wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunahitaji kuajiri wataalamu wa uhifadhi wa jamii, ili kuinusuru mifuko ya hifadhi ya jamii kufa?

    - Kifupi Bachelor of science in social protection ( Shahada ya Sayansi katika Uhifadhi Wa Jamii ): ni course inayo tolewa na Vyuo viwili Tanzania ECASSA institute of social protection Wakitoa elimu hii ngazi ya Astashahada na stashahada, na INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT wakitoa elimu hii ngazi...
  2. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Wataalamu niliowahi kuwasikia Tanzania

    Uchumi: Marehemu Dr Mgimwa huyu ndio mchumi pekee ambae alikuwa very analytical kwa mazingira yetu on how to apply theories to fit our environment and propel growth. Bahati mbaya hiyo speech yake iliyonigusa siioni tena YouTube. Banking: Dr Kimei amebobea kwenye finance (you do know banks sell...
  3. Zero Star

    JamiiForums Tanzania Je, mtu anaofuta usajili, records zinabaki kuwa laini ilitumika na mtu fulani?

    Yaani mfano… Mtu akisajili laini then akaamu KUFUTA usajili. Je, records zinabaki kwamba hii laini ilitumika na mtu fulani kusajiliwa au?
  4. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Imani na maadili

    Naamini ukikatazwa dhambi fulani, consequently utakatazwa kushiriki matunda ya dhambi hiyo. Mfano kama wizi ni dhambi, kushiriki manufaa ya mali ya wizi ni dhambi pia. Sasa swali ni: Kama kunywa pombe ni dhambi, kwa nini uenjoy benefits zake, kama udhamini, miradi inayotokana kodi za...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa computer, nina documents nyingi sana katika laptop, namna gani naweza kuzipanga iwe rahisi kuzipata in a friendly way!

    Nina thousands of documents, nyingine hata kuzipata ni kazi japo za muhimu. Kuna namna naweza kufanya? Au Kuna application inaweza kusaidia? Naiingizaje hiyo application? Any one with experience ?
  6. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Softwares za Laptop tusaidiane

    Habari wana jamvi, Mimi natumia Microsoft Office 2016 kwa sababu ya shida. Pia ni mpenzi wa kutumia Outlook kwenye mambo yangu binafsi. Ni mwezi sasa nimesitishiwa huduma ya login to Outlook mail kwa sababu nisizozifahamu. Kila nikijaribu nakutana na mambo yafuatayo 1. Disconnected 2. Outlook...
  7. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Changamoto nyingine kwa wazoefu na wataalamu kuhusu Binti yangu

    Binti yangu ana mwaka na miezi takribani miwili sasa yupo kakaa tu HATAMBAI... Ukimlaza atajigeuza geuza tu... Na hata ukimkaliza kwenye kochi anaweza kushuka na kuishia kusimamia tu miguu kwenye kochi... Anasimamia tu watu au vitu ila hatambai ukimlaza chini au ukimkaliza. Changamoto...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna tatizo la wataalamu

    Ukiongea na wananchi wa kawaida wana lalamika kuna wasomi wengi sana hawana kazi. Ukiongea na wataalamu wanalalamika hakuna watu wa kutosha wenye ujuzi na taaluma za kazi. Kuna Mtanzania Dr Mushi alifanya PHD yake kwenye hili na link ya kitabu chake iko hapo. Je ni kweli kuna tatizo la...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo semeni ukweli kuhusu GMO

    Binafsi naungana na Huyu jamaa. 1. Mbegu za asili zimepotea. 2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu. 3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo. 4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu. 5. GMO zinashambuliwa sana na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mifugo, Msaada tafadhali

    Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days (injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya ndege Bukoba: Nashangaa mpaka sasa si waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa kupata maoni ya wataalamu wa hali ya hewa

    Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba wataalamu wa Nyimbo za zamani mnitajie list, nataka nimuekee nyimbo Mzee wangu kwenye Flash

    Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo . Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
  13. Mjasiri na Mali

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa hesabu okoeni jahazi

    Zawadi ya bando Kwa atakayekuwa wa kwanza kusolve
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uto wataalamu wa kucheza nje ya uwanja: Ujanja wa hapa hapa, kimataifa majanga!

    Bahasha zilizoenda shule, kwa nini usishinde mfululizo?
  15. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Idara za Uokoaji na Zimamoto hazina vifaa, wataalamu au zinapuuza majanga?

    Mdau wa JamiiForums.com anasema kila kunapotokea Janga hasa la Moto taarifa pekee inayotoka ni Moto kuzimwa ukiwa umeteketeza kila kitu au kubakiza sehemu ndogo sana. Anatolea mfano kuungua kwa Shule, Masoko, Mlima Kilimanjaro uliowaka kwa zaidi ya wiki 2 ambapo anahoji tatizo ni Idara kukosa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kuhusu wanaojiita wataalam tiba

    Naomba na mimi leo nitoe uzoefu wangu kuhusu hawa wanaojiita wataalamu tiba za asili. Nilipatwa na changamoto mwaka huu mwanzoni mtoto wangu binti wa kike yupo kidato cha tatu alipatwa na hali isiyo kawaida. Alikuwa anasoma Boarding darasani akawa analala tu na anaweza kulala masaa24 bila kuamka...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wataalamu waonya upasuaji usio wa lazima kwa wajawazito

    Katika siku za hivi karibuni kujifungua kwa upasuaji kumeonekana kama ‘fasheni’, kwani kuna idadi ya wanawake wengi wanaofika hospitali kuomba kupatiwa huduma hiyo bila sababu za kitaalamu. Wataalamu wa afya wametaja sababu tatu za wanawake kuomba kujifungua kwa upasuaji, ikiwemo ile ya...
  18. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Wataalamu na masuala ya teknolojia naombeni msaada wenu

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Saratani ya Uvimbe Tumbo kwa watoto

    Mjadala unaendelea muda huu kwenye Twitter Spaces ya JamiiForums Septemba 29,2022. Unaweza kusikiliza kupitia kiunganishi hiki hapa >>> JF SPACES Dr. Shakilu Jumanne Tunachoongelea hapa ni uvimbe unaotokea tumboni. Ni magroup ya magonjwa kadhaa yanayo sababisha saratani tumboni. Dr...
  20. chlorine gas

    JamiiForums Tanzania Haya ni mawe gani?

    Wataalamu wa hizi kazi naomba msaada?
Back
Top Bottom