sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks.
Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu mwenye akili nyingi lakini ana speed ndogo ya kusoma na kuandika.
SSD tangu nimeanza kuzirumia 2016 japo na mimi nilichelewa sijawahi kuangalia tena nyuma, Ssd zina speed kubwa sana, Window inayotumia dakika 4 ku load kwenye hdd ili kila kitu kiwe fresh uanze kuitumia, kwenye ssd ssd inaload ndani ya sekunde 48 tu unaanza kazi zako.
Mimi binafsi kwa sasa naendelea kutumia Sata Ssd kwenye desktop na Ngff kwenye laptop, ila speed sio ya kitoto, Rafiki yangu kazini anayo hio yenye Nvme ni moto wa kuotea mbali kwenye kuread na kuwrite.
Tuzijue aina ya ssd.
Sata ssd, Ngff ssd na Msata zinafanana speed ( kusoma takribani 600 MB kwa sekunde na writing 300 MB kwa sekunde)
1. Sata ssd
hizi ni umbo kubwa kama wa hard disk za laptop na zinaingiliana unaweza kuchomoa Hard disk ya laptop ukaweka hii, Kwenye Desktop unaweza kuiongezea utumie na hard disk ama utumie zote (kwenye sata unaweka window na softwares, hdd unatunza mafaili kama muvi, series, n.k.)
2. SATA M.2 SSD
kuna laptops huwa zina tundu la ziada la Kuweka hizi ssd, unaweza kutumia hii pekee ama ukaiwekea window alafu hard disk kutunzia mafaili mengine)
3. Msata ssd
Laptops zenye tundu la kuingiza hizi ssd zipo chache ni za zamani kidogo, hata madukani kuzikuta aina hizi za ssd hapa kwetu ni nadra, unaweza kutumia msata pekee ama ukaiwekea window alafu hard disk kutunzia mafaili mengine)
4. NVMe M.2 SSD
Hizi ndio toleo la kisasa, hizi zina speed kubwa zaidi ( kusoma takribani 5 GB kwa sekunde na writing 2 GB kwa sekunde) hizi zipo compatible zaidi na laptop za mpya za kisasa zaidi.
Bei
'
Kwa bei nilizozikuta mtandaoni kwa Sata, Ngff na Nvme ni hizi (Msata zinatumika laptops chache sijaziona), sijajua wanatumia vigezo gani maana Ngff na Sata ilibidi ziwe bei ya chini kuzidi Nvme
128GB-60,000/=
256GB-90,000/=
512GB-170,000/=