wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Sayansi tujuzeni hili

    Kuna radi kali sana imemulika hapa mjini Morogoro muda huu, ikafuatiwa na mlio mkali wenye kushitua kama bomu, sauti hiyo kali imetikisa madirisha makabati nk. Swali: Mawimbi ya sauti yanawezaje kusababisha vibrations kali kiasi hicho cha vioo kujibamiza?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wanisaidie gharama ya vifaa vifuatavyo vya ujenzi

    Mbao ndefu futi 20. 2 X 4 = 150Pcs 2 X 2 = 130Pcs 1 X 8 = 18Pcs 1 x 10 = 12Pcs BATI = 130 Pcs upana 87 cm (ALAF gage 28 au 30) Kofia = 30 Valley 15 Misumari ya nnchi 4 = 50kg misumari ya nnchi 2.5 = 4kg Misumaru ya Bati =30 packet kenchi wire = 6
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa UN: Korea Kaskazini yaiba mamilioni ya dola kupitia udukuzi mitandaoni

    Wataalam wa Umoja wa Mataifa wamesema kwenye ripoti yao kwamba Korea ya Kaskazini inaendelea kuiba mamilioni ya dola kutoka katika taasisi za kifedha na makampuni yanayojihusisha na sarafu za mitandao na ubadilishanaji fedha. Wataalamu hao waliowanukuu wataalamu wa masuala ya mitandao kwenye...
  4. pharao

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa madini, naweza kununua haya mawe kwa shilingi ngapi na kupata faida?

    Wadau wanaojua vizuri mawe naombeni Msaada wa makadilio haya mawe naweza kununua kwa wastani wa bei gani ili nikapate faida sokoni.
Back
Top Bottom