wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania HOJA TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti

    TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti. Kwa sasa, hakuna taarifa zinapotokea hitilafu za huduma, huduma zinaporejea, au kunapokuwa na matengenezo yaliyopangwa (scheduled maintenance). Hii ni changamoto ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiwasababishia...
  2. Right Flower

    JamiiForums Tanzania Je ni bora kuwa na wateja wachache wanaokulipa vizuri zaidi au wateja wengi lakini wanaokulipa kiasi kidogo ?

    kuna rafiki yangu ana fundisha watu kushona. Awali alikua anawalipisha kiasi cha 20,000 kwa kila mwanafunzi kwa wiki. Asema anachoka sana maana kazi ya kuongea mda wote sio ndogo, na unakuta wateja wengine ni wazito so kazi nakua energy draining sana. Anawaza kupandisha bei kua 50,000 japo ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Si kwamba ni wote au siwaamini, lakini wakala wa bidhaa original akiwa Mbongo hunifanya niwe na wasiwasi ataingia tamaa kirahisi kutuuzia feki

    Unakuta makao makuu ya kampuni yenyewe yapo Dar au kwenye majiji mingine, na ukifika huko unaona kabisa tofauti ya uendeshaji. Kila kitu kinafanyika kwa weledi, usimamizi ni wa kiwango cha juu, na mara nyingi mameneja ni watu wenye uzoefu mkubwa walioujenga ndani ya kampuni hizo kwa miaka mingi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania VETA: Tunawasihi wateja wetu kuwa na uvumilifu na kuzingatia taratibu kuhusu vyeti na leseni za Udereva

    VETA inatunuku vyeti vya udereva kwa mhitimu aliyefaulu mitihani na majaribio yanatotolewa katika ngazi ya chuo. Aidha, mbali na kuwa na cheti cha VETA, mhitimu anapaswa kukidhi tathmini ya umahiri inayoendeshwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi (Kitengo cha usalama Barabarani)...
  5. Vien

    JamiiForums Tanzania Ukiingia kwenye mtego wa kukopesha ili tu kujenga mahusiano mazuri na wateja, ujue unachimbia shimo ambalo linaweza kuizika biashara yako.

    Wafanyabiashara wengi hawafi kwa kukosa wateja, wanafia kwenye madeni ya wateja wao 👇🏾 Kuna dhana imeenea sana kwenye biashara kwamba ukitaka kupata wateja wa kudumu lazima uwe mwepesi wa kuwakopesha. Wapo hata wataalamu wa biashara wanaoshauri kuwa kwa mazingira fulani kutoa bidhaa kwa mkopo...
  6. Vien

    JamiiForums Tanzania Biashara nyingi hazipotezi wateja kwa bei, zinawapoteza kwa utaratibu wa kuuza

    Utaratibu wa manunuzi katika baadhi ya maduka, kampuni na taasisi unachangia kupunguza mapato yao bila wao wenyewe kujua. Mimi ni mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi, nafanya biashara katika level ya retail. Hii inanifanya ninunue bidhaa mara kwa mara kutoka kwa wholesalers, maduka makubwa na...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Jifunze stadi za kubost matangazo online kupata wateja ada ni 14500

    Mafunzo ya vitendo kwa simu yako tu. UTAJIFUNZA: 1. Kuboost matangazo kwa budget ndogo 2. Kupata wateja sahihi FB, IG, TikTok 3. Kubadilisha muda wako kuwa kipato ADA: Tsh 14,500 - Masaa 24 Mawasiliano: 0793 883 627
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wa CRDB Morogoro Manispaa wanaibiwa fedha zao kwenye akaunti bila wao kujua

    Kuna malalamiko kuhusu matukio ya upotevu wa fedha kwenye akaunti za baadhi ya wateja wa CRDB katika Manispaa ya Morogoro. Miongoni mwa walioathirika ni baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) pamoja na wateja wengine, ambao wamejikuta fedha zikitolewa kwenye akaunti zao...
  9. Stability

    JamiiForums Tanzania Dini haiendani na uhalisia wa mwandamu, mfano inaweza kukupelekea uwe kukutengana na wasioamini lakini kiuhalisia hao hao ndio waaajiri au wateja wako

    Only fools fall for religion traps.
  10. O

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Changamoto ya uunganishwaji umeme wateja wapya Tanesco-Mkuranga

    Kumekuwa na ucheleweshaji wa huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja wapya wilaya ya Mkuranga ambapo mteja anakuwa ashafata taratibu zote kwaajili ya kupata huduma ila mteja anasubirishwa Hadi miezi sita bila kupata huduma. Na ukijaribu kufatilia wanakuambia Kuna uhaba wa vitendea kazi kama...
  11. Jofreyma

    JamiiForums Tanzania SALES OFFICER | Miaka 4 Uzoefu | 230+ Wateja | Niko Tayari kuamia popote Tanzania

    Habari wakuu, Naitwa Jofrey Mshobozi Mafuru. Nina uzoefu wa miaka 4+ katika mauzo ya moja kwa moja na huduma kwa wateja. NINI NAWEZA KUFANYIA KAMPUNI YAKO: 1. Kusimamia wateja 200+ 2. Kufikia malengo ya mauzo kila mwezi - 93.3% client retention rate 3. Kupata maduka/wateja wapya kila wiki...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tumia haya maneno Manne kwenye matangazo yako ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua fulani

    Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk LAKINI Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi wateja kuuziwa vifungashio baada ya kununua bidhaa tena za pesa kubwa tu?

    Hili suala la mtu kununua vitu/ bidhaa unakuta vinafika hata elfu 20,000 au zaidi halafu muuzaji anataka ulipie na kifungashio mia tano kubeba bidhaa ulizonunua kwake imekaaje? Ni kwamba wafanyabiashara huwa wanafikiri bidhaa tunaweza kubeba mkononi bila vifungashio au vipi?!
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO YAS wanatumia pesa za wateja za YAS Kibubu kuweka fixed

    Yas wanatumia vibaya uaminifu tuliowapa, nimeweka pesa kwenye kibubu kuhifadhi tu lakini wawezizua hazitoki na hawana majibu ya kueleweka salio la kibubu ni 0. Lakini wanadai pesa ipo haijatoka ila kuna shida ya mtandao leo siku ya 7 na ni pesa ya matibabu Mama angu kalazwa sina pesa nyingine...
  15. SamuraiJack

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Kuvuta Wateja kwenye Biashara Mpya

    Habari wakuu. Nimekuja leo nikiwa na maswali mawili kuhusu biashara yangu mpya ya restaurant/mkahawa. Swali la kwanza linahusu biashara yenyewe. Nimefungua restaurant wiki mbili zilizopita baada ya kuwahi kufanya biashara kama hii miaka kadhaa nyuma lakini sikufanikiwa sana. Safari hii...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali iimulike CRDB Bank. Inadhulumu wateja kwa kiwango cha ajabu

    Bank ya CRDB ina makato ya hovyo na ya ajabu . Yaani hii benki unaweza kukatwa kila siku elfu 10 bila kujua. Wanakaa wanakata tu 1500, ukizubaa kidogo wanakata 3000 ukishangaa kidogo wanapita na sh. elfu 2, . Ukicheki statement wanaandika tu imelipwa. Bila kutaja umemlipa nani na kwa malengo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Usalama duni wa watoto wanaoenda kuogelea Jangwani Sea Breeze Beach, nani anawajibika?

    Siku ya sikukuu ya Idd, watoto waliniomba niwapeleke eneo la kuogelea. Nilishauriana na mke wangu, naye akapendekeza tuwapeleke Jangwani Sea Breeze, kwani ni sehemu iliyo karibu, na pia watoto wamekuwa wakisikia ikitajwa na wenzao shuleni. Nilikubali. Nikawasha gari, mimi na mke wangu...
  18. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu huduma ya kituo cha wateja

    Mpendwa Mlipakodi, Asante kwa mrejesho wako kuhusu huduma ya kituo cha wateja. Tunasikitika kwa usumbufu uliopata, hasa katika matumizi ya mfumo na module ya remission. Tumeanza kuchukua hatua za kuboresha huduma kwa kuwajengea watumishi uwezo stahiki wa mifumo ili kukuhudumia kwa haraka na...
  19. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Biashara yako kwenye eneo lenye wateja wengi! Kariakoo!

    Je, unatafuta sehemu sahihi ya kukuza biashara yako? Hii ndio nafasi ambayo umekuwa ukiisubiri. 🏢 Jengo jipya kabisa, lenye muonekano wa kisasa na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa wateja (high foot traffic). Biashara yako itapata mwonekano na uhai unaostahili. 🔹Maduka yanapatikana kuanzia: •...
  20. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameanza kuibia wateja waziwazi

    Habarini za jioni, kwa kweli leo nimepata changamoto kubwa kwa kuliwa pesa yangu. Tufupishe mada mimi nipo wilayani Kisarawe nilivuta umeme tarehe 7.2.2026 na kuanzia hapo nimekuwa nikikatwa kodi ya jengo kila mwezi tsh 1,500/=, cha ajabu leo nilitaka kununua umeme wa tsh 10,000/= muamala...
Back
Top Bottom