DOKEZO YAS wanatumia pesa za wateja za YAS Kibubu kuweka fixed

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Yas wanatumia vibaya uaminifu tuliowapa, nimeweka pesa kwenye kibubu kuhifadhi tu lakini wawezizua hazitoki na hawana majibu ya kueleweka salio la kibubu ni 0.

Lakini wanadai pesa ipo haijatoka ila kuna shida ya mtandao leo siku ya 7 na ni pesa ya matibabu Mama angu kalazwa sina pesa nyingine, majibu ya wahudumu wanasema toa sasa hivi inatoka then ukitoa holaa, mwingine kasema badili simu, nimejaribu naambiwa hamna pesa, mwingine anasema linashughulikiwa anakata simu.

Cha ajabu wanakuwa wakali ukianza kuwadadisi
 
😀😀
 
Acha zikae kibubuni hukuwa na kazi nazo
 
Back
Top Bottom