Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona,wengine wanne wathibitishwa.Kifo kimoja chatangazwa

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,545
1586439747354.png

The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 184 after five more patients tested positive for COVID-19.

Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday said the new cases include three Kenyans and two foreigners.

Three of the five patients had traveled from Tanzania while the other two arrived in the country from the UK and UAE respectively.

The CS further disclosed that four more patients had recovered from the disease bring the total number of recoveries in Kenya to 12.

At the same time, he revealed that one more patient had succumbed to the infection in Mombasa, raising to seven the number of patients who have succumbed to COVID-19 in Kenya.

CS Kagwe noted that three of the new cases are in Nairobi and two in Mombasa.

“Only one of these cases came from mandatory quarantine facilities while the other four were picked by our surveillance teams from contact tracing,” said Kagwe.

The five new patients who have tested positive — three males and two females — are aged between 39 and 77 years.

The Health Cabinet Secretary said contact tracing was ongoing, noting that a total of 2,046 persons had been monitored, out of which 1,448 had been discharged with 598 on follow up
 
Kasi ya kupima inaendelea, wanasakwa wote waliowahi kukutana au kuhusiana na waathirika wa sasa, maana inafahamika mmoja akiathrika, kila atakochogusa anatema mbegu, na kila atakayegusana naye anaathirka pia na huyo naye ataambukiza huko mbele na huko mbele wataambukizana, hivyo ni mwendo wa kufukuzia.
Cha msingi tupime kwa wingi na kuendelea kuchukua tahadhari.
Kenya confirms five more Covid-19 cases, total rises to 184
 
Only one country or two in EAC nadhan ndo zipo serious na hii situation... wengine tuchape kazi maisha yaendelee...😁✊🏿🚶🚶
 
Duh! Kule Tanzania japo ndugu zetu wapo kimya lakini sijui inakuaje watu wanatuibukia na virusi wakitokea huko, leo tena kuna taarifa za Mkenya aliyetokea huko amepimwa na kubainika kakibeba mazima mazima kutoka huko na kuja nacho hivi hivi....
=======================

Out of the five three are Kenyans while two are foreign nationals. Three of them had travelled; one each from Tanzania, UK and UAE.

The CS announced the government has closed some quarantine facilities such as trademark hotels.

Kenya confirms five more Covid-19 cases, total rises to 184
 
Only one country or two in EAC nadhan ndo zipo serious na hii situation... wengine tuchape kazi maisha yaendelee...😁✊🏿🚶🚶

Leo pia kuna Mkenya ametokea Tanzania amesheheni kirusi, huko mtakua mnaogelea kwa hiki kitu sema uzuri ni kwamba kwa Waafrika (hasw mataifa maskini yaliyozoea tabu) hakionekani kuwa balaa sana. Leo Gwajima amesema kwa Tanzania msiogope sana maana mumezoea umaskini, hivyo hiki kirusi hakitakua issue kubwa sana kwenu.

Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona - JamiiForums
 
Watanzania tumeshindwa kujisimamia sasa tunaenda kwa wenzetu kusababisha majanga?
Kenya leo imesema raia watatu kutoka Tanzania ni miongoni mwa raia watano waliokutwa na maambukizi ya COVID 19 hivi leo. Ingawa raia hao ni wakonta, lakini tungefunga mipaka tungeepusha matatizo ya kuongezeana maambukizi kama hivi.

Kwa dhati kabisa naungana na serikali ya Kenya katika hili na pengine tuanze kuchukua hatua kwa kuwa serious.

Haiwezekani wenzetu wajiweke ndani kwa muda ili wamalize tatizo lao kisha warudi kuendelea na shughuli zao halafu sisi tulio "Take easy and let it go as usual" kwenda huko kwao na kuwaongezea matatizo. Nasema haiwezekani! Pia huu ni mwendelezo wa uthibitisho kuwa hapa kwetu tuna uzembe wa hali ya juu kwa hili swala.
 
Leo pia kuna Mkenya ametokea Tanzania amesheheni kirusi, huko mtakua mnaogelea kwa hiki kitu sema uzuri ni kwamba kwa Waafrika (hasw mataifa maskini yaliyozoea tabu) hakionekani kuwa balaa sana. Leo Gwajima amesema kwa Tanzania msiogope sana maana mumezoea umaskini, hivyo hiki kirusi hakitakua issue kubwa sana kwenu.

Mkenya aliyesafiri kutokea Tanzania akutwa na Corona - JamiiForums
Kenya nakumbuka kama wameshafunga mipaka hivi! ! Sa sijaelewa !?🤔
 
Mkenya anayerudi kwao hafungiwi mpaka, sema lazima akubali kukaa karantini siku 14, sasa huyo kaibuka kutoka Tanzania amesheheni kirusi.
 
Ivi haiwezekani uyu anayesababisha matatizo kwa nchi jirani akashitakiwa the hague??
Nadhan kumuambukiza mwenzio kwa uzembe wako au makusudi ni kosa na ni muda muafaka jiwe apelekwe kwa court
Watanzania tumeshindwa kujisimamia sasa tunaenda kwa wenzetu kusababisha majanga?
Kenya leo imesema raia watatu kutoka Tanzania ni miongoni mwa raia watano waliokutwa na maambukizi ya COVID 19 hivi leo.

Kwa dhati kabisa naungana na serikali ya Kenya katika hili na pengine tuanze kuchukua hatua kwa kuwa serious.

Haiwezekani wenzetu wajiweke ndani kwa muda ili wamalize tatizo lao kisha warudi kuendelea na shughuli zao halafu sisi tulio "Take easy and let it go as usual" kwenda huko kwao na kuwaongezea matatizo. Nasema haiwezekani! Pia huu ni mwendelezo wa uthibitisho kuwa hapa kwetu tuna uzembe wa hali ya juu kwa hili swala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasi ya kupima inaendelea, wanasakwa wote waliowahi kukutana au kuhusiana na waathirika wa sasa, maana inafahamika mmoja akiathrika, kila atakochogusa anatema mbegu, na kila atakayegusana naye anaathirka pia na huyo naye ataambukiza huko mbele na huko mbele wataambukizana, hivyo ni mwendo wa kufukuzia.
Cha msingi tupime kwa wingi na kuendelea kuchukua tahadhari.
Kenya confirms five more Covid-19 cases, total rises to 184
Sio kasi ya kupima tu useme na kasi ya maambikizi pia inaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Lazima iwe Tanzania Kuna Jambo wanaligicua kuhusu Corona. Ni muda tu yawekwe wazi.
 
Marekani mpaka leo kamapima kwa wingi na bado anaongoza kwa maambukiz na vifo ,kupima Sana kifipi haina mantiki maana marekani kapima weee mpaka leo bado anateseka

Back
Top Bottom