watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Jenista: Tusipoondoa udumavu tutakuwa na watoto wasiofanya vizuri darasani

    Waziri wa Nchi (Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Walemavu) Jenista Mhagama amesema kuna Mikoa inafanya vizuri katika Uzalishaji wa Chakula lakini kiwango cha Utapiamlo na Udumavu bado kipo juu Akiwa Bungeni Dodoma amesema, "Mkoa wa Iringa hali bado sio nzuri, kiwango cha Kitaifa ni 40% lakini...
  2. JamiiForums Tanzania Shonza: Maafisa wa maendeleo ya Jamii siku hizi wamekuwa Maafisa mikopo. Kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto

    Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila...
  3. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kumaliza tatizo la ukatili wa kingono kwa watoto?

    Salaam wana MMU Ukatili wa kingono kwa watoto umezidi kuongezeka kadri siku zinavyokwenda. Pamoja na juhudi za serikali na jamii bado vitendo hivyo vinaendelea. Adhabu mbalimbali hutolewa kwa wahusika wanaotenda ukatili huo lakini bado hazijaweza kuzuia mwendelezo wa vitendo hivyo. Kila siku...
  4. JamiiForums Tanzania Uhaba wa chanjo kwa watoto wachanga

    Ramadhan kareem kwa ndugu zangu waislamu, Wakuu kuna hiki kitu nimekutana nacho huenda ni kawaida ila kwa miongo zaidi ya mitatu niliyopo hapa duniani ndio naona kwa mara ya kwanza. Ni hivi, mke wangu kajifungua na ninavyojua (huenda nikawa sipo sahihi) kuna ile chanjo ya begani hua hua mtoto...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya Watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani, Watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana na familia zao kuwa duni

    KATI ya watoto 100 wenye umri chini ya miaka mitano mkoani Pwani,watoto 24 wana Udumavu na hii imetokana hasa na familia zao kuwa duni hivyo kushindwa kuinua uchumi wa familia hizo. Pamoja na hilo, hali ya usajili katika mfuko wa Bima ya afya ya jamii (CHF)hairidhishi ,hadi sasa ni kaya 10,038...
  6. JamiiForums Tanzania Sakata la Dc mstaafu kumpiga mkewe na kumtishia bastola lachukua sura mpya watoto wake washikiliwa na polisi Simanjiro

    Sakata la Philomena Toima mke wa mkuu wa wilaya mstaafu nchini ,Peter Toima Kiroya limechukua sura mpya baada ya jeshi la polisi wilayani Simanjiro kuwashikilia watoto wake kwa sababu zisizojulikana mpaka sasa. Watoto walioshikiliwa na polisi wilayani humo ni pamoja na Nahini Toima pamoja na...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni tabia yako ipi hutamani watoto wako wairithi na ipi unatamani wairithi?

    Nawasalimu katika jina la JMT. Kazi iendelee. Moja kwa moja kwenye mada. Katika maisha tunayoishi tunafanya mambo mengi na kupitia vitu kadhaa. Baadhi matendo ni mazuri mengine si mazuri. Pia baadhi ya Tabia ni njema lakini nyingine si njema. Pia kuna baadhi ya tabia si mbaya wala...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Lactogen Formula 1 pigo kwa wafanyakazi wenye watoto wachanga

    Jumuia ya akina mama wafanyakazi wenye watoto wachanga huwanywesha watoto maziwa f1 na kuwanyonyesha wanapotoka kazini. Moja ya f1 iliyozoeleka ni lactogen toka Kenya au France. Ni wiki ya 2 sasa nimeshindwa kupata maziwa hayo madukani kwa mtoto wa ndugu yangu Dar. Amejaribu agiza mikoani...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa chimbo la nguo za watoto za mtumba Jijini Dar

    Hello ladies and gentlemen... Anaefahamu chimbo zuri hapa Dar, wanapouza nguo za watoto nyepesi yaani (lightbaby) grade one kutoka Canada na UK anijuze. Ukinijuza na bei itakuwa poa. Nawasilisha. Pia soma: Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba atimba Bungeni na familia yake ya mke na watoto watano

    Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano. Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa. Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio wale wanaojulikana kisheria kwani kimsingi idadi ya watoto wanaijua akina mama. Chanzo: TBC...
  11. JamiiForums Tanzania Kuhusu vifurushi: TCRA, Ndugulile na Serikali mmetufanya Watanzania kama watoto wadogo

    Wanabodi mnakumbuka mwezi wa pili walipandisha bei za vifurushi, tukalalamika zipunguzwe wakatuahidi mwezi wa 4. Mwezi wa 4 vimepanda zaidi tumepiga kelele wameturudisha kwenye bei zilezile za mwezi wa pili tulizokuwa tunazipigia kelele, nasi bila kujua tunashangilia. Kifupi Serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Program ya elimu kusaidia watoto wetu: Nataka mwalimu mmoja wa kushirikiana nae kusaidia jamii/watoto

    Nina program moja ya kuisaidia jamii hususani watoto katika sector ya elimu, inahusu kuandaa Handouts/Notes katika mfumo wa Vitini. Sifa ya vitini 1) Simplified...ili mwanfunzi asiwe bored kujisomea 2) Well analyzed...Mwanafunzi aweze kuelewa Hesabu ~Kitini kimoja tutauza (1000 to 1500)Tzs...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 ilivyobainisha watoto wa maskini na wa matajiri HESLB

    Miaka mitano hii imeigawanya sana jamii. Ukiwa mfanyakazi Serikalini una nafasi fulani na inakupatia mshahara mzuri basi uliambiwa wewe unatakiwa uishi kama shetani awamu ya tano Hapo inabidi umlipie feesza chuo mwanao. Mtoto ambaye wazazi wake hawaonekani kuwa na uwezo mzuri kiuchumi wanapata...
  14. JamiiForums Tanzania Kilimo si adhabu. Ukiweka mazingira mazuri ya kilimo hata watoto watafurahia kwenda shambani

    Kwenda shambani inakua ni mateso kama mazingira ni mabovu. Weka kilimo mazingira mazuri ya shamba. Jiko la gesi, vyakula na maji. Saa ya kula unaandaa vizuri chakula mezani au kwenye mkeka. Mnaweza kuchemsha mihogo au viazi kutoka hapo shambani. Watoto wakisaidia kazi vidogo vidogo. Hii ni...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto zangu sitataka waishi maisha niliyopitia baba yao

    Mimi ni kijana age 20's nina ndoto ya kuja kuwa na familia yenye furaha,amani,upendo na kumtukuza mungu pia naamin mungu atafanya kweli juu ya tumaini langu hili Sina mke mchumba Wala mtoto ila panapo maajaliwa naamini nitakuwa navyo vyote hivyo Kati ya vitu ambavyo nitapigana navyo basi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mwanza ashauri watoto na wazee kufuatilia shughuli za kumuaga Hayati Dkt. Magufuli kupitia runinga

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza mh Mongekla amewaasa wakazi wa Mwanza kutokuja na watoto siku ya kumuaga hayati Magufuli katika uwanja wa CCM kirumba. Marufuku hii inatokana na uwepo wa watu wengi kutoka mikoa mbalimbali waliokuja kumuaga hayati Magufuli. Source ITV habari! ------------ Mkuu wa Mkoa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijaaliwa watoto wangapi? Wangapi wapo ndani ya utumishi wa Umma?

    Taarifa sahihi ya watoto wa Mhe. JPM haijawahi kuwekwa wazi na pia yeye hakupenda kuingiza familia yake kwenye majukumu yake. Hadi Sasa ni vigumu kujua idadi ya watoto, majina yao pamoja na kazi wanaofanya. Nichukue fursa hii kuhoji historia ya familia hii kwa kutaka kujua ina ukubwa gani na je...
  18. JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto

    Salaam kwenu wadau. Nionavyo mimi, malezi mabovu ya waototo yanaanzia nyumbani sio shule wala mtaani. Nini maoni yako katika hili? Wasalaam.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Leo naona akina mama wengi wanaenda kutoa heshima za mwisho kwa hayati Magufuli wakiwa wamebeba watoto, sijaelewa maana yake

    Leo watu ni wengi wengi tena wengi sana sidhani kama itakapofika saa 11 jioni wakati wa kufunga zoezi hili kwa mkoa wa Dar es salaam watu watakuwa wamekwisha. Ila siku ya leo akina mama wengi wamekuja na watoto wachanga na wale wadogo na wakipita mbele ya jeneza kuaga huwanyanyua juu watoto wao...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

    Ramani niliyonayo nimeipenda ila hii sehemu ya vyumba vya female na male ndio bado naomba ushauri kama hakuna shida au niongee na mchoraji abadilishe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…