wasomi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu wa Pwani

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbunge Musukuma anapenda kuwadharau wasomi wetu?

    Nimesikiliza kwa makini wakati mbunge Musukuma akichangia leo bungeni, moja alikua akichangia kuhusu bajeti na kuwaita wataalamu wetu wa uchumi kua wataaalamu uchwara, hasa akitetea kuhusu wamachinga na kuondolewa barabarani hasa Kariakoo. Hali iliopelekea Naibu Spika kumtaka aondoe neno hilo...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Endapo Serikali itawapa kipaumbele cha ajira Walimu wanaojitolea, madhara haya yanaweza kutokea

    Waalimu ambao hamjaajiriwa Pole nyingi ziwafikie,mimi kama mdau wenu niliyewahi kuwa mhanga kwa miaka 4 na tangu 2015-2019*tushare mawazo kidogo👇 Endapo serikali itakuwa serious kuweka kigezo cha kujitolea kuwa ndicho kigezo kukuu cha kuajiri waalimu madhara yafuatayo yatajitokeza. 1. vijana...
  3. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wasomi wa Tanzania wanaamini kuajiriwa ni Serikalini tu?

    Kuna tatizo sana kwa watanzania wasomi kuamini kuaijiriwa mpaka upate kazi serikalini. Hii mindset tunaweza kuiondoaje kwa wasomi? Mfano hai ni kwenye hizi ajira za walimu na wafanyakazi afya idadi kubwa imejitokeza kuomba ajira hizo na kupelekea kuonesha kuwa hapa Tanzania kuna tatizo kubwa la...
  4. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika hujengwa na Waliofeli shule ila wasomi huibuka tegemezi?

    Kama kawaida kabla hatujaanza chochote, tutumie sekunde chache kumshukuru Mwenye enzi Mungu kwa kutupa kibali tena. Pia nikushukuru ndugu msomaji unaeambatana nami katika makala yangu hii na mengine mengii yatakayo kuja mbeleni.. Naanza hivi... kabla ya kuandaa makala yangu narudi miaka ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wasomi walioeneza propaganda za mabeberu. Je, Ubeberu umekwisha?

    Kuna wasomi walitumia miaka mitano kuwatukana na kuwadhalilisha watu wenye upeo mpana na waliotuzidi maendeleo kwa kuwaita mabeberu. Wasomi hawa walifika wakati wanatuaminisha hata mtanzania mzalendo anayewaza sahihi kuhusu nchi hii anatumiwa na mabeberu. Kauli mbiu ya mabeberu iliwajaa watu...
  6. Wazo la kabwela

    JamiiForums Tanzania Wasomi wetu na mustakabali wa Tanzania yetu ya baadaye

    Maisha yalibadilika, wasomi (wetu) wakaanza kuziona thamani zao katika ombwe la utupu. Walishindwa kuthamini hata vyungu vilivyowapika wakajiona wameiva. Wengine waliamua kujiita wamepikwa matopeni. Lakini kubwa ni kwamba tuna falsafa. Itikadi ambazo zinafumbatwa katika lugha zetu. Pengine...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Vituko vya wasomi kwenye mtandao: Unajiita CPA Mwakipesile, je ni sahihi?

    Habari wadau, Nimeona watu wengi kwenye mtandao wanapenda onesha status zao za elimu. Je, ni sahihi au? Maana najua mitandao inaleta dili nyingi za biashara na mengineyo. Je, kujiweka status yako ya elimu kama una masters, PhD, CSP, CPA, Engineer ni sahihi hasa instagram? Maana nimeona mdau...
Back
Top Bottom