wasomi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkono akiagwa na Wasomi na Watu wa Kawaida Leaders Club tutaishukuru Familia yake

    Ni ukweli usiopingika kuwa 60% ya wasomi wa miaka ya karibuni walifanikiwa kusoma kwa juhudi za Marehemu Mzee Mkono alipokuwa Mkuu wa Bodi ya Mikopo ambaye binafsi alihakikisha hakuna mtoto wa masikini hasomi na ndiyo maana kuna muda aliweza hata kutoa pesa zake mfukoni ili wanafunzi walipwe na...
  2. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa Watanzania wengi wanajifanya Wasomi

    Sipo hapa kuponda binadamu mwenzangu kwa kuwa me najifunza na kuhoji ili nizidi kupata Maarifa, Elimu, inamapana yake kwahiyo hata kama uko na Elimu.. uko na Elimu kuhusu issue fulani ila sio kila kitu Duniani _Ndo maana mwenyezi Mungu kila mja wake kamfanya awe na kipaji chake au kalama yake...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wasomi wetu wanaisaliti nchi au CCM inawatumia wasomi wetu kuifilisi nchi?

    Tangu enzi za wizi wa Tangold na Meremeta, wizi wa fedha za Tegeta - Escrow na hata sasa wizi unaonekana kwenye Ripoti ya CAG, kila hatu ya wizi huo wahusika wakuu huwa ni wasomi wabobevu wa fani mbali mbali. Swali linaloibuka ni kwamba wasomi wetu wanaisaliti nchi kwa kushindwa kutumia elimu...
  4. Vien

    JamiiForums Tanzania Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

    Happy Easter to everyone, Nimeguswa ku share haya machache kuhusu hili kundi kubwa la watu (Wasomi) ambalo ndo linaongoza kulalamika huku mitandaoni kuwa maisha magumu na wengine wakienda mbali zaidi kuwa serikali yetu haiwajali. Nimefuatilia kwa ukaribu wasomi wengi, kitu kinachowakwamisha ni...
  5. Barugize

    JamiiForums Tanzania Natamani kujua kinachosababisha umasikini kwa vijana wasomi

    Habari za Muda huu wana JamiiForums. Mimi ni kijana mjasiliamali kwa muda wa mika 10, kuna mambo huwa najiuliza kila siku nikiwa peke yangu sasa leo nimona ni changie na wana JamiiForums wenzangu. Suala la Umasikini na Utajiri. Kwanini vijana wengi hususani Wasomi ndio wanao hangaika sana...
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wasomi mnatukera, kuoa muoe nyie pesa tuchange sisi!

    Kuna mambo yanakera na kuchukiza, hebu fikiri yaani mtu unaungwa kwenye group la Whatsapp bila taarifa, ukifuatilia purpose la group unaambiwa group la bwana nani eti kwa lengo la kuchangisha michango kwa ajili ya harusi x. Yaani inakera na kuchukiza, nyie wasomi wa kibongo hii nchi sasa si ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wasomi mnapoamua kujiajiri onesheni utofauti

    Habari Wa Jamii, Naomba Tutoa Rai Kwa Wasomi Wetu Wale Walioamua Kujiajiri Kwa Kupenda Au Wale Wenzangu Na Mimi Kwa Sababu Ya Chamgamoto Ya Ajira. Tunapofanya Biashara Ndogo Au Kubwa Tujaribu Kuonyesha Utofauti Kwanza. Huduma kwa wateja Ziwe Nzuri Sitegemei Kuona Msosi Analeta Stresi za Ajira...
  8. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nyie wasomi hebu jaribuni kuwaza nje ya box,tumechoka vizinga vyenu

    Yaani just imagine mie darasa la saba B nasumbuliwa na hii mijitu inayojiita wasomi kila kila leo wakinipiga mizinga ya pesa mara Shangazi amemeza kiti,mara mke wangu anataka Dela aisee chefuu inakera sana! Sasa nasema hivi nyie wasomi acheni kunisumbua dadeki nyie si mnahisi kusoma ni...
  9. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Thread kwa wasomi wa JamiiForums acheni dharau

    Ubora wa elimu yako ni kile ulichosoma na kukielewa mwisho kukitendea kazi. we umesoma afu uko unadhurura na vyeti maofisi ya watu miaka nenda miaka rudi leo hii mnamtusi kijana aliyeishia darasa la saba 🤔 Mtu kuishia darasa la saba/form 4 sio kwamba akuwa vizuri kiuelewa hapa zipo changamoto...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Trend ya single mothers wasomi kuwa na mtoto moja pekee, ni athari gani mtoto hupata akiwa hana kaka, dada ama mdogo wake.

    Na hii nimeifanyia research kutoka kwa mabinti wengi waliohitimu chuo, wapo wengi wana mtoto moja tu huku baba akiwa hayupo aidha kwa ndoa kuvunjika (ni kawaida kwa mabinti wasomi) ama walizaa kabla ya ndoa baba kala kona. ni effects zipi mtoto anapata akiwa hana dada kaka wala mdogo wake ?
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nchi inabidi kuongozwa na mifumo thabiti na imara na si matamko ya wanasiasa. Wasomi tulisaidie Taifa

    Tumefika hapa tulipo kwa sababu hatuna mifumo ya kuongoza nchi. Inashangaza kuona anatokea mtu mmoja mjinga anavunja katiba ya nchi na bado anaendelea kuwa kiongozi. Hatuwezi kupiga hatua kama Taifa liashindwa kuwa na mfumo sahihi. Wasomi hakikisheni mnalikomboa Taifa kila kitu kinabi kuwa...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kuhusu Katiba Mpya sisi wasomi tupo tayari kukusaidia kazi ili tupate Katiba nzuri na bora

    Mama naomba uandae fungu zuri ili sisi wasomi tukusaidie Kazi maana tutayatafta makundi yote na kuyapa Elimu na kuchukua maoni ya kila Mtu. Wala usipate shida Mama wewe andaa fungu la kutosha tu Mambo mengine tuachieni sisi wasomi. Huu ndo Muda sahihi wa kulikomboa Taifa letu kupitia Elimu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chongolo ni ufedhuli kwa wasomi wa vyuo vikuu. Ipingwe!

    Chongolo amewataka wasomi wa vyuo vikuu kwenda veta ili wakapate uwezo wa kujiajiri. Kauli hii inatoa tafsiri hasi nyingi sana dhidi ya wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vikuu vyenyewe. Mosi, inatoa tafsiri kwamba elimu ya vyuo vikuu ni dhaifu ukilinganisha na ile ya veta. Kama hivi ndivyo. Je...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je! Tanzania tunahitaji wasomi wengi au Hustler wengi?

    Tatizo la Afrika kwa mawazo yangu sio kutokuwa na wasomi wa kutosha bali tuna matatizo makubwa matatu 1. Kutokuwa ma maarifa 2. Utamaduni wa kupuuza -Sheria, wezi, rushwa.... 3. Ubinafsi- Mfano Rushwa Wasomi wetu wengi ambao ndiyo viongozi wamekuwa wabinafsi kiasi kwamba wanaweka upendeleo kwa...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tujiulize uchawi, ramli na mazindiko vina nafasi gani kwenye siass za Tanzania? Je wasomi hawaamini taaluma zao?

    Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu. Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa kificho au kwa uwazi kabisa. Wamejenga mazoea ya kutumia watu wanaoitwa waganga wa kienyejj ili...
  16. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

    1. Sheria ya ndoa inamtwika mwanaume Jukumu lote la ustawi wa uchumi wa familia. Mwanamke akifanya kazi yenye mshahara mkubwa na akagoma kuhudumia familia, Sheria inamlinda. Kwahiyo hakuna haja ya kuoa mwanamke msomi ambaye usomi wake na mshahara wake hauna matokeo yanayopimika katika ndoa. 2...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye habari kamili kuhusu tukio la 'The Battle of Manzese' atuelezee

    Wakuu Habari zenu? Nimeona mahali jamaa akizungumzia kuhusu hili tukio lililopewa jina la Battle of Manzese. Alidai kwamba kuna wasomi walitaka kuliamsha balaa, ambalo lilitokana na kuwatetea wananchi masikini. Lakini badala yake wananchi wakakimbia, wakawaachia msala wasomi wa vyuo vikuu...
  18. system hacker

    JamiiForums Tanzania Serikali iimarishe vyama (associations) za wasomi ili wasaidie katika ku address maoni na ushauri katika masuala mbalimbali ya Kitaifa

    Tuache siasa kwa kila kitu. Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu. Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

    Maisha yamekuwa magumu. Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna. Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao. Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini huko Ughaibuni kama Marekani na Uingereza wasomi (Maprofesa na Madaktari) hawashoboki na siasa?

    Wakuu nimejaribu kufuatilia huko mambele nimegundua wasomi wakubwa hawajitokezi sana directly kupambania madaraka kama huku kwetu gizani Africa. Huko kwa mabeberu wasomi wakubwa wako huru sana (autonomy) kutoa ushauri hata kukosoa huku kwetu wasomi wanatoka jalalani wengine ni chawa promax...
Back
Top Bottom