Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Oxford umeonesha kuwa katika nchi 13 tajiri zaidi duniani, takribani asilimia 25 ya nguvu ya uchumi hutokana na ufanisi wa kitaasisi. Hii ina maana kuwa taasisi zenye mifumo thabiti na uwajibikaji huongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi kuliko hata rasilimali...
Shida ni kwamba hizi Telecom Companies na pia other companies ambazo zinajihusisha na services za home internet hazisema ukweli interms of amount ya data unayopata, kwa mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi flani lakini unakuta kumbe limit ni 1tb, so wana-advertise huongo na hawajulishi...
28 FEBRUARY 2026, Basi la Abood lilitoka Mbezi Bus Terminal, kufika chuo cha St Joseph likapata hitilafu, wahusika wakatoa taarifa kuwa Bus imekata Fen Belt, hivyo abiria tuwe wavumilivu fundi anakuja.
Tulikaa tangu Saa 1 Usiku hadi Saa 5 Usiku ndio Bus linaanza kutoka tena safari ya kutoka...
Anonymous (bbf7)
Thread
dar
huduma
huduma mbovu
mbeya
mbovu
saa
saa 24
safari
wateja
Habari wana JF
Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.
Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu.
Mfano:
•Hivi mna pump za Pedrollo?
•Mna taa za Tronic?
•Mna pipes za PVC?
•Mna switches za umeme?
•Mna...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewakumbusha wateja juu ya umuhimu wa kuzingatia zoezi la usomaji na uhakiki wa mita mara baada ya kupokea ujumbe wa usomaji mita kwenye simu zao ili kuongeza uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma.
Zoezi la usomaji mita...
.Uliwahi kwenda maeneo ya Soko kama karikoo au mnadani kufanya Manunuzi ya Bidhaa tofauti Tofauti
LAKINI
.Wakati unafanya matembezi maeneo tofauti tofauti ya soko kusafishia macho ukiwa huna Hili wala lile
.Gafla unakutana na Mfanyabiashara au machinga ana anza kukushawishi
.Ununue Bidhaa...
Habari wakuu,
Natoa huduma za kitaalamu za kutengeneza website kwa biashara, taasisi na miradi mbalimbali. Ikiwa unahitaji website ya haraka, inayovutia na inayofanya kazi vizuri, hii huduma ni kwa ajili yako.
✅ Website yako itakuwa tayari ndani ya siku 3 tu
✅ Inafaa kwa biashara ndogo...
Kuna tatizo katika kampuni hizi za kubet wateja wanalalamika wanatoa hela ila hela kwenye account zinatoka betPawa ila kwenye mitandao ya simu hazifiki, tukiwauliza wanasema tuwasiliane na mtandao husika.
Ukiwasiliana na Mtandao husika wanasema muamala umefeli umerudi kwenye account yako ya...
Madereva kadhaa wa Bolt walifanya maandamano hadi makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Kinondoni, Dar es Salaam, siku ya Jumatatu, Februari 2, 2026, kupinga tozo kubwa na ongezeko la punguzo kwa wateja.
Madereva hao walifika nje ya ofisi hizo majira ya saa 4:00 asubuhi, lakini walitawanywa na...
📌 KUMBUKIZI LA UHALISIA
“Ng’ombe mmoja akiwa amezaa, huwezi kukosa lita 25 za maziwa kwa siku ukiwa na ng’ombe bora na lishe sahihi. Mimi nina zaidi ya ng’ombe 10, na soko la maziwa ni kubwa sana. Tunauza katika maeneo mbalimbali ikiwemo mashuleni kutokana na ubora wa maziwa tunayozalisha.”
—...
Tufuteni APP yenu ambayo mstaafi anaweza kuhakiki kutumia smart phone.
Ni usumbufu usio kifani kukaa ofisini masaa 3 au zaidi uko kwenye foleni eti unahakiki
Lifikirie hilo
Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha
Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua Kampeni Kabambe ya Msimu wa Sikukuu kwa ajili ya kuwazawadia wateja wake wanaofanya malipo kwa kutumia kadi ya Popote Visa, ambapo watapata rejesho la 10% kwa kila muamala unaokidhi vigezo vilivyowekwa na benki.
Akizungumza jijini Dar es Salaam katika...
Kumekuwa na tabia ya mahakimu na makarani wa mahakama za Tanzania kuwataka wateja wao kununua flash au kutoa anwani za barua pepe zao ili kuwatumia hukumu zao.
Hivi jamani 80% ya watanzania waishio vijijini wanauelewa na hivi vitu wanavyokaa tu viongozi wa mahakama na kupanga kwa maamuzi yao...
Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenye Mitandao wa Facebook Ikieleza kuwa Simu za Samsung Zina App Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake..je ukweli wa Taarifa hii Upoje?
Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa...
Wakuu,
Hatimaye Kampuni ya Mtandao wa Vodacom imeweka wazi kushughulikia Tatizo la kukatwa kwa bando wakati Mtandao ulipozimwa, imeeleza kuwa wateja wote waliofanya manunuzi ya Mabando watarejeshewa
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso akimnadi Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ndiye Rais wa Tanzania, ameelezea kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya mamlaka za maji kubambikia wananchi bili kubwa zisizo na uhalisia.
Najiuliza kwanini hatua za msingi hazikuchukuliwa mapema...
Ni wazi matangazo ya bure ya mitandao ya simu yanakera sana,sana,sana, yawe ya serikali au ya mtandao husika.
Ni vyema kuwe na kipengele cha kukubali matangazo au kusitisha na kiwepo kipengele cha kuwajibu wote wanaotuma sms za bure zenye maslahi yao.
Tcra msijiamini sana na mnapaswa kufungua...
Inaonekana Wamarekani na kuwaibia wateja ni kitu cha kawaida.
Tesla wanataka kuzindua new Model Y ili week, wenyewe wanaiita Striped Model Y kwamba imeondolewa baadhi ya features na kuuzwa bei nafuu, ila sio nafuu kuliko Model 3.
Hawa jamaa naona kabisa wanaleta utapeli. Kuanzia updates ya...
Kuanzia tarehe 8 September bank hii ilipoanza kubadilisha system yake ya zamani mpaka leo 30 September hali ya wateja ni tete.
Miamala iliyotakiwa kuingia au kutoka kwenye account haijulikani ilipo.
Hakuna msaada wowote unaotolewa kwa wateja zaidi ya kuambiwa subiri, bila kupewa tarehe ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.