watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Watanzania tuwe wazalendo, hiki ndio kipindi cha kushikamana pamoja na kuonyesha umoja wetu

    Ndugu zangu natoa hii rai kwa wananchi wote wa Tanzania huu ndio wakati wa kuwa na mshikamano wa pamoja, nasema hivi sababu tayari ni dhahiri kuwa Corona virus yupo ndani ya jamii yetu. Kama kuna reported cases mpya 14 na zote ni zimetokea ndani ya nchi yetu basi ni wakati muafaka wa kuweka...
  2. "Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la hoja ngumu zinazoitwa abstract, na zinahusu kitu kinachoutwa psychoanalysis, mtanisamehe, sikijui Kiswahili cha abstract wala psychoanalysis, lakini inahusu kumsikiliza mtu kauli na kuibaini kama inatoka moyoni au mdomoni. Ili uweze kuibaini kauli ni ya kutoka moyoni...
  3. B

    Wito: Watanzania Tuwasaidie Wakenya

    Katika pita pita yangu mitandaoni, nimeona ndugu zetu, majirani zetu, watani zetu wa Kenya wana uhaba mkubwa wa chakula hasa nafaka. Nashauri, kwa kuwa sisi tuna chakula kingi na kwa kuwa kuna ugumu sana wa kupitisha mizigo kwenda Kenya na wao kufuata huku sababu ya janga la korona. Serikali...
  4. Ushauri kwa Serikali na Watanzania kuhusu uzalendo wa kweli

    Habari wakuu, leo nimeona si vibaya nikiwasilisha hoja zangu kwa watanzania na serikali kwa ujumla, kwanza kabisa ifahamike kuwa corona virus haikuja accidentally ilikuja kimkakati na nyuma ya huo mkakati kuna agenda mbaya sana ya kumtawala mwanadamu kidigitali, watanzania tunatakiwa kujuwa sisi...
  5. Mlipuko wa COVID19: Watanzania tujiandae kuonja joto ya jiwe kwa mataifa ya wenzetu, serikali yetu inaweza kuwa sehemu ya matatizo!

    Nimelazimika kuandika bandiko hili baada ya statements kadhaa zinazotoka kwenye mataifa mengine zikionyesha kuwa watanzania wamekuwa wakipita kuvuka mipaka na baadhi yao kwenda kuwa sasa ni chanzo cha matatizo ndani ya mataifa hayo. Ni jana tu mtendaji mkuu wa wizara ya afya ya Kenya alitoka na...
  6. Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona,wengine wanne wathibitishwa.Kifo kimoja chatangazwa

    The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 184 after five more patients tested positive for COVID-19. Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday said the new cases include three Kenyans and two foreigners. Three of the five patients had traveled from Tanzania while the other...
  7. J

    Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona. -- ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI) Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
  8. Naombea Ligii Kuu Ya Uingereza (EPL) Ifutwe Watanzania Tunusulike

    Kutoka na Hali mbaya ya Timu yetu sisi Watanzania katika Msimamo wa Ligi Kuu Uingeleza basi ninaombea sana Ligi hiyo Ifutwe ili kuinusuru Timu yetu sisi Watanzania tukiwakilishwa na Mwanetu Samatha Mbwana Timu ya Aston Villa. Kwani Timu hii ikishuka Daraja watanzania tutakosa uwakilishi...
  9. Chonde chonde Watanzania tuchukue tahadhari ya COVID 19 mikononi mwetu. Kumbe marehemu Idd alikuwa anafuatiliwa na Serikali na hakupatikana!

    Marehemu Idd nimethibitisha kuwa alikuwa akifuatiliwa na serikali kwa muda wa wiki mbili kwa kudaiwa kuonana na muathirika wa COVID 19 aliyetoka nje ya nchi. Cha ajabu marehemu alishindikana kupatikana mbali na kuwa alikuwa ndani ya jiji la Dar tena akifanya shughuli zake kama kawaida. Marehemu...
  10. Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

    Ndugai-"Hatuwezi 'tuka-paste' hatua za wazungu,tutaua watu" Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa na Mataifa mengine duniani ya kupambana na virusi vya corona kwa kuwa watu wengi nchini maisha yao ni ya...
  11. M

    Watanzania hatuwezi kuiga lockdown kama nchi za Ulaya

    Wana JF, Heshima kwenu wote Naona mitandaoni na baadhi ya wanasiasa wetu hapa bongo wakionekana kutamani nchi yetu iige kufanya lockdown kama walivyofanya Ulaya, Marekani na nchi nyingine tajiri zilizofanya hivyo. Ukweli ni kwamba hayo ni mawazo ya kipuuzi na ya kipunguani ambayo sijui mtu...
  12. Serikali ya Tanzania inawachukulia vipi watanzania ambao wana dharura kama kufiwa wanapotokea nje ya Tanzania?

    Suala la dharura mara nyingi huwa halikwepeki na hutokea wakati wowote ule. Ndo maana hata katika nchi ambazo zimedhurika kabisa na athari za ugonjwa wa Covid-19 zimechukua hatua kadhaa ambazo wananchi wanapaswa kuzifuata ili kujikinga na madhila ya gonjwa hili hatari linalosababishwa na kirusi...
  13. M

    Wakenya: Tunawashangaa Watanzania, Polisi wa Tanzania wanafanya zaidi ya hiki cha Polisi wa Kenya lakini huwa hawasemi

    Nikiwa hapa katika viunga vya jiji la Nairobi nimejaribu kupata maoni kutoka wa watu mbalimbali ambao nilitaka kufahamu kuhusu sakata la Polisi kupiga watu siku za hivi karibuni na jinsi suala Hilo lilivyoleta mtafaruku ndani na nje ya Kenya. Wengi wamesikitishwa na kitendo hicho ila wengi...
  14. B

    Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya METL unawanyonya watanzania wenzako

    Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Metl hivi Ni kwamba hufahamu Hali za watumishi wako hasa watanzania au n kwamba umeamua kufumbia macho unyonyaji unaofanywa kwao kwao,?? Inasikitisha Sana kwa kampuni yenye jina kubwa Kama hii na inauoheshimika Sana hapa Africa kutojali maslahi ya wafanyakazi...
  15. Sisi Watanzania ni wanafiki

    Hakika Watanzania sisi tuna unafiki wa hali ya juu mno sijawahi kuuona popote duniani. Wamepotea watu kimaajabu wanaokotwa Baharini na mitoni hatukuimba kwaya kulilia haya maovu. Kapotea Ben kimya Kapotea Azory kimya Kapotea kanguye kimya Akwilina kauwawa kimya Lisu chupuchupu kuuwawa kimya...
  16. J

    Wakati Watanzania tunabishana Trump asema " kusimamisha" kazi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko Corona yenyewe

    Nimemsikia Rais Trump wa USA kupitia BBC akisema uchumi wa nchi yake unatikisika na kusimamisha kazi na shughuli za kiuchumi kunaweza kuuwa watu wengi kuliko ugonjwa wenyewe wa Corona. Ngoja nirudie kusikiliza hotuba za viongozi wetu wakuu na ile ya KUB Mbowe aliyoitoa jana halafu nitarejea...
  17. K

    Tujiulize: Kwanini kila mwaka Watanzania hawana furaha?

    Je, ni Siasa mbaya, Maendeleo madogo, kukosa haki muhimu, ubinafsi, tofauti ya vipato. Pamoja na kujengewa barabara wanasiasa wanakimbia ukweli kwamba Watanzania hawanaraha na maisha yao. Hata Rwanda pamoja na Kagame kusema wanamaendeleo tatizo ni nini? Botswana nayo iko chini sana Mimi kwa...
  18. M

    Wako wapi Watanzania waliotibu kiasilia..?

    Mkoani Mara kulikuwa na wataalamu wa asili wa kuunga mifupa, Unyamwezini kwetu kulikuwa na dawa ya kichocho (kichocho kinaitwa "nkazya" na dawa yake ni mizizi ya mti ambao unapatikana Kandi ya mito - ni michungu hiyo, unatafuna mara moja tu na "nkazya" yote Keisha); nasikia uchagani kulikuwa na...
  19. Corona Virus: Rais Magufuli ahutubia Taifa - Machi 22, 2020 - Wagonjwa Tanzania wafikia 12

    Wakuu, Kwa taarifa nilizo nazo, ni kuwa muda si mrefu Rais Magufuli atalihutubia Taifa. Kama hii itatokea, itakuwa mara ya kwanza tangu aingie madarakani kuhutubia Taifa. Tutarajie nini? Stay tuned... ======= LIVE: VIDEO: Rais Magufuli anasema; => Baada ya kuibuka Ugonjwa wa Corona...
  20. Elimu nzuri sana ya namna ya kunawa mikono, ila je watanzania wangapi wanamudu au kufikiwa na mfumo huo wa maji na sabuni haina hiyo?

    Maelekezo ni mengi na mazuri kabisa, na yamekuwepo hata kabla ya Corona mpya kusumbua watu. Namna inayoonyeshwa kwenye video ni nzuri sana, ila je ni watanzania wangapi wanaweza kumudu mfumo huo wa maji? Au ni wangapi wamefikiwa na mfumo huo wa maji? Je, watanzania wangapi wanamudu aina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…