Kwanini watanzania wakienda nchi zilizoendelea hupiga picha maeneo ya kuvutia tu na si vingine

Mchimwachimego

JF-Expert Member
Jun 15, 2020
358
271
Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, tokea nimezaliwa nimekuwa nikisikia juu neno maendeleo hasa zikizungumziwa Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za mashariki, lakini imekuja kunigusa tena kwenye kampeni za uchaguzi ambapo watu wanabishana kipi kianze sasa nikajiuliza mbona inafahamika wazi kuwa watu waliunda vitu ili viwasaidie hivyo vitu ni msaada mkubwa kwa watu lakini ifahamike Mungu muumba alianza na vitu akaja Akamaliza na watu lakini pia kiutawala wa kidunia mwanadamu hawezi kumuumba mwanadamu ila anaweza kuunda vitu vimsaidie kutatua changamoto.

Hivyo basi mwanadamu ili aone kuwa kiongozi wake anawapenda lazima alete maendeleo ya vitu ambavyo katika utekelezaji wake au baada ya kukamilika unaleta ajira ambazo zinaenda kugusa maendeleo ya watu japo naamini kuna jamii zinaitaji kupewa pesa mkononi moja kwa moja kama wazee, masikini nk, asanteni.
 
Watanielewaje Kama na Mimi nimefika Norway au Denmark?
Vipicha kidogo.
 
tunajenga hasira kwa wale ambao bado hawajafika si hivyo tu na ikawe changamoto kwa serikali katika maendeleo
 
Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, tokea nimezaliwa nimekuwa nikisikia juu neno maendeleo hasa zikizungumziwa Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za mashariki, lakini imekuja kunigusa tena kwenye kampeni za uchaguzi ambapo watu wanabishana kipi kianze sasa nikajiuliza mbona inafahamika wazi kuwa watu waliunda vitu ili viwasaidie hivyo vitu ni msaada mkubwa kwa watu lakini ifahamike Mungu muumba alianza na vitu akaja Akamaliza na watu lakini pia kiutawala wa kidunia mwanadamu hawezi kumuumba mwanadamu ila anaweza kuunda vitu vimsaidie kutatua changamoto.

Hivyo basi mwanadamu ili aone kuwa kiongozi wake anawapenda lazima alete maendeleo ya vitu ambavyo katika utekelezaji wake au baada ya kukamilika unaleta ajira ambazo zinaenda kugusa maendeleo ya watu japo naamini kuna jamii zinaitaji kupewa pesa mkononi moja kwa moja kama wazee, masikini nk, asanteni.
Picha hapo chini ni nyumba za wakala Hoi na mtaa walala Hoi skendinevia
bead869590f1ede4dc4d9807795f3c3ade05433f.jpg
0af25bc5e0869a9145431e3f64ec3a0ea6a11ccd.jpg
27d465f7b6b556bde502e9c27590299b74a119e6.jpg
5fc4c747952edc410b11dfd317d5187d6912e398.jpg
51a67d79bcff3d8e60f69ab8c100cea53430975e.jpg
 
Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, tokea nimezaliwa nimekuwa nikisikia juu neno maendeleo hasa zikizungumziwa Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za mashariki, lakini imekuja kunigusa tena kwenye kampeni za uchaguzi ambapo watu wanabishana kipi kianze sasa nikajiuliza mbona inafahamika wazi kuwa watu waliunda vitu ili viwasaidie hivyo vitu ni msaada mkubwa kwa watu lakini ifahamike Mungu muumba alianza na vitu akaja Akamaliza na watu lakini pia kiutawala wa kidunia mwanadamu hawezi kumuumba mwanadamu ila anaweza kuunda vitu vimsaidie kutatua changamoto.

Hivyo basi mwanadamu ili aone kuwa kiongozi wake anawapenda lazima alete maendeleo ya vitu ambavyo katika utekelezaji wake au baada ya kukamilika unaleta ajira ambazo zinaenda kugusa maendeleo ya watu japo naamini kuna jamii zinaitaji kupewa pesa mkononi moja kwa moja kama wazee, masikini nk, asanteni.
Ni washamba Kama washamba wengine
 
Huna akili inabidi uolewe
 
Wewe mwenyewe picha zako hapa Tanzania unapigia kwenye majengo mazuri.

Nani anapenda shida mkuu?
 
Bado mtoto wewe. Sasa akapigie picha choo cha shimo?

kwanza shukuru wanakutia moyo nawe uende.
Ulaya kote kuzuri.

wachunga ngombe kule wanatumia waya wa umeme na mipikipiki ya matairi manne.au four wheel pick ups.
huku kwenu eti mnatanulia.

Kukamua ni ngombe mwenyewe anaifuata mashine ya kukamua

Hujawahi fika nini? Ndivo kulivo hujafika siku ukifika hata south utajiona mjinga sana
 
Back
Top Bottom