mwaitakotako mwaipumbuje
Member
- Mar 10, 2020
- 24
- 151
Wana JF, Heshima kwenu wote
Naona mitandaoni na baadhi ya wanasiasa wetu hapa bongo wakionekana kutamani nchi yetu iige kufanya lockdown kama walivyofanya Ulaya, Marekani na nchi nyingine tajiri zilizofanya hivyo. Ukweli ni kwamba hayo ni mawazo ya kipuuzi na ya kipunguani ambayo sijui mtu anakua na akili au matope kichwani mapaka kufikiria namna hiyo!!! Kuna yule mwanadada maarufu mitandaoni aishie Marekani, kila siku yeye anatabiri kuwa kama tusipofanya lockdown kama huko aliko Marekani basi tutaanza kuzikana 700 kwa siku.
Jamani hebu tutumie akili na kwa kweli hili nampongeza sana Rais wetu kwa kutopanick na kuanza kuiga ujinga kama huo. 85% ya Watanzania ni ili apate mlo na kipato ni lazima atoke, aende kibaruani au sokoni akauze vitu ndio apate kula yeye na familia, watu hao hakuna mwenye uwezo wa kuwa na akiba hata ya siku tatu za mbele, huyu unamwambia akae ndani na unaweka magari ya kuwasha washa akitoka unamwagia ili arudi ndani akafe njaa? Unamuepusha na Corona unamuua na njaa.
Takwimu zinaonesha mafua haya yanaua wazee wenye 65 years plus na watu wenye magonjwa mazito kama cancer,cronic kisukari and the like, hii kwa wazungu ndio magonjwa yao na wao aged people wa 50 years na kuendelea ndio wengi. Hivyo measures za kufungiana ulaya kwa zinafaa lakini kwetu huo ni upuuzi.
Leo anatokea kichaa mwanasiasa anatu compare na marekani kwamba mbona "marekani wamefanya lockdown sis tanzania tunashindwa nini" wakati marekani ina reserve ya kutosha kwa miaka kadhaa mbele...kumepitishwa economic stimulus package ya USD 2 TRILLION kusaidia kujikwamua na hii corona, hiyo hela sisi hatuwezi hata kuitamka maana haina jina tukiweka kwa madafu(TZS). Rwanda ,Uganda na Kenya wameiga upuuzi wanaishia kuwatesa wananchi wao tu. Nasema hivi, Tanzania hakuna lockdown na hatufi kama baadhi ya wapuuzi wanavyodhani