wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Softwares za Laptop tusaidiane

    Habari wana jamvi, Mimi natumia Microsoft Office 2016 kwa sababu ya shida. Pia ni mpenzi wa kutumia Outlook kwenye mambo yangu binafsi. Ni mwezi sasa nimesitishiwa huduma ya login to Outlook mail kwa sababu nisizozifahamu. Kila nikijaribu nakutana na mambo yafuatayo 1. Disconnected 2. Outlook...
  2. JamiiForums Tanzania Changamoto nyingine kwa wazoefu na wataalamu kuhusu Binti yangu

    Binti yangu ana mwaka na miezi takribani miwili sasa yupo kakaa tu HATAMBAI... Ukimlaza atajigeuza geuza tu... Na hata ukimkaliza kwenye kochi anaweza kushuka na kuishia kusimamia tu miguu kwenye kochi... Anasimamia tu watu au vitu ila hatambai ukimlaza chini au ukimkaliza. Changamoto...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna tatizo la wataalamu

    Ukiongea na wananchi wa kawaida wana lalamika kuna wasomi wengi sana hawana kazi. Ukiongea na wataalamu wanalalamika hakuna watu wa kutosha wenye ujuzi na taaluma za kazi. Kuna Mtanzania Dr Mushi alifanya PHD yake kwenye hili na link ya kitabu chake iko hapo. Je ni kweli kuna tatizo la...
  4. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo semeni ukweli kuhusu GMO

    Binafsi naungana na Huyu jamaa. 1. Mbegu za asili zimepotea. 2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu. 3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo. 4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu. 5. GMO zinashambuliwa sana na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mifugo, Msaada tafadhali

    Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days (injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya ndege Bukoba: Nashangaa mpaka sasa si waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa kupata maoni ya wataalamu wa hali ya hewa

    Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba wataalamu wa Nyimbo za zamani mnitajie list, nataka nimuekee nyimbo Mzee wangu kwenye Flash

    Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo . Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
  8. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa hesabu okoeni jahazi

    Zawadi ya bando Kwa atakayekuwa wa kwanza kusolve
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uto wataalamu wa kucheza nje ya uwanja: Ujanja wa hapa hapa, kimataifa majanga!

    Bahasha zilizoenda shule, kwa nini usishinde mfululizo?
  10. JamiiForums Tanzania Idara za Uokoaji na Zimamoto hazina vifaa, wataalamu au zinapuuza majanga?

    Mdau wa JamiiForums.com anasema kila kunapotokea Janga hasa la Moto taarifa pekee inayotoka ni Moto kuzimwa ukiwa umeteketeza kila kitu au kubakiza sehemu ndogo sana. Anatolea mfano kuungua kwa Shule, Masoko, Mlima Kilimanjaro uliowaka kwa zaidi ya wiki 2 ambapo anahoji tatizo ni Idara kukosa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kuhusu wanaojiita wataalam tiba

    Naomba na mimi leo nitoe uzoefu wangu kuhusu hawa wanaojiita wataalamu tiba za asili. Nilipatwa na changamoto mwaka huu mwanzoni mtoto wangu binti wa kike yupo kidato cha tatu alipatwa na hali isiyo kawaida. Alikuwa anasoma Boarding darasani akawa analala tu na anaweza kulala masaa24 bila kuamka...
  12. JamiiForums Tanzania Wataalamu waonya upasuaji usio wa lazima kwa wajawazito

    Katika siku za hivi karibuni kujifungua kwa upasuaji kumeonekana kama ‘fasheni’, kwani kuna idadi ya wanawake wengi wanaofika hospitali kuomba kupatiwa huduma hiyo bila sababu za kitaalamu. Wataalamu wa afya wametaja sababu tatu za wanawake kuomba kujifungua kwa upasuaji, ikiwemo ile ya...
  13. JamiiForums Tanzania Wataalamu na masuala ya teknolojia naombeni msaada wenu

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...
  14. JamiiForums Tanzania Saratani ya Uvimbe Tumbo kwa watoto

    Mjadala unaendelea muda huu kwenye Twitter Spaces ya JamiiForums Septemba 29,2022. Unaweza kusikiliza kupitia kiunganishi hiki hapa >>> JF SPACES Dr. Shakilu Jumanne Tunachoongelea hapa ni uvimbe unaotokea tumboni. Ni magroup ya magonjwa kadhaa yanayo sababisha saratani tumboni. Dr...
  15. JamiiForums Tanzania Haya ni mawe gani?

    Wataalamu wa hizi kazi naomba msaada?
  16. JamiiForums Tanzania Hii meseji ina maana gani wadau wa JF?

    Nimetumiwa hii message ya trophy point cjui award sasa nauliza kwa wataalam humu ni nn na ina maana gani kwa mtumijaji wa jf?
  17. JamiiForums Tanzania Written Interview inavyopukutisha wataalamu

    Kutokana na ukosefu wa ajira na wingi wa wasomi, imepelekea kua na mlundikano mkubwa wa wahitaji wa kazi kuliko uhitaji. Mathalani kada moja unaweza kuta nafasi moja lakini kuna waombaji zaidi ya 100. Hapa changamoto inapoanza huwezi kuongea na watu 100. Hivyo kuna haja ya kuwachuja ubakiwe na...
  18. JamiiForums Tanzania Iran inakosa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi wanaiogopa Israel

    Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science. Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo wamekuwa wakiuawa.
  19. I

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Miti na Vyanzo vya maji nawaomba hapa

    JF isiwe ya stori tu jamani, tuje hapa kwenye majadiliano ya muhimu. Naulizia aina ya miti ambayo inakua kwa haraka huku pia inasaidia kutunza vyanzo vya maji kama chemchemi na visima. Tafadhali kama unafahamu niwekee hapo chini.
  20. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa IST naomba calculations hapa

    IST inatumia mafuta kiasi gani kwa safari ya kutoka Arusha Mpaka Marangu? Kwa google map ni takribani km 119. Kwahiyo kwenda na kurudi ni km 238+. Je hapo zinahitajika lita ngapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…