Serikali iimulike CRDB Bank. Inadhulumu wateja kwa kiwango cha ajabu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,653
Reaction score
49,646
Bank ya CRDB ina makato ya hovyo na ya ajabu .
Yaani hii benki unaweza kukatwa kila siku elfu 10 bila kujua.
Wanakaa wanakata tu 1500, ukizubaa kidogo wanakata 3000 ukishangaa kidogo wanapita na sh. elfu 2, . Ukicheki statement wanaandika tu imelipwa. Bila kutaja umemlipa nani na kwa malengo yapi.
Hii benki inayojitapa kupata faida za mabilioni kwa mwaka kumbe ni faida za makato ya hovyo.
Haiwezekani waandike tu imelipwa bila kutaja nani kalipwa na kalipwa kwa malengo yapi.
Huu ni utapeli..
Vitu vidogo vidogo kama hivi ndivyo vinapelekea vijana kutokuwa wazalendo kwa Taifa lao.
Mamlaka za udhibiti za Tanzania hazipo kwaajili ya mteja (mlaji)
Wakigundua kampuni au taasisi imedhulumu haki ya mlaji wanaipiga faini ambayo inaingia kwenye mfuko wa mamlaka husika na si kwa mwathirika.
 
Ilichanga milioni 100 pale mlimani City kwa CCM.
 
Kwan bank ipo moja au una ndoa nayo ya kikristo kwamba haivunjiki?
 
wameshaipora na kuigeuza islamic sharia bank, hata hiyo (CRDB Plc) wanaenda kuua pia, crdb ilikuwa ni success story ila baada ya kuingiza islamic sharia banking plus nepotism, corruption na incompetency zinazoendana na islam banking, ni swala la muda tu inakwenda kufa, so sad ...
 
Benki zina makato ya hovyo sana!
Ni basi tuu, hakuna namna nyingine ya kutunza fedha has ukiwa "corporate".
Kama una hela nyingi benki, huwezi kuona kama makato ni makubwa. Ila ukichukua statement ya miezi miwili, chukua calculator anza kupiga gharama "Transaction costs" za benki, ndio utajua benki wanatengeneza fedha.
 
Ndio sasa muwe mnakaa na cash au uweke UTT.
 
wameshaipora na kuigeuza islamic sharia bank, hata hiyo wanaenda kuua pia, crdb ilikuwa ni success story ila baada ya kuingiza islamic sharia banking plus nepotism, corruption na incompetency zinazoendana na islam banking, hivyo ni swala la muda inakwenda kufa, so sad ...
Wewe na akil ni chui na paka
 
Watu wakianza kufuatilia miamala midogo midogo ya kati ya 1000 - 3000 kwenye account zao, kuna uwezekano benk moja Ikafungiwa...
Hao wezi wa miamala wamejikita kufuatilia account zilizo dormant. Inamaana mtu akiacha account yake kwa muda mrefu kiasi kiwa na hela hata kidogo sijui wanafikiri amekufa, hivyo huanza kujichotea, kwa kubeep waone kama utashtuka...
 
Mpaka hapa nilipo bank nilienda mara moja na sijawahi rudi tena. Hiyo siku nilienda nifungue acc na nifanye deposit lakin after kuona mambo mle ndani niliondoka bila hata kufungua coz wao kalamu ya sh 200 wanaifunga na wanatarajia uwape hela yako. Mimi niliona hapa hatuaminiani nikaondoka zangu had wa leo pesa ni mifukon kwene simu na ndani basi. Acha wafunge kalamu zao na ile ni ishara ya kukufunga wewe na hela yako.
 
Bank ya CRDB ina makato ya hovyo na ya ajabu .
Yaani hii benki unaweza kukatwa kila siku elfu 10 bila kujua.
Wanakaa wanakata tu 1500, ukizubaa kidogo wanakata 3000 ukishangaa kidogo wanapita na sh. elfu 2, . Ukicheki statement wanaandika tu imelipwa. Bila kutaja umemlipa nani na kwa malengo yapi.
Hii benki inayojitapa kupata faida za mabilioni kwa mwaka kumbe ni faida za makato ya hovyo.
Haiwezekani waandike tu imelipwa bila kutaja nani kalipwa na kalipwa kwa malengo yapi.
Huu ni utapeli..
Vitu vidogo vidogo kama hivi ndivyo vinapelekea vijana kutokuwa wazalendo kwa Taifa lao.
Mamlaka za udhibiti za Tanzania hazipo kwaajili ya mteja (mlaji)
Wakigundua kampuni au taasisi imedhulumu haki ya mlaji wanaipiga faini ambayo inaingia kwenye mfuko wa mamlaka husika na si kwa mwathirika.
Ulikuwa hujui pole sana mi nilihama long time ago njoo Equit
 
Back
Top Bottom