Masaka, amewashangaza watu wengi baada ya kujifungua watoto mapacha katika hospitali moja huko nchini Uganda.
Bi Safina amejifungua mvulana na msichana mmoja akiwa na uzito wa kilo 1.7 kila mmoja katika Kituo cha Kimataifa...
Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii.
Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti...
Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla.
Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
Nimeliona sasa hivi hili tatizo la Pauline Gekul. Sikuwepo mtandaoni kwa siku kadhaa.
Nasema mambo[maamuzi] yasifanyike kwa mihemuko. Kama kuna mtu ameumia, muadhibu yule Mbunge{Pauline].
Lakini usifanye mambo kwa mihemuko,na kuanza kusema kwamba huyu mtoto bila shaka amepata stress sana.[au...
Kuna kipindi niliwahi kuwa mtaa moja na familia flani, wengi tulijua kwamba wapo watatu tu ni mpaka siku ya msiba wa mtoto mlemavu ndio tukajua kuwa kulikuwa na mtoto wa ziada, ni jambo lililonishangaza sana.
Na chanzo kikuu bila kupepesa macho huwa ni kwamba wazazi wanaona aibu kwenye jamii...
Kitu hiki ni janga kubwa sana kwa familia Nyingi za kitanzania, inanikwaza mno ninapoona mtoto mdogo anaimba nyimbo zenye mashairi ya hovyo au kucheza/kukata viuno na watu wakubwa wanacheka kwa kumuona mjanja sana.
Hii ni mbaya na inamuaribu huyo mtoto Bila wewe kujua, ataanza kuiga marigo ya...
Hii ni Shule ya Sekondari BUJUNANGOMA iliyoko Kata Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini, Mkoani Kagera.
Wazazi wa wanafunzi wa shule hii wameandika Barua kwa Rais Samia Suruhu Hassan, Waziri Mkuu na Waziri wa Elimu wakitaka kusaidiwa kutokana na kile wanachoeleza wamechoka na michango, rushwa ...
Tukielekea kuadhimisha wiki ya ukatili wa kijjnsia kuna mambo yanaendelea baadhi ha makanisa ya manabii mitume na makuhani hayanipendezi.
Kuna mambo ukienda makanisani kwa watajwa hapo juu naumia sana.
Wanaita watoto wadogo kabisa wanawambia wewe uko kikundi cha wachawi. Kwa uwoga wanajibu...
Iko wapi huruma ya serikali kwa watoto kutoa matibabu bule kwa walio chini ya miaka mitano
Mbona tunawalaani wazayuni kushambulia na kuuwa watoto wa Gaza na huku tukiona sawa kutokuweka na kuendeleza sera ya matibabu bule kwa watoto wetu walio chini ya miaka mitano?
Panatofauti gani kati ya...
Moderator tafadhali naomba Uzi huu usiunganishwe kwingineko.
Wadau hamjamboni nyote?
Watoto wawili wa Nabii Musa Gershom na Eliezer ambao alizaa na mkewe Sipora binti Yethro yule kuhani wa Midiani hawakuhesabiwa kuwa Wayahudi (Jews).
Najua utajiuliza kwanini ila jibu ni kwamba Sipora hakuwa...
Nimeona sehemu mwana JF Bome-e analia sana kuhusu taarifa za Israel kukamata watoto, ila kikawaida kwenye medani unapomhusisha mtoto ashambulie jeshi, mara moja anakua military target, haijalishi umri wake tena, na wana bahati kwamba walikamatwa tu, vinginevyo wangeuawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.