Lissu: Watanzania si waoga, ila wenye kutunyooshea kidole

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,899
Ni maneno ya hekima na busara sana kutoka kwake Tundu Antipas Lissu:

"Kwamba watanzania si waoga bali hao wenye kuyasema hayo, ndiyo pekee walio waoga."

Kwamba watanzania wanahitaji kuhamasishwa na kuongozwa na watu wanaowaamini.

Kumbe ni wapi ambako wananchi huko, kuhamasishwa, au kuongozwa na wenye kuwaamini si muhimu? Ni Kenya, Afrika Kusini, Gambia au Guinea?

"Binadamu ni wale wale."

Maneno kuntu kabisa haya kutoka kwake mwana huyu, mzalendo halisi wa nchi hii.

"Mtanzania siyo mwoga."

Mwenye nchi, mwananchi.

Aluta continua!
 
Hapa ni wale waoga wenye kutaka kutujengea hofu kwa niaba ya ma CCM:

Screenshot_20231101-072544~2.jpg

Washindwe na walegee.

Cc: imhotep, Elli, Rabbon, johnthebaptist, denoo JG, Pascal Mayalla na timu nzima ya ndugu wadundanaji.
 
Hapa ni wale waoga wenye kutaka kutujengea hofu kwa niaba ya CCM:

View attachment 2800007

Washindwe na walegee.

Cc: imhotep, Elli, Rabbon na timu nzima ya wapambanaji.
Tupia na Ile picha ya kamanda Lisu aliposhambuliwa na police Nyamongo na kuchaniwa gwanda.

Kama Bado mtu hujajikana, Si Rahisi kuongoza wengine kupambania HAKI za wasio na sauti.

Mungu Yu pamoja nasi. Amen
 
Tatizo ni kuwa kuna wenye kutumia picha hizo kwa nia ovu:

"Kutia watu hofu."

Wapambanaji wanahitaji hamasa si vitisho.

"Ndipo vishindo vya wakoma vilipo watimua washami."
 
Tatizo ni kuwa kuna wenye kutumika picha hizo kutia watu hofu.

Si unaona lengo la mwandishi wa hiyo picha hapo?

Wapambanaji wanahitaji hamasa si vitisho.

"Hapo ndipo kishindo cha wakoma kilivyo watimua washami."
Mungu hupenda kuvitumia vinyonge Ili kujitwalia utukufu.

CHADEMA ikikubali kuingia uchaguzi bila Tume huru na Katiba mpya ni wasaliti.

Lisu ajiondoe ikibidi aungane na sauti ya Watanzania.

Together we can💪
 
Ni maneno ya hekima na busara sana kutoka kwake Tundu Antipas Lissu:

View attachment 2799876

"Kwamba watanzania si waoga bali hao wenye kuyasema hayo, ndiyo pekee walio waoga."

Kwamba watanzania wanahitaji kuhamasishwa na kuongozwa na watu wanaowaamini.

Kumbe ni wapi ambako wananchi huko, kuhamasishwa, au kuongozwa na wenye kuwaamini si muhimu? Ni Kenya, Afrika Kusini, Gambia au Guinea?

"Binadamu ni wale wale."

Maneno kuntu kabisa haya kutoka kwake mwana huyu, mzalendo halisi wa nchi hii.

"Mtanzania siyo mwoga."

Mwenye nchi, mwananchi.

Aluta continua!
Ukweli ndiyo huo
 
Mungu hupenda kuvitumia vinyonge Ili kujitwalia utukufu.

CHADEMA ikikubali kuingia uchaguzi bila Tume huru na Katiba mpya ni wasaliti.

Lisu ajiondoe ikibidi aungane na sauti ya Watanzania.

Together we can💪

Kutoka kwenye chama hapana. Sauti ya watanzania si chama ila yenye kukusanya wote wenye nia ya dhati.

"Hatutatoka vyamani ila tutaitika miito ya ukombozi kokote hata kama ni Gaza."

Zingatia:

Tutambuane: Wenye ujasiri au sababu za kuikabili CCM

Pia huyu mwamba:

CheHigh.jpg

Mzaliwa wa Argentina kapigana Guatemala, Congo, Cuba, Bolivia na kote alikowiwa.

FaizaFoxy, Zawadini na wenzetu wengine safari ya Gaza ikiwiva msiache kutualika.

Tutakuwapo pale mbele!
 
Back
Top Bottom