wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. hsnaturalfertility

    JamiiForums Tanzania CRDB yaendelea kutesa wateja, Regulator yuko kimya!

    Kuanzia tarehe 8 September bank hii ilipoanza kubadilisha system yake ya zamani mpaka leo 30 September hali ya wateja ni tete. Miamala iliyotakiwa kuingia au kutoka kwenye account haijulikani ilipo. Hakuna msaada wowote unaotolewa kwa wateja zaidi ya kuambiwa subiri, bila kupewa tarehe ya...
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi huwa hazisomi emails za wateja ? Tatizo la Benk za Tanzania na mitandao ya simu

    Tuna Tatizo sana hasa kwa watu wanaoishi nje ya Tanzania 🇹🇿 Unakuta Vodacom Mpesa wameweka whatsap number kwa ajili ya watu wanaoishi Nje ila unaweza andika ujumbe wa haraka kujibiwa inatumia week kujibu Hata kwenye benk zetu Kama NBC na NMB hao ndo kabisa unaandika ujumbe emails zinajibiwa...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CRDB wameibiwa zaidi ya bilion 3 za wateja kwenye hacking ndio maana wakaweka siku za kujihakiki kubadili mfumo

    Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo. Britanicca
  4. H

    JamiiForums Tanzania CRDB Waliwadanganya Wateja Kuwa Wanaboresha Mifumo, Kumbe Wahuni Walikuwa Wanaharibu Mifumo

    Kabla ya uharibifu wa mifumo ya kibenki, kila kitu kilikuwa kikienda vizuri, lakini bank hiyo ikatoa tamko kuwa ilikuwa inaenda kuboresha mifumo yake, wateja wakaombwa wawe watulivu. Mara walipoanza, huduma za kibenki, kwa siku 4 mfululizo zikawa ama hazipatikani kabisa, au zikipatikana nusunusu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji Wa Benki ya CRDB Atembelea Matawi na Kukutana Na Wateja

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela ameendelea na ziara zake katika baadhi ya matawi ya jijini Dar es Salaam kukutana na wateja ikiwa ni siku chache baada ya Benki kukamilisha maboresho makubwa ya mfumo wake mkuu wa utoaji huduma (Core Banking System). Akiwa katika tawi la...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wateja wa CRDB hali ni tete, miamala mingi haieleweki

    Wenye akaunti CRDB hali ni vurugu. Unatuma pesa haifiki lakini inaonyesha imekatwa Unatuma pesa inafika, baadae inarudishwa Unatoa hela ATM inahesabu lakini card inatoka bila hela. Mikopo ya kukwata at source unakatwa kwenye saving account. Kifupi benki imechanganyikiwa. Ukipiga simu...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yas hizi sms zenu za zawadi mnasumbua wateja

    Nikiwaletea msg ya tar flan utazawadiwa zawadi.... Badae same day nakuta umepata gb 8 utumie ndan ya siku 30 nikangalia salio nkakuta na gb 1 yangu nilinunua asbh 1.4gb nikahisi labda uchunguzi unaenselea wamekosea kuntumia Keshoyake kimya nkapiga mchana wakasema wanalifanyia kazi mpaka...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha kumekuwa na tabia ya wauzaji wa Vitu sana sana Viatu na nguo kuwauzia wateja vitu feki

    Hii imenikuta mimi nikiwa Arusha kuuziwa Viatu feki. Niwaombe mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Arusha wafanye uchunguzi kwa wauzaji wa viatu maeneo ya kariakoo ya Arusha. Wauzaji tukiwaambie watupatie risiti hawafanyi hivyo badala yake wanatuzungusha na kuwa hawatoi. Ukijaribu kufuatilia...
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Safari beer 🍺 mbona kama mnatubania wateja?

    Zile za chupa ukinywa tano Tu unakua umechangamka BALAA, ila hizi Takeaway kama sizielewi hivi, nmekunywa carton nzima lakini nahisi kama nakunywa apple punch Oya Acheni hizo basi wazeee Hivi Leo polepole atakua live?? NIMEWEKA BANDO LA 50K namsubiri
  10. Mtumsafi

    JamiiForums Tanzania UTT acheni ubabaifu kuhudumia wateja

    Mfuko wa uwekezaji wa pamoja UTT punguzeni ubabaifu katika kuhudumia watu,mnafanya clerical errors na badala ya kuzishughulikia mnampa mzigo mteja.Mkiwa watoa huduma tena mnaoshika vitu muhimu kama pesa hakikisheni mnafanya kazi zenu kwa weledi.Dunia iko kidijitali lakini mnafanya makosa...
  11. Immortal Techniques

    JamiiForums Tanzania Looking for Cotton Cakes Market; Natafuta Wateja au masoko ya Mashudu ya pamba

    Habarini za wakati huu, Natafuta Wateja/ masoko ya Mashudu ya pamba -anayehitaji aje pm au mwenye connection pia anipe Niko Mwanza.
  12. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Azam mnatusumbua wateja wenu na hii Azam max yenu

    Habari za jioni, Jana nimetembelea Azam Mgodi. Nikaona nijisajili na Azam Max ili angalau habari muhimu zisinipite kwenye kipindi hiki Cha uchaguzi, niwe naperuzi na kufatilia taarifa nikiwa popote nje ya nyumbani. Adha ninayoipata najuta kutumia mda wangu kufika Mgodini na kumaliza bando...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mix by Yass heshimuni wateja haya madisco hapo makumbusho stand siyo haki kwa raia

    Hpo makumbusho stand kuna maspika Makubwa, muziki unapigwa kuanzia asubuhi mpaka Jioni, Muziki wenyewe unatangaza kampuni ya mix by Yass. Yaani wafanyabiashara wengine walioko hapo wanateseka, makelele mtindi mmoja hakuna kusikilizana. Hii siyo sawa. Pia tunauliza mamlaka za kudhibiti kelele...
  14. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  15. PAYE

    JamiiForums Tanzania Wateja wapya TANESCO kukopeshwa majiko ya Umeme

    Serikali imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liharakishe mchakato wa kuwakopesha wateja wapya majiko ya umeme. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ametoa agizo hilo wakati wa uzinduzi wa programu ya utoaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi 11,000...
  16. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Programu ya kompyuta ya kutunza kumbukumbu za wateja, bidhaa na n.k.

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  17. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Programu ya kutunza kumbukumbu kama wateja, bidhaa na n.k

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  18. Bueno

    JamiiForums Tanzania Mabinti Mnaotuuzia Condoms Pharmacy muwe mnatupa maelekezo zaidi kuhusu Matumizi ya Condoms sio Mnatuonea Aibu Wateja Wenu

    Wakuu, ngoja leo niseme jambo moja ambalo nimepatwa nalo hapa katikati nilipokua kwenye mihangaiko yangu ya kutaka kukipata kilinda afya yangu ili nisipatwe na STI bila kutarajia sababu sikujikinga. Nilitoka zangu nikaelekea Pharmacy moja kubwa tu na kwenye hii Pharmacy hua kuna shift ya...
  19. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ambayo haipatwi na deficit ya wateja

    Nataka niongeze kitu cha kufanya zaidi ya ninachofanya sasa lakini natafuta biashara ambayo hata mzunguuko wa pesa uwe mgumu kiasi gani mahitaji yake yawe palepale au hata yakipungua yasipungue Sana Wadau wa biashara karibuni tupeane idea hapa
  20. youngkato

    JamiiForums Tanzania Biashara yoyote haiwezi kukua bila wateja

    Wateja ndio damu ya biashara bila wao hakuna mauzo, hakuna faida, hakuna ukuaji. Ikiwa unataka kuipanua biashara yako na kuongeza mapato, kuna njia kuu nne za msingi ambazo kila mfanyabiashara anapaswa kuzitumia: 1. Pata Wateja Wapya Hii ndiyo njia ya kwanza ya kukuza biashara. Wateja wapya...
Back
Top Bottom