watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. OLS

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje tunatumia 'Kilimo' ili kuwatishia watoto wasome na tukishindwa kuwaajiri tunawaambia wakajiajiri kwenye Kilimo?

    Kumekuwa na tabia ya wazazi, viongozi na walimu kutishia watoto kuwa wasiposoma watakuwa wakulima maisha yao yote. Hii ikiwajengea dhana kwamba kilimo ni kazi ya mtu aliyekataa shule. Ni viongozi hao hao ambao huwaambia vijana wenye shahada zao kuwa wakajiajiri kwenye kilimo baada ya kushindwa...
  2. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Wizara ya elimu yakana kuwapima mimba watoto wa kike kwa lazima, yasema wataendelea na masomo baada ya kujifungua

    Katika kile kinachoonekana kama kupiga hatua kwenye uelekeo sahihi, wizara ya elimu kupitia katibu mkuu wake Dr. Leonard Akwilapo imekanusha madai ya kuwa watoto wa kike waliopo mashuleni watapimwa mimba kwa lazima. Taarifa hiyo iliyotolewa tarehe 06-03-2020 imefafanua kuwa kauli ya kuwapima...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Madaktari na manesi wamempa heshima mtoto wa miaka 11 kwa ujasiri wake

    Mtoto wa miaka 11 alitibiwa kansa ya ubongo. Alipofahamu kuwa hatapona aliamua kuchangia moyo na figo zake kwa watoto wanaozihitaji. Mauti yalipomfika jopo la madaktari na manesi waliomtibu walimpa heshima kubwa. An 11-year-old boy with brain cancer's wish to donate his organs moved his...
  4. Bellami

    JamiiForums Tanzania Kanzu nzuri kutoka Dubai za watoto kwa wakubwa

    Karibuni tupo Kinondon popote ulipo Tanzania tunakuletea , za wakubwa elf 70 za watoto elf 50. 0752976792
  5. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Kamzalisha watoto wawili ila anadai siyo "type yake"

    Poleni na majukumu wadau, Story ipo hivii,, Mtaani kwetu huku Sutimbi, kuna jamaa flani ni mchizi wangu kiaina maana tumefahamiana Bar miaka kadhaa iliyopita (tumwite Masudi) na mara nyingi tunakutana baada ya saa za kazi na weekends. Jamaa anafanya kazi shirika flani la kimataifa linamlipa...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Je, ni namna gani unaweza kuongea na watoto kuhusu mlipuko wa Corona?

    Waondoe hofu Dkt Punam Krishan, ambaye ni daktari wa familia nchini Uingereza mwenye mtoto wa miaka sita, anasema ni muhimu kumuondoa hofu na kumuelea kuwa hali hiyo ni sawa na mtu anapopata mafua au kipindupindu na kutapika. Anaamini kuwa wazazi wanapaswa kuwa wawazi, kuwaeleza ukweli kuhusu...
  7. displayname

    JamiiForums Tanzania Ufahamu na kujiepusha na Jicho baya kwa watoto wadogo!!

    Karibuni nyote katika mada hii inayokusudia kupata ufafanuzi na ufahamu juu ya JICHO BAYA katika maada hii najaribu tu kuchokoza wajuzi wa mambo kama akina Mshana Jr waje kutufahamisha na wengine; Hoja ni JICHO ila ntaita jicho baya kwa ufupi tu ni jicho ambalo mtu humtazama hasa mtoto kwa...
  8. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania TECNO Yatoa Misaada Ya Shule Kwa Watoto Yatima

    Tukiwa katika mwanzo wa muhula wa kwanza wa masomo, kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Chanika Children Shelter kilichopo Chanika Jijini Dar es Salaam ili kuwawezesha kurudi mashuleni mnamo Tarehe 22.Feb.2020 Msaada huo...
  9. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Adhabu zilizokuwa zinatolewa kwa watoto vikojozwi zilikuwa zinafaa kwao? Je, zirudishwe?

    Kipindi nakua, kuna kajimbo ambacho tulikuwa tunawaimbia watoto vikojozi kama njia ya kuwafunza waache kukojoa kitandani. Wimbo huu ulipokuwa unaimbwa yule mtoto kikojozi anabebeshwa mashuka yenye mikojo (kama alikuwa mkubwa kidogo alikuwa anabebeshwa godoro lenye mikojo) na kutangulizwa mbele...
  10. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Mauno mkeo watoto: Uswahilini na maadili

    Kwa wale ambao hawajui maisha ya uswahilini, kuna vigoma vingi Sana watu wanapita wakiwa Na Madera (ndani chupi hakuna) wanacheza Na kujifunua uchi uchi. Kuna siku nilipita nikaona uchi Wa Malaya wanacheza aisee walikuwa uchi wa mnyama, zile nuksi nilizozipata mana nilikoswakoswa na magari...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Ulimwengu umeshindwa kulinda Watoto

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa siku ya Jumatano, inasema ulimwengu umeshindwa kumlinda mtoto na hatari za kiafya zinazotokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi na lishe hafifu. Ripoti hiyo iliyopewa kichwa cha habari 'Hatma ya watoto ulimwenguni'imetolewa na timu ya wataalamu zaidi...
  12. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Ifahamu familia ya watoto watano wanaotamba katika Udaktari

    Unaweza kufikiri ni simulizi tu pengine ya kusadikika. Lakini ni uhalisia. Tujikumbushe. Unaikumbuka familia ya Matumla iliyosheheni wanamasumbwi ikiongozwa na Rashid Matumla aliyetamba ndani na nje ya nchi? Ni hivi. Kama masumbwi yalivyotawala kwa kina Matumla ndivyo taaluma ya udaktari...
  13. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Top 5 IDs tamu za watoto wa kike

    Leo nmeamua kuja na list ya watoto wazuri wenye majina matamu hapa jf sweet @16 hii ndo namba moja yangu hili jina lina sound fresh sana haliitaji maelezo limejitosheleza @Demiss jina tamu sana hili ata utamkaj wake simple sana joanah hili ndo namba tatu yangu kajina flani hakana mbwembwe...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watoto wawili wafariki na wengine kumi na moja wafikishwa hospitalini baada ya kula vibama/mabumunda yenye sumu

    Watoto wawili nchini Uganda wamefariki dunia huku wengine 11 wakipelekwa hospitali baada kula kitafunwa aina ya chapati kilichotengenezwa kwa sumu ya kuua wadudu badala ya mafuta. Watoto wote 13 wanatoka familia moja magharibi mwa Uganda na inasemekana kwamba waliokuwa walikuwa na umri wa 5 na...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nashauri watoto wa mijini waanze shule wakiwa na miaka mitano

    Watoto wa mijini wanawahi kuelewa mambo mapema. Wanajifunza mambo mengi nyumbani yale ambayo zamani tulijifunzia shule. Nyimbo, kuhesabu, abcd, na a e i o u. Kama haitoshi wanafundishana wenyewe wakiwa wanacheza. Mfano juzi mwanangu wa miaka miwili kaja ananiimbia da de di do du. Amefundishwa...
  16. Zawadi Mkweru

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Bullying na jinsi wazazi wanavyochangia kutokea kwa unyanyasaji huu unaowaathiri sana watoto wawapo shuleni

    Bullying ni aina ya Unyanyasaji unaoweza kufafanuliwa kama shambulio la kisaikolojia, kimwili au vitisho ambalo hulenga kusababisha woga, mawazo au kumdhuru mwathirika. Bullying inapofanyika mashuleni huwa katika mazingira ambapo mwanafunzi hujikuta katika unyanyasaji wa kimfumo (pamoja na wigo...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa wazazi wote wanaokumbia shule za St Kayumba kwakua hawataki watoto wao wawe Waswahili, anagalieni hii picha.

  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Naomba TANROADS na mamlaka nyingine husika kuiwekea matuta Akachube Road, ajali zimezidi

    Tunaomba tafadhali muweke matuta. Watoto wanagongwa na watu wazima wanajeruhiwa. Barabara ni nzuri sana na nyoofu ila madereva wanalala mbele sana kwenye barabara hii na ukizingatia iko mtaani 'uswazi' watoto wafyekwa kwelikweli hapa. Hivi juzi akina mama waliweka mawe hapo barabarani. Nami...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa hasara ambayo huyu mtoto ameniingizia: Nashauri Sheria itungwe iwe ni shuruti watoto kusaidia Wazazi uzeeni

    Ameangusha Laptop na kuua harddisk na kupoteza data zote. Nikaiweka mbali, amedandia na kukwea kabati na kuiangusha kupasua kioo slim laptop. Amedumbukiza simu ya mama yake kwenye ndoo ya maji. Ameshapasua simu nyingine kama mbili (anavizia ukijisahau tu). Amechana Macover ya vitabu vyangu na...
  20. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Kati ya watoto wakike na wakiume, Ni watoto gani hukumbuka kuwatunza wazazi wao ?

    Salaam wapenzi wa jukwaa hili bora, katika jamii kumekuwa na minong'ono kuwa watoto wakike hukumbuka nyumbani na kulipa fadhila kwa wazazi wao pindi wanapozeeka au kuwa na uhitaji, watoto wa kiume nao hujitutumua kuwa tuhuma hizo si za kweli! Kwa wote tupo katika jamii na tunaona, je msimamo na...
Back
Top Bottom