watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji

    Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Watanzania si waoga, ila wenye kutunyooshea kidole

    Ni maneno ya hekima na busara sana kutoka kwake Tundu Antipas Lissu: "Kwamba watanzania si waoga bali hao wenye kuyasema hayo, ndiyo pekee walio waoga." Kwamba watanzania wanahitaji kuhamasishwa na kuongozwa na watu wanaowaamini. Kumbe ni wapi ambako wananchi huko, kuhamasishwa, au...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mabaki ya miili ya Watanzania iliyopo Ujerumani kurejeshwa Tanzania

    Imechukua zaidi ya karne tangu mabaki ya miili ya Watanzania yahifadhiwe katika makumbusho mbalimbali nchini Ujerumani na sasa uamuzi wa kuyarejesha umefikia hatua nzuri. Baadhi ya mabaki hayo ni yake ya miili ya machifu na viongozi mbalimbali waliokuwa vinara katika vita vya Tanganyika dhidi...
  4. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasomi na wasio wasomi lakini ni wajasiriamali acheni kukodi fremu ili kufungua biashara

    Jamani eeh, kukodi fremu ufungue duka unapoteza hela zako. Somo hili kichwa cha habari hii kinahusika. Hii tabia imekithiri sana hapa nchini. Utakuta mjasiriamali analipa pesa nyiiiingi kulipia chumba cha duka akitarajia kupata pesa nyingi, ni kosa kubwa sana. Njia zifuatazo zinaweza tumika...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Israel yawataja majina ya Watanzania waliotekwa na Kundi la Hamas

    Hatimaye Watanzania wawili waliotekwa na wapiganaji wa kundi la Hamas mjini Gaza wametambuliwa kuwa ni Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix Mtenga. Uthibitisho huo umetolewa na serikali ya Israel baada ya Watanzania hao na raia wengine takribani 200 kushikiliwa na Hamas tangu Oktoba 7 mwaka...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hisia: Kuna idadi kubwa ya Watanzania wanaosumbuliwa na Stockholm Syndrome ikija kwenye kutawaliwa na CCM!

    Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu. Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi. Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS kuachia Warusi, hivi mnawashabikia huwa mnatumia vigezo gani, mjue kuna hadi Watanzania

    Mnaokesha humu kushabikia HAMAS huwa mnatumia vigezo gani kando na dini, nini kingine kinachowapa hamasa ya kushabikia maovu yao, wameteka watu wa mataifa mbali mbali wasiohusiana na ugomvi wa Palestina, humo kuna hadi Watanzania...
  8. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Palestina asaidie watanzania 2 waachiwe na Hamas

    Taarifa toka mitandao ya Israel zinaeleza kwamba, vijana wawili wa Kitanzania waliokuwa wamepelekwa na Serikali Israel kufanya Intenship ya Kilimo, wametekwa na Hamas na hadi sasa wapo mikononi mwao kama mateka, na wao sio Wayahudi, 1. Joshua Loutu Mollel (Masai au Mmeru), 2. Clemence Felix...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatoa Tamko Hali Watanzania Nchini Israel

    Serikali imesema inaendelea kufuatilia kuhusu hali za Watanzania waliopo nchini Israel na kwamba taarifa zaidi zitatolewa pale itakapobidi. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 29, 2023 na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi alipozungumza na wahariri na waandishi wa...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Dunia ielewe kuwa Israeli haipigani na Waislamu au Palestina, bali inapigana na Hamas

    Kitendo cha HAMAS kuvamia Israel na kuua baadhi ya Raia, kumimina risasi uraiani, na kuteka watu ikiwemo watanzania wawili, icho tayari ni kitendo cha Kigaidi (Terrorism Act), rejea maana ya neno 'Terrorism' au 'Ugaidi'. Hata hivyo mwanzo watu walionekana kufurahishwa na vitendo vya Hamas...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Doto Biteko: Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili shughuli za kiuchumi na kijamii zifanyike

    WATANZANIA WANAHITAJI WAPATE MAFUTA KWA URAHISI - DKT. BITEKO #Apongeza utaratibu wa upokeaji na upakiaji mafuta #Ujenzi wa Flow meter Kigamboni wafikia asilimia 93 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

    Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

    Wanaukumbi. Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema. Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa. Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia wetu waliopo Zambia na DRC Congo kwanini wanashindwa kumwambia Rais ukweli? Watanzania wanateseka kwenye hizi nchi hakuna wakuwatetea

    Tanzania nadhani tunashindwa kuelewa kwamba nchi yetu ili iendelee lazima wafu wetu wasafiri nje . Tunashindwa kuelewa ili nchi iweze kupunguza changamoto za ajira lazima watu wake wakatafute fursa Sehemu nyingine Tumekuwa wepesi sana kutetea wageni badala ya kutetea watu wetu. Raia wa Kongo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson ashinde Urais wa IPU

    Ndugu zangu Watanzania, Pamoja na kwamba Dr Tulia ni mgombea mwenye sifa kubwa kuliko wagombea wenzake, anayeungwa mkono na jumuiya mbalimbali, anayepewa nafasi ya kuibuka mshindi kwa kishindo, pamoja na kuwa na elimu yake kubwa, lakini Mungu anabaki kuwa Mungu tu. Mungu anabaki kuwa ndiye...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe: Watanzania Tumieni Bidhaa Zilizotengenezwa Nchini Kuendeleza Viwanda

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe ametoa rai kwa Watanzania kupenda na kunununua bidhaa zinazotengenezwa na viwanda nchini ili kupanua wigo wa masoko ya bidhaa, kuongeza uzalishaji kukuza viwanda, kuongeza ajira na kipato cha mtu binafsi na pato la Taifa. Kigahe ameyasema...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maoni, mapendekezo na matakwa ya Watanzani yamezingatiwa kikamilifu kwenye Mkataba wa Bandari

    Serikali sikivu iliyopo Madarakani, kwa umakini mkubwa imesikiliza sauti, imezingatia maoni na imetekeleza matakwa na mapendekezo ya Wananchi wa Tanzania walio wengi kuhusu Bandari kikamilifu sana na kwa weledi wa hali ya juu mno. Sote ni mashahidi, kwenye suala la bandari mambo yamefanyika...
  18. tpaul

    JamiiForums Tanzania Je, mikataba ya DP World iliyosainiwa ina kikomo cha miaka 30? Jibu hili hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Wakati wa kusaini mikataba miatatu ya uendelezaji bandari kati ya TPA na waarabu wa DPW tuliaminishwa na serikali kuwa hii mikataba ni ya miaka 30. Je, mikataba hii kweli ni ya miaka 30 au tumepigwa? Nimejaribu kufanya uchunguzi binafsi ndani ya serikali kwa...
  19. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni madikteta wasiokuwa na madaraka

    CCM kama navyo kitambua ni chama cha kidikteta kinacho ongoza nchi ya Tanzania. CCM imejifunua kuwa chama cha kidikteta kwa kipindi kirefu bila uficho wowote kwa maneno na matendo. Ila kuna kundi kubwa lililo saulika la Watanzania walio kinyume na CCM kiitikadi. Hili kundi kubwa la Watanzania...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
Back
Top Bottom