Serikali ya Israel yawataja majina ya Watanzania waliotekwa na Kundi la Hamas

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,215
5,252
Watanzania.JPG
Hatimaye Watanzania wawili waliotekwa na wapiganaji wa kundi la Hamas mjini Gaza wametambuliwa kuwa ni Joshua Loitu Mollel na Clemence Felix Mtenga.

Uthibitisho huo umetolewa na serikali ya Israel baada ya Watanzania hao na raia wengine takribani 200 kushikiliwa na Hamas tangu Oktoba 7 mwaka huu.
Wat.JPG

Chanzo: Azam TV

================

Tanzanian students taken hostage by Hamas in Gaza named

Two Tanzanian students taken hostage by Hamas in Gaza have been named by the Israeli government.

Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga were in Israel as part of an agricultural internship programme, Israel's foreign ministry said on X.

"They were kidnapped by Hamas terrorists and are being held hostage in Gaza," the statement read.

Mr Mollel's father told the BBC he has hope that his eldest son will return safely.

He said that Tanzania's ambassador to Israel had assured him the two governments were working together to secure their release.

However, the Tanzanian authorities have not commented publicly on the seizure of their citizens.

Before it was confirmed that his son, 21, had been taken hostage, Mr Mollel told the BBC he couldn't eat or sleep because he was desperate to know what had happened to him.

"When I go to the market people ask me why I'm losing so much weight," he said last week.

The last time Mr Mollel spoke to his son was on Thursday 5 October - two days before the Hamas gunmen attacked Kibbutz Nahal Oz, where he was studying.

The last words he said were: "Be on your best behaviour because you're somewhere new, and make the most of the internship you're there to do."

Mr Mtenga's family is yet to speak publicly.

They were among 260 Tanzanian students in Israel.

On 7 October 1,400 people were massacred by Hamas - which the UK, US and other Western powers class as a terrorist organisation - in Israel.

More than 230 hostages were taken over the border to the Gaza Strip which is under Hamas control.

Israel says they come from 25 countries, including one South African who is yet to be identified.

The South African authorities have not commented.

Hamas says it has hidden the hostages in "safe places and tunnels" within Gaza.

Four of the hostages have since been released, including Yocheved Lifschitz, an 85-year-old grandmother who was kidnapped alongside her husband Oded from a different kibbutz.

During the handover she shook the hand of her Hamas captor. She said she had been beaten with sticks while being taken to Gaza but had otherwise been well treated.

Since the attack, Israel has retaliated with air strikes that have killed more than 8,000 people, according to Gaza's Health Ministry, which is run by Hamas.

Source: BBC
 
Sawa

Ngoja tumuambie Balozi wao wawaachilie
Shida iliopo Hamas wanaowashkilia mateka na mamlaka ya Palestina chini ya Fatah hawaelewani.Mbaya zaidi mamlaka ya parestina yenye ubalozi hawana ubavu WA kuwaeleza chochote Hamasi.

Kinachonisikitisha,Hilo jeshi la Israel linaonekana kwenye makaratasi Lina makomandoo Bora Kwa Nini hawaendi kuwaokoa.
 
Halafu hiyo Agricultural internship....,wameenda sijui hata miezi 3 kama wamemaliza...,Pole kwao.
 
Shida iliopo Hamas wanaowashkilia mateka na mamlaka ya Palestina chini ya Fatah hawaelewani.Mbaya zaidi mamlaka ya parestina yenye ubalozi hawana ubavu WA kuwaeleza chochote Hamasi.

Kinachonisikitisha,Hilo jeshi la Israel linaonekana kwenye makaratasi Lina makomandoo Bora Kwa Nini hawaendi kuwaokoa.
Wape muda
 
Mnaoendelea kushabikia ugaidi wa waarabu wa HAMAS kisa dini, mjue wanaendelea kushikilia Watanganyika (Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga) wasiohusiana na ugomvi wa Palestina.......................
Ukiingia kwenye uzombi wa dini unausahau undugu, uzalendo unakua kama msukule fulani ambaye unaweza kujilipua muda wowote.

The Israeli government has named Tanzanians Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga as among at least 240 people seized by Hamas fighters in their bloody October 7 raids on Israel.
The father of a Tanzanian national taken hostage by Hamas said Tuesday he is praying for a truce in Gaza as the family endures "sleepless nights" anxiously waiting for news.

Walienda kufanyaje ktk nchi yenye kuchukiwa na waislam wote duniani?
 
Wakiuliwa Raia wa Gaza wanaripotiwa kama Collateral damage, wakiuliwa raia wa Israel wanaripotiwa kama Civilians. Siku wayahudi wakitambua binadamu wote ni sawa ndio utakua mwisho wa hii vita. BTW sijui mungu wa Israel na wa Palestina/Gaza wako wapi muda huu, usijekuta wapo mbinguni wanagonga cheers wakati huku duniani wafuasi wao wanalipuana mabomu tu. Dini ni siasa ya imani
 
Mlipokua mnashambulia na kuanzisha ugomvi kwa rockets mbona hukuandika hizi nadharia, mlikua mnachekelea na kubwatuka alla akbar
 
Walienda kufanyaje ktk nchi yenye kuchukiwa na waislam wote duniani?

Muarabu asingekuja kubaka wazee wetu Pwani usingejua hiyo dini wala huo uislamu unaokusababisha utokwe na fahamu, kwanza hao waarabu huwaona kama mbwa licha ya shobo zenu kwao...

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761screenshot_20220731-204338-2-jpg.2310321
 
screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761Mzee wako wa musoma kabakwa na nzungu unasema mwarabu. Jamaa unachuki na waislam kwa kujidai unawachukia waarabu
screenshot_20220731-204338-2-jpg.2310321
 
Muarabu asingekuja kubaka wazee wetu Pwani usingejua hiyo dini wala huo uislamu unaokusababisha utokwe na fahamu, kwanza hao waarabu huwaona kama mbwa licha ya shobo zenu kwao...

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761screenshot_20220731-204338-2-jpg.2310321

Ngoja bibi [mention]FaizaFoxy [/mention] aje na povu zito maana hapa umegusa vijukuu wa mtume
 
Walienda kufanyaje ktk nchi yenye kuchukiwa na waislam wote duniani?
Israel hutoa Scholarship kwa vijana walio somea masuala ya kilimo na hata hao vijana ni miongoni mwa walio kuwa huko kwa program hiyo wewe kwa kua ni lizuzu upo upo tu hasara kwenye nchi ukiwa na kanzu yako apo barakashia yenye matobo tobo huna future yoyote una baki kuuliza tu swali lisilo na kichwa waka miguu
pathetic wahed 😏😏
 
Kilimo si wangalienda Norway au Findlay? Wameenda Israel inayochukiwa na waislam duniani kwa kuwaua waislam wa Palestina?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom